Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

.....WEWE HUJAJUA TU MWAFRIKA WA KIKE ? NENDA PALE MWAMBIE HUYO JAMAA WA RESEARCH APITE PALE ATAPATA KILA KITU LAKINI KWA KUANZIA ANZA KUANGALIA

Asante SHY,

Nilichotaka mimi kujua sio ramani na mahali ambapo kuna madini bali na nini kiko ndani ya mkataba kati ya serikali na kampuni na kigeni za kuchimba madini....kitu ambacho serikali ilikataa kabisa kutoa hizo information kwa madai kuwa kuna makubaliano ya biashara za kimataifa yanawazuia wananchi wa Tanzania kujua ni nini serikali yao inaingia kwenye mkataba kwa ajili yao!

Sijui kama hilo linapatikana hapo mineral center
 
Naijutia kura yangu kwa huyu Muungwana, matarajio yangu yameyeyuka. Nilitegemea kiama cha mafisadi lakini naona wanatesa kwa saaana. Mungu atupe uhai 2010
 
RA ninayemuongelea mimi ni yule wa before 2005. Pesa zake ambazo nasema ni halali ni zile zilizotokana na bahati yake ya ku-secure contract na mining companies in Tanzania to supply them with production inputs. Thats what his business did and still does.

RA wa 2005 and beyond ndio namsikia humu na spin politics zake. Na ukweli unabakia pale pale kwamba kama yote yanayosemwa humu ndani ni sahihi na yana ushahidi, something has to be done kukiokoa chama.

Muhimu zaidi ni kwamba, hoja zote hizi kuhusu RA zitapigiwa kelele weee na wana forum, many members trying to present evidence na pia kulalama kwa uchungu, then the topic will die and move to something else. Kwa mwendo huu, JF cant make any difference zaidi ya kuwa alert wahusika kwamba wananchi, especially waishio nje na wenye access to mtandao wana idea of whats going on. Na itaishia hapo.

Kama tuhuma hizi ni za kweli, something has to be done in a very organised way kukiokoa chama na kama chama hakitaweza okolewa, then kuikoa nchi.
 
1. Siyo kwamba pesa zote alizonazo RA ni chafu, lakinmi chafu ni nyingi, hata kabla ya ya 2005. Kumbuka, baadhi ya pesa hizi ndizo zilitumika kutafuta na kununua urais wa Kikwete kwa miaka 10; na huko ndiko alikoanzia spinning. Usidhani amekuwa spin-doctor majuzi baada ya 2005.

2. Baada ya 2005, Kikwete amemzawadia miadi mingi katika madini kimyakimya. Hata Richmond na Dowans anahusika moja kwa moja. Kwa hiyo, huyo siyo mtu anayepaswa kuaminiwa katika suala hilila madini kwa sababu ana interests za moja kwa moja; na mwenza wa Karamagi katika biashara kadhaa ikiwamo TICTS. Hivyo anamtetea rafiki yake, haangiki na maslahi ya taifa.

3. Naona unakipenda chama sana , kiasi ch akukitanguliza kabla ya taifa. Hiki chama hakiokolewi tena mikononi mwa manyang'au. Jitihada za kukinusuru zilishindikana pale alipoangushwa Dk. Salim, kikanyakuliwa na wasanii. Utaanzia wapi kukiokoa chama kinachoongozwa na Kikwete, Makamba na Rostam?

4. Hatuwezi kukubali yaishe, wala hatuwezi kuishia hapa kwenye mtandao. Jawabu ni kuhsiriki siasa moja kwa moja kila mmoja kwa sehemu anayoweza au kupiga kelele kupitia forum zinazowafikia wananchi kama anavyofanya Mkjj. Sauti hizo hazipotei bure, bali zinasaidia kuongeza elimu kwa umma pale walipokuwa hawajui,, nakuwapa moyo kwamba wanaweza. Zinawaasha waliolala kwa ajili ya mapambano mapya.
 
Kichwa Maji
Una hoja nzuri sana kwamba hata before 2005, kambi ya Jk ilikuwa inajijenga na RA was behind it. Lakini hii haina ubaya wowote. Mtu kama una legal money yako na unasaidia kambi yako as a friend ishinde urais, its not a problem as long as hizo hela for most part ni za halali. Ila swala linakuja on what happens after huo urais unapatikana. Na kama yanayosemwa humu kuhusu RA post 2005 ni kweli, hii ni hatari sana kwa chama na serikali.

Sio kwamba nina mapenzi zaidi na chama kuliko nchi yangu but ukweli unabaki kwamba the only party that can move us forward is CCM. BUT, kiwe in the right hands. Wapinzani wote ni wasanii, na siwezi vipa heshima vile kama ni vyama, they are just pressure groups. Hawaja graduate kufikia kuwa vyama in my view.

