Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Ni vizuri CHADEMA wakifanya hivyo kama chama, lakini sina uhakika kama CHADEMA ni muathirika pekee. Sisi kama waathirika tunaweza tuka retaliate kwa kukataa uzushi unaoendelea na kuelimisha jamii.

Kaka umeonyesha upeo, huyu savumlacho ameweka mbele siasa.
 
No, huelewi frustrations zangu maana hunifahamu......

Nilikushangaa tu ukim-defend Rostam Aziz wakati yeye anaweza kabisa kufanya hiyo kazi mwenyewe. Otherwise posting zako nyingi ninazizimia na ninapenda unavyopenda kuangalia pande zote za shilingi.....

Katika hili la Rostam Azizi.... naona bado uko kwenye kichwa na inabidi sasa uangalie upande wa mwenge.

OK Mwafrika wa kike,

Ngoja nigeuke nirudie kuangalia upande mwingine kwa mara nyingine!!. Ila maswali yangu ya mazuri mengi aliyowafanyia wananchi wa "kitanzania" kule IGUNGA hayasemwi humu! WHY?

FD
 
OK Mwafrika wa kike,

Ngoja nigeuke nirudie kuangalia upande mwingine kwa mara nyingine!!. Ila maswali yangu ya mazuri mengi aliyowafanyia wananchi wa "kitanzania" kule IGUNGA hayasemwi humu! WHY?

FD

Ndio maana inaitwa forum kwamba watu wanachangia katika mjadala kwa kadri ya uwezo wao.

Wewe kama unayajua mazuri anayofanya mwizi na mkoloni Rostam Aziz basi unayasema..... Na mie ninayejua skendo zake za wizi, ukwepaji wa kodi, na ushirikiano na wafanyabiashara wahalifu duniani ninayaweka wazi halafu wasomaji wana-make up their own minds!

How about that....... sio unaanza kulaumu wanaomsema vibaya mwizi na mkoloni Rostam Azizi kuwa hawasemi mazuri wakati ni kazi yako sasa kusema hayo mazuri!

Kwa sababu pia umejipachika title ya kuwa mtazama pande zote basi unakuwa na extra burden ya kutazama pande zote za RA. So far mimi namwona Rostam Azizi kama mwizi na mkoloni tu na JF so far imenipa nafasi ya kufanya hivyo!
 
Ndio maana inaitwa forum kwamba watu wanachangia katika mjadala kwa kadri ya uwezo wao.

Wewe kama unayajua mazuri anayofanya mwizi na mkoloni Rostam Aziz basi unayasema..... Na mie ninayejua skendo zake za wizi, ukwepaji wa kodi, na ushirikiano na wafanyabiashara wahalifu duniani ninayaweka wazi halafu wasomaji wana-make up their own minds!

How about that....... sio unaanza kulaumu wanaomsema vibaya mwizi na mkoloni Rostam Azizi kuwa hawasemi mazuri wakati ni kazi yako sasa kusema hayo mazuri!

Kwa sababu pia umejipachika title ya kuwa mtazama pande zote basi unakuwa na extra burden ya kutazama pande zote za RA. So far mimi namwona Rostam Azizi kama mwizi na mkoloni tu na JF so far imenipa nafasi ya kufanya hivyo!

Dada, baada ya kupitia post zako nyingi, nimepata mwanga kwa nini unamuita RA mwizi, ila sijajua mpaka sasa kwa nini unamuita mkoloni. Hivi alisahauliwa na waingereza wakati wanaondoka au?
 
Mimi naomba kuliza swali? Hivi wananchi wa IGUNGA wanaakili timamu au njaa imewazidi??????
 
OK Mwafrika wa kike,

Ngoja nigeuke nirudie kuangalia upande mwingine kwa mara nyingine!!. Ila maswali yangu ya mazuri mengi aliyowafanyia wananchi wa "kitanzania" kule IGUNGA hayasemwi humu! WHY?

FD

FD Hivi kweli bado unaangalia pande zote za shilingi. Nakushauri uanze kujiangalia kidogo maana umeanza kuteleza upande!!!
 
Dada, baada ya kupitia post zako nyingi, nimepata mwanga kwa nini unamuita RA mwizi, ila sijajua mpaka sasa kwa nini unamuita mkoloni. Hivi alisahauliwa na waingereza wakati wanaondoka au?

Tanzania haikutawaliwa/inatawaliwa na wakoloni wa kiingereza peke yake..........

Fuatatilia pesa za Rostam Azizi utagundua what I am talking about
 
http://www.thestar.com/Business/article/199709

Barrick halts gold project after Argentines protest
Email story
Print
Choose text size
Report typo or correction Digg this story
Add to Facebook
Tag on Delicious
Apr 05, 2007 04:30 AM
Barrick Gold Corp., the world's biggest gold producer, suspended exploration at a site in northwestern Argentina last month following local protests. Barrick will wait while residents near the Famatina site, in the province of La Rioja, prepare to vote on whether to allow mining companies to use cyanide, company spokesperson Vince Borg said yesterday.

Cyanide, a toxic chemical compound, is used to separate gold from ore.


