kichwamaji;62460
Nguvu ya PR machinery ya CHADEMA siwezi kuisemea kwani simo, nawe (kutokana na mtiririko wa hoja zako hapo juu) nadhani humo,
ni obsever kutoka nje.
Ninachotaka kukueleza hapa ni kwamba CHADEMA hawafanyi kazi peke yao, kuna mtandao mkubwa unaokerwa na usanii huu na unaojua kwa kina wapi muungwana na watu wanakosea, wapi wana nguvu na wapi wana udhaifu. Upo mtandao wa watu wanaoipenmda nchi hii na walio tayari kuwekeza nguvu na akili katika kuleta mabadaliko. Hilo nalijua fika, sihisi; na ningekushauri usiidharau nguvu hiyo.
Pili, kauli ya Mbowe kuhusu serikali ya mkoloni haikuwa political suicide kam unavyodhani. Huu ni mwaka 2007 siyo 1970. Ni wananchi wangapi wanaoishi leo, wanaotegemewa, waliomuona mkoloni wakaumizwa naye kiasi cha kumuona Mbowe mbaya? Hawa anaowaaddress leo wanaishi katika mateso ambayo yanafanana na yale waliyosoma vitabuni kuhusu ukoloni. Wanaona watawala wanavyoishi kwa kutumbua na wao wanavyohangaika, na wana hasira zile zile tulizokuwa nazo dhidi ya mkoloni.
Kumbe hujajiuliza kisa cha umma kuamka sana leo na kuunga mkono hoja ya Zitto?
Ni kwa sababu wananchi wanaona wanaishi maisha ya kitumwa wakatyi raslimali zao zinawatajirisha walio madarakani. Hisia zao zimejikita katika dhana ya chuki dhidi ya ukoloni mweusi, tena mbaya kuliko ule uliokuwapo - ambao hata hivyo wengi wa vijana wa leo hawakuuona. Hiyo ni political capital, sio suicide.
naomba unifafanulie unamaana gani dhana ya ki -CCM?Kusema Zitto anamu-outshine mkubwa wake ni dhana ya ki-CCM.
Na hilo ndilo tatizo la CHADEMA kwani talent pekee haitoshi.It takes more than talent to be a politician!Katika CHADEMA wanatambua talent za watu na kuzikuza, wanajenga chama taasisi kwa nguvu ya kila mmoja, leo huyu kesho yule.
Katika suala hili, aliyefukuzwa na Bunge ni Zitto kwa kile alichokisimamia, lakini alikuwa anazungumza siyo kwa ajili ya CHADEMA ila kwa niaba ya upinzani.
Hamad Rashid ndiye kiongozi wa upinzani Bungeni, lakini halalamikii kuwa outshined kwa sababu hoja yao imekua. Bahati kwa CHADEMA ni kwamba hoja imesaidia kuwasha moto nchi nchi nzima na chama kinakua, hivyo njia inapatikana, na viongozi wanaitumia. Ukilitazama kwa macho ya ubinafsi, ndo utasema amemu-outshine mkubwa wake, Ni kweli kwamba kama angekuwa CCM wangeishamnyamazisha maana ndiyo system yao. Je, na sisi tujiruhusu kufikiri na kutenda kama CCM?
Tatu, kuhusu Dk. Slaa. Kumbe hujajua kinachoendelea. Hakupeleka tu internet sources bali alitumia hoja ya sources hizo kutaka serkali itoe majibu, halafu wenye sources wenyewe wakanza kufumuka.
Lile likitabu limejaa documents ambazo hata kina EL wanashangaa amezipata wapi, na nyingine alikuwa hajawakabidhi anasubiri waruhusu hoja yake.
He is very well informed, na wakubwa wanajua hilo, la sivyo ndiye wangeanza naye kabla ya Zitto. Ushahidi wa hili ninao lakini sio kwa ajili ya kumwaga hapa sasa hivi. Subiri tu siku zisogee utajua ninachosema.