Cha muhimu ni kukiweka chama cha mapinduzi in the hands of the right people na pia serikali in the right people's hands, especially wizara ambazo zina direct effect na maendeleo ya nchi.

Dr. Salim wouldnt have made a good president. Nchi ingeenda kubaya sana kutokana na ZNZ kutomtaka kabisa awe mtawala wao. And they have a very good point on that ambayo hata Nyerere aliikubali na alikuwa bado anaendelea kuibembeleza isamehewe both 1985 na 1995 bila mafanikio. Sasa kama Salim aliona hiyo haikuwezekana na pia kama aiona wazi kwamba hatakiwi kuwa kiongozi wa juu pale aliporudi toka AU na kukaa kidogo then pakawa na nafasi ya makamu wa rais ambayo huwa inaenda kwa mpemba na yeye ni mpemba na hakupewa, isnt that a sign kwamba hutakiwi?

Pia watu walishachoka uongozi wa Nyerere. Salim angerudisha kambi yote ya Nyerere ambayo wengi walishaichoka kwa maovu yao. Kila uongozi una maovu yake. Vice president angekuwa Warioba - nyerere's peer; Butiku labda angekuwa waziri wa foreign au fedha or even chief secretary...the list goes on. Hii ingeleta tensions mbaya sana in the party na serikali kwa jumla. Watanzania hawajui ni jinsi gani tulivyonusuriwa kwa kumpa JK na kambi yake uongozi. They are not perfect but atleast ubaya wao ni on things they are creating for themselves after they got in power, not things prior to that kama vile ingekuwa salim.

Mwandosya would have made a good second choice ingawa na yeye ilionyesha ni mtu wa jazba zaidi ya logic. Sumaye angeharibu sababu angekuwa busy to prove people wrong.

So any of the candidates angekuwa na mapungufu mengi tu na tungekuwa busy leo hii ku argue on hayo mapungufu.
 
Inawezekana RA anahusika na baadhi au yote yaliyojengewa hoja humu lakini ukweli unabaki kwamba hela zake before 2005 alizipata kwa njia yake halai kabisa, hakuibia mtu.

Kuhusu link ya Karamagi, RA na wengine waliotajwa, kuna ushahidi gani? tunauomba tafadhali ili tuzidi kuelewa nini kinaendelea. Sijaona popote kwenye magazeti kuhusu RA kuwa mwizi, mla rushwa etc. Uwezekano upo ila tunaomba ushahidi. Kuna kina thisday, mwanahalisi etc na wanaweza kabisa kutuwekea bayana majambo haya.

Ushahidi, please.
 
Mchambuzi,

Hata Nyerere alisema "CCM si baba wala mama,nitaacha kama itakosa mwelekeo"

CCM ya leo tayari imeshakosa mwelekeo na labda wakati umefika
wa kupigwa mweleka.

Upinzani wanaanza kujifunza, Na ni mategemeo yangu kwamba kweli wanajifunza na wataendelea kujifunza.

Tanzania ya leo ina pande mbili ambazo zote ni dhaifu, CCM dhaifu kimaadili na Upinzani dhaifu kifikra. Sio rahisi CCM
kubadilika sasa maana lundo lao limejaa kila aina ya uozo. Inatakiwa washindwe kwanza labda ndio watajisafisha na vijana
wenye imani na yale aliyokusudia Nyerere wanaweza kushika usukani na kukitengeneza chama upya.

Upinzani ni dhaifu kwasababu wana kundi dogo sana la watu ambao
angalau unaweza kuwaamini.Kuongoza nchi kunahitaji watu wengi za ya hao. Lakini wanajifunza na hilo ndilo zuri. Kama wataendelea kujifunza bila kugombana, kuna muda wa kutosha kuweza ku recruit sio tu wananchi lakini pia watu ambao wanaweza kushirikiana nao.
Somo la maana zaidi ni kwamba CCM wakigundua upinzani wanaungana, wao pia wataamka na hapo faida itakuwa kwa Tanzania na watanzania wengine kama sisi ambao tunataka kuona mapambano ya fikra bungeni na kwenye jamii yetu na sio personalities.

Ningelikuwa mimi upinzani hizi sentensi mbili za Nyerere, ningezitumia kwenye kila mkutano:

"CCM si baba wala mama,nitaacha kama itakosa mwelekeo" Aliyoyatabili mwalimu yametimia, CCM sasa imekosa mwelekeo.