Gold prices have more than doubled in four years, spurring exploration by mineral companies as well as bringing conflicts over mine development.

Toronto-based Barrick faced protests at Pascua-Lama, a gold project straddling the border of Chile and Argentina, from environmental groups that said the mine would endanger nearby glaciers and water supplies.

Barrick won environmental approvals last year from the governments of Chile and Argentina for the project, which will cost as much as $2.8 billion to develop.

Barrick's shares closed up 22 cents to $33.98 on the Toronto Stock Exchange.

bloomberg news
 
nadhani hapa suala ni kuwa NCHI inaibiwa. Facts za RA nimekuwa nazisikia sana mpaka huku maskani. Nadhani tuwapime uzalendo viongozi wetu. Je ni vigogo wangapi wana akaunti nje. na kwa nini wawe na akaunti hizo nje?? je kuna kigogo yeyote kutoka ulaya ambaye ana akunti ktk benki zetu hapa nchini?? kwa nini?
 
Mimi naomba kuliza swali? Hivi wananchi wa IGUNGA wanaakili timamu au njaa imewazidi??????

Hapana hawa ndugu zetu wanakubaliana na dhana iliyojengwa kuwa Ubunge ni ufadhili na sio uwakilishi kama ilivyozoeleka. Matokeo yake ndio kina Rostam, Mohamed Dewji mlisha watu sumu, Mkono na wengine weeeeengi.

Chachage aliwahi kusema, "tulipoomba ukumbozi tukapewa uhuru, tulipoomba usawa tukapewa Azimio la Arusha, tulipoomba demokrasia tukapewa vyama vingi"...matokeo ndio haya...

Tanzanianjema
 
Hii inanikumbusha enzi zile za ujana wakati wa vijiji vya ujamaa ilifikia mahali tukawaita hawa watu makabacholi, n.k.
Idd Amin kule Uganda aliwatimua wote wenye asili za kihivyo kumbe huyu jamaa alikuwa na akili japo shule ilikuwa imempita kushoto.

Kuna haja ya huyu jamaa kujisafisha kwanza kwani hali ya nchi inakwenda mrama .

Kama ni kuliwa tumeliwa tena tukajikuta kuwa tunamezwa wazima wazima , nchii hii ni yetu, ukitaka uheshimiwe nawe jiheshimu japo kidogo.

Hivi ukiiba fedha nyingi kiasi hicho utazitumia kufanyia kazi gani,ama ukoo wako utazitumiaje kwani kama ni majumba utakuwa tayari unayo na magari yapo sasa zote ni za kitu gani wandugu.
 
Shida ni tamaa, kwani shangaaa wote wanao endelea kuiba ni matajiri wa kutupwa! angalia kina Balali, karamagi, EL, RA, labda wakifa watazikwa nazo kwikwikwi..

Lakini hapa tu napenda kuwakumbusha kwa mara nyingine kwamba kwa hili la Zitto wametokosa, sijui watajisafisha vipi? naona arobaini yao inakaribia!
 
kusema ukweli waandishi wengi wa habari wa Tzee hawana uzalendo kama ilivyo kwa viongozi wengi in their 50s and 60s ndio maana tunasema kizazi cha sasa kilicho shuleni (from 15 up to 45) ndio ambao wanapaswa kuambukizwa ile roho ya uzalendo
 
Kuna habari za kuaminika kuwa Mhe Rostam Aziz maarufu humu kama RA amekuwa akihaha katika vyumba vya habari na kufanya vikao mbalimbali na baadhi ya wahariri na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kumtengenezea mabomu Zitto Kabwe ili jamii iache kuamini kile ambacho amekuwa akikisimamia katika siku za hivi karibuni.

Kumbukeni kuwa RA ndiye alikuwa mmoja wa wakuu wa idara ya propaganda wakati wa kampeni za urais ndani ya CCM mwaka 2005. Kwa kutumia waandishi mbalimbali ambao wengi wao tayari wameshatajwa hadharani huyu jamaa ndiye alikuwa chanzo cha habari nyingi nyeti za serikali ambazo zilipelekea kuanguka kisiasa kwa mawaziri kadhaa wa serikali ya tatu ambao walikuwa wakonekana tishio kwa JK ambaye walitegemea kupata ride yake kuneemesha maslahi yao binafsi.

Huyu jamaa ambaye kwa sasa ndio anaonekana kama KING MAKER nchini mwetu na kiongozi wa pili katika kundi la MTANDAO MASLAHI akifuatiwa na mshirika wake kibiashara na tajiri mwenzake Nizar Karamagi amekuwa mwiba mkubwa kwa JK kutokana na uroho wake wa kutaka awe katika kila deal inayoendelea nchini. Rostam ni mtu mwenye upeo mkubwa sana wa kiakili na mjanja kibiashara na asiye na simile katika kulinda maslahi yake. Mbinu chafu ndio jina lake la pili na unafiki ndio middle name yake.

Katika hali inayojitokeza sasa inaelekea RA anapigania maslahi ya kundi ziima la MTANDAO MASLAHI kutokana na dalili kuwa limekuwa mzigo mzito kwa JK kufikia mahala kuonyesha dalili zote za kushukiwa na nyundo kali hata kabla ya uchaguzi wa ndani wa chama kufanyika.