Tatizo kubwa tulilonalo TZ na Africa kwa ujumla ni kwamba the so called wasomi, wengi wenu mnabwekea nje ya geti (ughaibuni) na hamko well informed na maisha ya wananchi wa kawaida wanao hangaikia mlo wa siku. Wengi wenu humu, mi nadhani its high time, muombe likizo muendee Kigoma, Buzirayombo, Shelui, Mpanda,Misungwi au Kasulu muone watu wanavyoishi na muache kutegemea internet na media za kitapeli za bongo. Njoo uone tunavyoishi huku na sio kutumia data za google kuangalia maisha ya watu ambao hawana uhakika wa aspirini. Huwezi pata picha sahihi kwa mtaji huo.
Jamaa hapo juu ameelezea safi kabisa, leo ni mwaka 2007 sio enzi za chama kushika hatamu, tatizo la wengi humu ni kuamini kwamba watanzania but tuko guided na sera za unyonge na ujamaa ndo maana wengi hamuishi kumnukuu Nyerere. Jmani fikra zinabadilika.
Mi personally nilimpigia kura JK, ila leo ukiniambia nikapige kura, I swear JK hawezi pata kura yangu na si mimi pekee yangu ni wengi humu kijijini kwetu! Kwa hiyo jua watu tunaamka taratibu. Kauli ya Mbowe, ingawa mimi si Chadema ila nakubaliana nayo Heri mkoloni mweupe kuliko mkoloni mweusi. Mi naamini aliyeko nje, anajitafutia Riziki kama mwana Adamu yeyote yule. Ila, tufike point tujue mageuzi ni jukumu LETU SOTE, Tanzania si ya Chadema wala CCM! Kwa nini inapokuja swala la kuilaumu CCM tuko pamoja, lakini likija swala la kutafuta njia mbadala ya haya matatizo, wote tunaelekeza shutuma kwa Chadema na CUF? huu ni ufinyu wa akili. Mara Zitto hana data, Slaa hana hiki, Seif hana hili, we jiulize we umefanya nini? atleast wao mchango wao umeonekana, wewe umefanya nini zaidi ya kukosoa tuu, tena kwenye internet ambayo mamilioni ya wapiga kura hawafiki? Kwa lugha nyingine mtu kama huyu ni irrelevant kwa harakati za kuikomboa Tanzania kwenye lindi la umaskini, maana huna link na walengwa.
Watu mnatoa hoja kwamba watu wanaendekeza njaa ndo maana hawatoki CCM, lakini mnasahau kwamba wenyewe mko ughaibuni, mnaogopa kurudi home kwa sababu mazingira yalipo hayawapi nafasi ya kuendeleza maslahi binafsi! What hypocricy?
Yaani watanzania tuichukulie TZ kama kampuni ambayo wote hapa ni shareholders not by any reason but by birth! Kwa hiyo kila mtu anajukumu la kutetea maslahi ya kampuni kwa sababu ni mwanahisa wa kudumu na hawezi kunyang`anywa hisa zake na mtu yeyote, kwa sababu alipata hizo hisa kwa sababu yeye ni mwanachama wa kampuni kwa kuzaliwa. I will be the last person to criticize Zitto au yeyote anayefanya kitu (hata kama kina mapungufu). Kila mtu aiulize nafsi yake. AMEFANYA NINI????
Nasema tena, nimekuwa MPIGA KURA wa CCM mda mrefu, ila nimegundua tunachezewa shere hapa. na hasira zangu nitazipeleka kwenye sanduku la kura 2010. Inshallah.
