Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
TEHE.....TEHE....TEHE......! mrembo Asha kuwa mpole bibie kutajiwavogue umekuwa mkali hivyo!!!!!!
Basi hatusemi tena mambo ya vogue & nssf hivi ni kweli mbowe kafeli?????
kuongeza size ya post sio uthibitisho wa point... inaonekana karibu utamtafuta Makamba maana naona huyu ROstam Aziz "hawatoshi kabisaaaa"
mtainama weeeeeeeeee mtainuka na kukuta mmelowa!
JF bado inapeta na habari corruption mtakoma ubishi. Kaondoka Lowaasa, anafuata Rostam... get ready!