Atueleze mali amezitoa wapi? (kuhusu Lowassa)

Mimi naona ni kupoteza muda kwa upinzani kumwongelea RA, japo ana nguvu CCM lakini wanaomjua ni wachache. Lazima juhudi kubwa ielekezwe kwa Lowassa mwenyewe.
 
naam kweli kazi ipo,I really never trusted this Muungwana,mnaona mambo yamemshinda na anakimbilia mikoani tu,it seems to him Dsm in now really hot...hata huko mikoani atakumbana tu na hasira za wananchi,si mnanona wananchi wa Buzwagi walivyompokea?na bado Zitto ndo anazidi kumfutilia huko koete anakopita Muungwana...bust as the saying goes,"NOTHING LASTS FOREVER" ndivyo inavyoelekea kuwa hapa Tz kwa CCM
mwisho nina swali:inakuwaje Ulimwengu auze Rai kwa huyo RA halafu akae kimya?you know now I really doubt the personal integrity of Ulimwengu...kama ni mtu msafi kwa nini hajaanzisha gazeti jingine ilim kupambana na hao mafisadi aliowauzia HCL?tafadhali waungwana nisaidieni hapo.
 
Good question. Ulimwengu started that company from scratch na alipewa fedha na donors 100% kutokana na ku present project nzuri sana on RAI na donors wakaona ni kitu kitachosaidia sana maendeleo Tanzania. RAI did good as we all know, it did very well.

Sitamlaumu kwa kuacha RAI sababu he went through a lot na hakuwa na msaada wa maana. He sold RAI for a reported figure of USD 3 Million.
 
mwisho nina swali:inakuwaje Ulimwengu auze Rai kwa huyo RA halafu akae kimya?you know now I really doubt the personal integrity of Ulimwengu...kama ni mtu msafi kwa nini hajaanzisha gazeti jingine ilim kupambana na hao mafisadi aliowauzia HCL?tafadhali waungwana nisaidieni hapo.

Nafikiri hapa ni kumwonea Ulimwengu. Ile ni biashara yeye kalipwa
pesa ambayo asingeweza kuikataa, je ungelikuwa wewe ungefanya nini?

Inabidi kujua lengo la Ulimwengu kuanzisha RAI, kama lengo lilikuwa ni biashara, naona amefanya kitu ambacho yeyote kati yetu anayejua biashara angefanya kwenye mazingira kama hayo.
 
Mpambanaji nimekusoma na kukuelewa. Hata bila kutaja jina, nimefahamu wewe ni nani.Ndo maana ya kwenda shule. Ilausiwe na wasiwasi, tupo kumlinda Zitto. Rostam, na wenzake wanaendesha propaganda za kizamani.

Hata, hivyo ninashangaa. Huyu jamaa mbona Bugeni haonekani? Igunga anakwenda kweli? Nimetembelea tovuti ya Bunge, lakini sikuona kama mwaka huu na mwaka jana aliuliza swali lilote Buneni.

Watanzania, wametoka usingizini. Hawa ndugu zetu wahindi wakati wao wa kutufanyia mambo ya kizamani yale waliyowafanyia babu zetu, umepita. Rostam, hata kama ana pesa, hawezi kuamba na nguvu za wananchi.

Mbinu zake tunaziona. Waandishi kama Shoo - Dr. Shoo, hawatishi mtu. Kwanza ni waandishi ambao heshima yao hapa Tanzania imepungua sana. Hata wakibuni mbinu chafu namna gani - hawezi kuzima moto wa Jangwani, Kigoma na kwingineko Zitto ni shuhaa wetu!

Na wewe kama ni msomi, utakuwa umenigunudua.
Kazi njema.
Mutekanga.
 
Mpaka hapa hamjajua kwa nini Rostam kaamua kuvalia njuga hili swala la Zitto?
 
Mpaka hapa hamjajua kwa nini Rostam kaamua kuvalia njuga hili swala la Zitto?

Icadon any idea why? apart from what has been discussed here?

Mwaga vitu tafadhari ni vyema kumjua adui yako...ili kurahisisha mapambano.
 
Jamani,

Acheni propaganda yenu hiyo hapa, tumeshawajua. Hakuna kampeni wala nini, Zitto na issue yake ni kitu kidogo sana kwa RA kuiingilia, haimu affect yeye wala kambi yake, jamaa ni msomi na very smart. Angalieni alivyotengeneza hela zake kabla hata ya kuingia kwenye system.

Mnachofanya humu ni kumpaka matope pasipo ushahidi wala haki.
Kumsaidia JK au kumfanyia kampeni ilikuwa jukumu letu sote wana CCM. Sasa issue ni nini hapo??? ana mradi gani mchafu, ana kashfa ipi?? umewahi kuona mtu anagombea nae kule Igunga? kwanini?