Ni kweli simo kwenye CHADEMA na kwa sababu umekiri kuwa mimi no bserver than naweza kumonitor jinsi spin na propaganda machina zinavyofanya kazi ili kuwafikia walengwa.Sijadharau nguvu hiyo hoja yako ndio maana nikasema kuwa network ya CHADEMA iko mpaka Ikulu lakini tatizo ni kuwa wengi katika mtandao wa CHADEMA hawako tayari ku risk career zao au biashara zao na mengineyo kwa kuwapa supporting documents au kuleak mambo ambayo kama ukifanyika uchunguzi then trail itawafikia na hivyo hawako tayari kuface the consequences za hatua hiyo. CCM wanawajua lakini as long as kila mmoja katulia na anapata tenda za hapa na pale au vipromotion vya hapa na pale then why bother them? Maneno yako ni kweli this is 2007 na siyo 1970 lakini usisahau kuwa mpaka 1960 damu nyingi ilimwagika ndipo tukapata uhuru wetu. Je wale wanajeshi wetu watajisikiaje siku Mbowe anaapishwa Uwanja wa Taifa ili hali huko nyuma aliwahi kuwasifia waliotutawa? Narudia it might have not been a political suicide lakini itlikuwa ni Political gaffe ambayo aliitoa in a wrong place(Uwanja wa mashujaa). Kweli its almost 40 yrs atangu tumepata uhuru lakini huwezi kulaumi kila kitu wa serikali after all matatizo ya kuichumi ya Tanzania yanatokana na factors mbali mbali na nyingi ni external factors(thread yake itajitegemea)Hilo ni tusi kubwa, Umma wa Tanzania uliamka tangu hajaja mkoloni na baada ya mkoloni na baada ya vyama vingi hivi umesahu watu walivopinga vya vingi? lakini serikali ya wakati ule iliamua kuwa ni bora kuwa na wapinzani kuliko kutokuwa nao. Watanzania waliamka hata kabla zito hajazaliwa.Unless unazungumzia mbunge ambaye ni charismatic then nakubali kuwa Zitto ni charismatic lakini siyo makini kutokana na sababu mbali mbali lakini zaidi anauza sana magazeti. Nakuhakikishia kuwa the only time he actually got passionate and detailed in a reply was when he was defending himself for not outlining policies! na hii ya "MABOMU" ndio imekuwa dstarction kubwa zaidi
sasa naomba unifafanulie au nionyeshe kiongozi gani amejitajirika kwa wizi? je kuna ushahidi wowote wa kuback up hilo? Je kuna sehemu gani iliyoandikwa kwenye katika kuwa mwasiasa hatakiwi kuwa Tajiri? Freeman Mbowe anapesa nyingi tuuu je huyu naye ni Mkoloni mweusi? tumchukie Mbowe kwa sababu ni mfanyabiashara aliyefanikiwa?nadhani ni political bankrupt tukianza kuwachukia mawaziri au wanasiasa kwa sababu walifanikiwa kuwa na wepesi wa rizki. naomba unifafanulie unamaana gani dhana ya ki -CCM?Na hilo ndilo tatizo la CHADEMA kwani talent pekee haitoshi.It takes more than talent to be a politician!
No kilichomfukuza Zitto bungeni ni ubahili wa chama chake kushindwa kuwalipa researchers 2 ambao walitakiwa wadig deep on those issues za mikataba kabla hajaenda public. hii inaonyesha jinsi gani anavyoendekeza punch punch & judy politics ambazo hazina substance zozote kwani angekuwa makini na documents au source materials zake angeendelea kuwepo bungeni. Sikatai anaweza akawa ni potential politician but what Zitto is lacking is substance to back up his rhetoric.
mheshimiwa, ukitaka kujua kuna matatizo katika opposition Tanzania basi mtazame MAALIM SEIF SHARIF HAMAD. I like and respect MAALIM, but in the eyes of the electorate, when it comes to winning elections - once a loser, always a loser, and making opposition leader would has been a disaster, a cracking addition to the shadow cabinet he'll make, but in terms of both party and opposition leadership, he is the past hivyo tumwache kwa sasa. Suala la kuwa hoja imewasha moto nchi znima nadhani ni over statement. Sijaona evidence yoyote kuonyesha kuwa nchi nzima imewaka moto kwa sababu ya hoja ya Zitto Kabwe japo ni kweli watu wako curious kutaka kujua kuhusu mikataba lakini kosa zaidi ni kwa serkali kutoweka wazi na kwa lugha ambayo wananchi wanaelewa kuhusu mikataba ya madini. Usisahau kuwa both CHADEMA na CUF need to develop policies and must be prepared to attack the government's agenda and place it in constrast to their own. Na hiyo itakuwa the real test for Mr Freeman na Hamad. Na kama ningekuwa ni CCM then i only wish their were more like CHADEMA and CUF because you would keep us in office! Actually Spika alimuuliza source ya ile email na Dr Slaa akataja email address ya ilikotoka na ile video ya ule mjadala ilikuwepo humu na mwenyewe akakiri kuwa kwa sasa source siyo muhimu sana lakini kilichomuhimu ni contents za ile source sasa mheshimiwa unataka watu wajadili mambo tuu bila kuwekana sawa kuhusu sources? Once again sipo hapa kwa ajili ya kupinga kila kitu lakini so far hakuna hoja au official majibu (kwenye websites zao) toka kwa CHADEMA au CUF au WAPINZANI za kumcounter GAVANA wa benki kuu.Sasa kama siyo kuplay politics ni nini huko?Ubadhiribu ulikuwa unafanyiwa na bado unafanyiwa uchunguzi na PCB au TAKURU uchunguzi bado unaendelea lakini naona wengine hilo hawalitaki wanataka na whats Dr Slaa has done is is essentially a PR exercise based on positioning and I think it shows a lack of conviction ambayo niitegemea toka kwa mwanasiasa mkongwe kama yeye.Actually no, kaipa serikali siku 24 na nadhani so far simebaki siku 20 so lets stay tuned na hayo "MABOMU" halafu hivi huu msamiati haukukumbushi kitu au mtu fulani??He might be very well informed but he is'nt well sourced.Umekiri kuwa ushahidi unao sasa unaona ubaya gani ukaumwaga hapa kisha tujadiliane? hivi katika politics za leo bado kuna mambo ya Mrema kuwa ushahidi upo lakini sisemi? If huyo ZITTO is going to present substance then I welcome the opportunity for a proper debate because so far he's all about populist gimmicks.
Naomba urejee nilishokiandika hapo juu...nimesema kuwa zaidi ya yote hayo pamoja na Zitto kuwa Charismatic pia ni media darling na hivyo magazeti mengi yanauzika kwa kuwa na heading za Zitto kama vile ilivyokuwa Mrema in the 90's. Na ni kweli media wamekuwa na field day tangu hii issue imetokea na wanauza sana magazeti kwa hilo sasa hilo nalo unabisha?Wewe kweli ndio umepotea..... Watu wanaongelea issue kubwa za maisha ya watanzania wewe unaitazama kwenye uuzaji wa magazeti?
Naomba unipe mfano ni kejeli zipi unazozizungumzia?Ama kweli kejeli za CCM na Rostam wao zitapita kipimo (normal) cha uvumilivu
Fair enough, you are entitled to have that view lakini sidhani kama personal attacks ni way forward au unasemaje?It's true it takes more than watu kama wewe wasiojua wanachosema
Naomba unionyeshe wapi nimesema mimi ni CCM?I am glad wewe sio CHADEMA bali ni CCM maana watu kama wewe ni wengi sana huko CCM
Hakuna mfanya research yoyote ameruhusiwa kuona kilichoandikwa kwenye mikataba ya madini ya Tanzania.Mimi nimejaribu hata kumtumia mmoja wa watafiti maarufu hapa kiwanja ili
kupretend kwamba tunafanya research ya madini Tanzania na serikali ya bongo walikataa kwamba sheria za biashara za kimataifa zinawazuia kuweka huo mkataba kwa public...
Sijui hili la kusema kuwa wabunge wengi hawaruhusiwi kuona hiyo mikataba umeitoa wapi..je unaweza kutuonyesha ni kipengele kipi katisha sheria za bunge kinachosema kuwa wabunge wengi hawaruhusiwi kuuona hiyo mikataba? na unaposema kuwa "wabunge wengi" unamaana kuwa kuna wabunge wengine wanaruhusiwa na wengine hawaruhusiwi? hii umeipata wapi? .Hiyo ya kusema naongea kama R.A sitokujibu kwani ni irrelevant na sitoingia katika personal attcks na wewe bali nitajadiliana na wewe kihojahata wabunge wengi hawaruhusiwi kuiona hiyo mikataba... Hao researchers unaodai wangepata wapi data? sasa nimetambua kuwa unaongea kama RA
Unaweza kunionyesha ni wapi nimesema nawachukia CHADEMA? Hivi kuuliza kwa nini chama cha CHADEMA hawajatoa kuhusu FOREIGN POLICY yetu kuhusu Muungano wa Africa au kupeleka majeshi yetu Lebanon ni kukichukia CHADEMA?Wewe ndio unahitaji kufanya utafiti maana naona unatumia sana mtizamo wako wa kisiasa na chuki yako dhidi ya CHADEMA kuchambua mambo muhimu yanayohusu taifa letu.