Ndio ujue jamaa ni mtu wa watu, nenda Igunga kaulize ndio utaelewa RA ni nani. Anawajali wananchi.

Kwa ufupi ni Mtanzania halisi.

ACHENI KUENEZA CHUKI NA UONGO.
Viva RA.

FD
 
Aliye na Bio ya RA naomba atuwekee na sisi tuweze kumwelewa vizuri Mtanzania mwenzetu.
 
naanza kuhisi kuwa huyu rostam ni mtu wa hatari soma chini

Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.

The Chairman of the Democratic Party claimed at a press conference that the Iranian government through Tanzanian MP Rostam Aziz, had funded Kikwete's campaign for over 10 years.

The press conference was held ahead of a meeting by eight opposition parties to plan a common strategy against the CCM in Tanzania's October elections.

Mtikila alleged that the Iranian government had set aside a substantial amount to prop presidential candidates in countries where the Asian country has economic interests.

Aziz, a Tanzanian of Iranian extraction is representing Igunga constituency in Tanzania's Union Parliament on the platform of the CCM.

Mtikila did not say how much Aziz had allegedly received from the Iranian government for Kikwete's presidential campaign, but cited Tanzania's uranium deposit as possible motivation for the alleged assistance.

He said the Iranian government could not have given Aziz money for nothing: "they must be harbouring interests in Tanzania."

This is the second time that Aziz, Kikwete's campaign manager, would be accused of securing foreign funds for Kikwete's presidential campaign.

Last April, London-based journal, Africa Confidential claimed that he had been given two million US dollars by the Oman government as campaign funds for Kikwete.

Kikwete, Tanzania's Foreign Affairs and International Co-operation Minister had vowed to sue the journal over the report, but since his nomination as CCM presidential candidate in May, he has said nothing about the report.

The London journal has challenged him to go to court insisting it has overwhelming evidence to back its claims.

There was no immediate reaction to Mtikila's allegations from either Aziz or Kikwete.
 
Are you sure? kwani bajeti ya kutuma txt msgs na internet ni kiasi gani?

nadhani its about time CHADEMA wakaanza kuwa active na mambo haya badala ya kukaa pembeni kulalamika

Ndugu yangu nakushauri utumie ubongo, usitumie hisia tu!
 
Wa TZ mmerogwa?? yaani mshawaacha wahusika!! Huyo RA ana cheo gani serikalini?? hao wanaopewa hela nae wamewekwa na nani?? Nini majukumu yao kwa TZ??

Acheni kutubadilisha mwelekeo, JK na serikali yake have to be held responsible!! kama watakubali individuals kuwaingilia kimaamuzi hilo ni tatizo lao. Isitoshe sijasikia kashfa ya moja kwa moja inayomuhusu RA.
 
naanza kuhisi kuwa huyu rostam ni mtu wa hatari soma chini

Dar es Salaam, Tanzania (PANA) - Tanzania's controversial opposition leader, the Reverend Christopher Mtikila alleged Friday that ruling Chama cha Mapinduzi (CCM) presidential candidate Jakaya Kikwete had used funds from Iran to defeat his opponents at the party's recent convention.

The Chairman of the Democratic Party claimed at a press conference that the Iranian government through Tanzanian MP Rostam Aziz, had funded Kikwete's campaign for over 10 years.

The press conference was held ahead of a meeting by eight opposition parties to plan a common strategy against the CCM in Tanzania's October elections.

Mtikila alleged that the Iranian government had set aside a substantial amount to prop presidential candidates in countries where the Asian country has economic interests.

Aziz, a Tanzanian of Iranian extraction is representing Igunga constituency in Tanzania's Union Parliament on the platform of the CCM.

Mtikila did not say how much Aziz had allegedly received from the Iranian government for Kikwete's presidential campaign, but cited Tanzania's uranium deposit as possible motivation for the alleged assistance.

He said the Iranian government could not have given Aziz money for nothing: "they must be harbouring interests in Tanzania."

This is the second time that Aziz, Kikwete's campaign manager, would be accused of securing foreign funds for Kikwete's presidential campaign.

Last April, London-based journal, Africa Confidential claimed that he had been given two million US dollars by the Oman government as campaign funds for Kikwete.

Kikwete, Tanzania's Foreign Affairs and International Co-operation Minister had vowed to sue the journal over the report, but since his nomination as CCM presidential candidate in May, he has said nothing about the report.

The London journal has challenged him to go to court insisting it has overwhelming evidence to back its claims.

There was no immediate reaction to Mtikila's allegations from either Aziz or Kikwete.
Panapress: http://www.panapress.com/freenews.asp?code=eng093363&dte=16/09/2005
 
Back
Top Bottom