Sijakuelewa unaposema Rostam ni mkoloni wa kiIran,je umetumia sources zipi ukafikia conclusion kuwa Rostam ni mkoloni wa Kiiran? Afterall hizi ni serious allegations na nadhani ingekuwa vizuri ukaclarufy hayo maneno yako hapo juu. Halafu kama ni influence katika serikali yetu mbona hujasema kitu jinsi serikali ya UK kupitia DFID walivyo na Influence katika serikali yetu na hivi leo kuna Kesi London ambayo imefunguliwa dhidi ya WAINGEREZA na inawaimplicate waingereza moja kwa moja...hilo mbona hatulisemi? Hivi Rostam kuwa na rangi ile imekuwa Nongwa? Je mwalimu alivyokuwa na P.A mzungu naye tusemeje alikuwa msaliti? hebu fafanua hoja yakoTanzania njema ameanzisha mjadala kuhusu mkoloni wa kiirani anavyomiliki media na sasa anakuwa na influence kwenye serikali na wewe unaigeuza the whole issue kuwa anti-CHADEMA. Umelipwa kiasi gani na Rostam Aziz?
Game hii ni kweli kwani wabunge mawaziri ndio huiona tu!, na kuwambia wengine kwamba ni siri ya serikali utadhani serikali ni malalika wengine toka mbinguni kumbe ni wabunge wale wale kwa kofia ya uwaziri!
Sijui hili la kusema kuwa wabunge wengi hawaruhusiwi kuona hiyo mikataba umeitoa wapi..je unaweza kutuonyesha ni kipengele kipi katisha sheria za bunge kinachosema kuwa wabunge wengi hawaruhusiwi kuuona hiyo mikataba? na unaposema kuwa "wabunge wengi" unamaana kuwa kuna wabunge wengine wanaruhusiwa na wengine hawaruhusiwi? hii umeipata wapi?
Game hii ni kweli kwani wabunge mawaziri ndio huiona tu!, na kuwambia wengine kwamba ni siri ya serikali utadhani serikali ni malalika wengine toka mbinguni kumbe ni wabunge wale wale kwa kofia ya uwaziri!
Naomba urejee nilishokiandika hapo juu...nimesema kuwa zaidi ya yote hayo pamoja na Zitto kuwa Charismatic pia ni media darling na hivyo magazeti mengi yanauzika kwa kuwa na heading za Zitto kama vile ilivyokuwa Mrema in the 90's. Na ni kweli media wamekuwa na field day tangu hii issue imetokea na wanauza sana magazeti kwa hilo sasa hilo nalo unabisha?
Naomba unipe mfano ni kejeli zipi unazozizungumzia?
Fair enough, you are entitled to have that view lakini sidhani kama personal attacks ni way forward au unasemaje?
Naomba unionyeshe wapi nimesema mimi ni CCM?
Kwanza hapo kuna mambo mawili la kwanza ni hilo la kusema kuwa hakuna resercher anayeruhusiwa kuuona mkataba wa madini. Naweza kusema si kweli kwani kuna baadhi ya documents ambazo zipo kwenye public domain, na pili umekiri kuwa ulikuwa unapretend kuwa mnafanya reserch huoni kama hiyo nayo itakuwa imekuharibia kabisa kwani umeonesha dishonesty na nia yako. Suala la pili ni kweli katika contract ya namna hiyo kuwa kunakuwa na vipengele ambavyo serikali na hiyo kampuni kutokana na usiri wa kibiashara walikuwa wamesign kuwa baadhi ya section zisiwe katika public domain .....umeendelea kwa kusema....Sijui hili la kusema kuwa wabunge wengi hawaruhusiwi kuona hiyo mikataba umeitoa wapi..je unaweza kutuonyesha ni kipengele kipi katisha sheria za bunge kinachosema kuwa wabunge wengi hawaruhusiwi kuuona hiyo mikataba? na unaposema kuwa "wabunge wengi" unamaana kuwa kuna wabunge wengine wanaruhusiwa na wengine hawaruhusiwi? hii umeipata wapi? .Hiyo ya kusema naongea kama R.A sitokujibu kwani ni irrelevant na sitoingia katika personal attcks na wewe bali nitajadiliana na wewe kihoja
Unaweza kunionyesha ni wapi nimesema nawachukia CHADEMA? Hivi kuuliza kwa nini chama cha CHADEMA hawajatoa kuhusu FOREIGN POLICY yetu kuhusu Muungano wa Africa au kupeleka majeshi yetu Lebanon ni kukichukia CHADEMA?
Sijakuelewa unaposema Rostam ni mkoloni wa kiIran,je umetumia sources zipi ukafikia conclusion kuwa Rostam ni mkoloni wa Kiiran? Afterall hizi ni serious allegations na nadhani ingekuwa vizuri ukaclarufy hayo maneno yako hapo juu.
Halafu kama ni influence katika serikali yetu mbona hujasema kitu jinsi serikali ya UK kupitia DFID walivyo na Influence katika serikali yetu na hivi leo kuna Kesi London ambayo imefunguliwa dhidi ya WAINGEREZA na inawaimplicate waingereza moja kwa moja...hilo mbona hatulisemi? Hivi Rostam kuwa na rangi ile imekuwa Nongwa? Je mwalimu alivyokuwa na P.A mzungu naye tusemeje alikuwa msaliti? hebu fafanua hoja yako
Game Theory
The spinning is too much. I think you know I know and you know I know.
Game Theory
The spinning is too much. I think you know I know and you know I know.
Hakuna serikali isiyo spin na ndio maana nikasema kuwa CHADEMA wakitaka wanaweza kuwa na department ya kucounter spin as long as haitoongozwa na JJ MNYIKA (ushauri wangu wa bure.
sasa haiwezekani ikawa wao ni watu wa kulalama tuu kuwa kuna spinning wakati wanayo nafasi ya kuwa na PR Dept ya ku counter mashambulizi ya CCM. Na hiyo yet inahitaji pesa, lakini la muhimu zaidi ni kuwa wanahitaji kujipanga vizuri na kuachana na politics za headline grabbing kwani hiyo haitowasaidia kushinda Uchaguzi
Hakuna serikali isiyo spin na ndio maana nikasema kuwa CHADEMA wakitaka wanaweza kuwa na department ya kucounter spin as long as haitoongozwa na JJ MNYIKA (ushauri wangu wa bure.
sasa haiwezekani ikawa wao ni watu wa kulalama tuu kuwa kuna spinning wakati wanayo nafasi ya kuwa na PR Dept ya ku counter mashambulizi ya CCM. Na hiyo yet inahitaji pesa, lakini la muhimu zaidi ni kuwa wanahitaji kujipanga vizuri na kuachana na politics za headline grabbing kwani hiyo haitowasaidia kushinda Uchaguzi
Tatizo la nchi na mikataba isiyo wazi huwezi kuliangalia katika mtizamo wa kuuza magazeti.... Akili yako na elimu yako vinatosha kukufanya uchunguze na ueleze vitu kwenye picha kubwa sio swala la kuuza magazet..... Britney Spears naye anauza sana magazeti hapa kiwanja kama ilivyo kwa Hilary Clinton, je kuna connection yoyote kati ya hawa wamama wawili?
Una maana gani unaposema kuwa Zito anafanya populist gimick?
unaweza kuita hiyo statement kejeli au hoja?
Usianze kulia sasa kama mtoto mdogo!
Prove otherwise kama wewe sio CCM
Mbona unajimix... At one point unashauri watu kusoma recommended books za media na wewe mwenyewe hujui moja ya mbinu kubwa watu wa kwenye media wanatumia kupata info...
Kila siku media zinaumbua wauza madawa, tutes, wabakaji, wala rushwa nk kwa kupretend kuwa one of them ni mmoja wa wahusika na kisha watu wanaumbuliwa.
Nilipretend kuwa nafanya research lakini nilimtumia researcher maarufu sana hapa kiwanja. Jibu la serikali lilikuwa ni kwamba hiyo mikataba ya madini haiwezi kuwekwa public na wakasisitiza kuwa hata baadhi ya wabunge hawaruhusiwi kuiona.
Wewe endelea tu kutumia talking points za RA bila kufanya research yako mwenyewe....
Unataka kulia sasa? CHADEMA wakisema kitu unadai kuwa hawako informed well.... na on the other side unataka watoe statement kwa kila kinachoendelea nchini... unachotaka hapa ni nini?
Of course Rostam ni mkoloni na mwizi wa mali za nchi yetu... siku ukitoka kwenye payroll yake utarealize hili.
Nani alikufundisha kuwa jambo baya linakuwa justified kwa tendo lingine baya? ......