Pamoja na kuwa maslahi katika makampuni mbalimbali miliki ya vyombo vya habari kama Habari Corporation ambayo hutoa magazeti ya RAI, MTANZANIA na vilevile share ndogo katika umiliki wa gazeti la MWANANCHI na THE CITIZEN ambako amekuwa akizidiwa nguvu na Wakenya, RA anaushawishi mkubwa kwa waandishi wengi wa magazeti yetu kufikia wakati fulani kuwa akiwalipa mishahara tena mikubwa kuliko wapatayo kutoka kwa waajiri zao.

Moja ya kazi inayoendelea ni uandishi wa makala mbalimbali za kuwahadaa watanzania kutomuamini Zitto kabwe akiwatumi watu kaka Dr Gideon Shoo na Muhingo Rweyemamu ambao kwa miaka mingi sasa wamekuwa watumishi wake waaminifu katika kazi ya UHANDISI WA HABARI. Hawa ni vinara tu lakini wapo wengi wengine. ngome yake nyingine ni Gazeti la MAJIRA.

Kwa hali inayoendelea ni wazi mtasikia mengi kuhusu Zitto Kabwe lakini kuweni makini na kujaribu kujua vyanzo vya habari hizo. cha ajabu ni kuwa huyu jamii wakati wote hupenda kujifanya ni rafiki wa Zitto na kujigamba kuwa anamkubali na misimamo yake lakini ukweli ni kuwa akipata nafasi tu hataacha kummaliza ndugu yetu na kijana mwenzetu Zitto Kabwe. Ukweli ni kuwa RA ameshiriki hata kupanga njamaa za kuwaundermine baadhi ya wanamtandao wenzake ambao wanonekana kuelemea kundi la MTANDAO MATUMAINI linaloongozwa na Waziri MMoja mwandamizi Nchini ambalo liliweka imani ya matumaini ya watanzania kwa JK ambaye anaonekana kuelemewa nguvu na mafisadi waliojikita katika mpango wa kula hadi kusaza utajiri wa watanzania.

Zaidi sintashangaa kuwa hili likawa kosa la mwisho la RA ambalo sio tu litamrudi yeye binafsi lakini pia lina hatari ya kuzua hasira za watanzania wengine dhidi ya watanzania wenzao wenye asili ya asia (mnapenda waita wahindi) ambao RA anaonekana kama kinara wa maslahi yao katika ngazi ya kisiasa ingawa yyeye ni Muiran (mbulushi)zaidi ya uhindi.

Tanzanianjema

Tanzania njema....haya uliyoyasema hapa yameanza kuonekana..

Rostam ni mtu hatari sana na inabidi achukiwe na watanzania woote wapenda maendeleo
 
Haya yana ukweli au ni uzushi?

Mwanzilishi wa hii topic inaonekana ana chuki binafsi na Rostam na uburushi wake na wala sio uanamtandao.
 
Talk about PR and Spinning hawa jamaa wa FEMA kiboko. Yaani wame held PRESS CONFERENCE FEKI yaani hii hata ROSTAM sidhani kama anaweza kui top up

but then again Bu$h shouldn't be surprised - Laura has been faking it for years.


2007-10-26-femascreen.jpg


http://www.abcnews.go.com/TheLaw/story?id=3782176&page=1
 
Duuh, hiyo noma...... kweli kuna watu wanajua ku-spin, lakini watu lazima waache kazi hapo, siyo kama hapa nyumbani... wanabakia wakipeta mwendo mdundo. Huko uingereza pia nilisikia director mmojawapo bbc ilibidi aachie ngazi kutokana na kum-portray malikia wao kama akionyesha munkari na kustorm out ya foto shoot hali haikuwa hivyo!!

SteveD.
 
Rostam Aziz: It wasn’t me

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

THE Igunga Member of Parliament, Rostam Aziz, has insisted that he was not serving as national treasurer of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) at the time of the illegal funds disbursement from the Bank of Tanzania’s controversial external payment arrears (EPA) account.

A Rostam aide told THISDAY by phone yesterday that the politician-cum-business tycoon was appointed to be CCM national treasurer in June 2006 as part of internal party leadership changes, in which Yusuf Makamba also replaced Philip Mangula as CCM secretary general.

Rostam made the comments in reaction to a previous story published by THISDAY, which stated that he was CCM national treasurer at the time the EPA payments were made from the key BoT account.

The latest development comes in the wake of a special audit on the central bank’s EPA account conducted by international audit firm Ernest & Young, which uncovered illegal payments of more than 133bn/- made from the BoT during the period between July 1, 2005 and June 30, 2006.

However, an aide to Rostam said the MP took over from the late Ms Salome Mbatia as CCM national treasurer in 2006, and it was Ms Mbatia who served in the post during the 2005 general elections.

After replacing Ms Mbatia, Rostam served briefly in the post until November last year, when he was appointed member of the CCM central committee in yet more party leadership changes that saw Amos Makala become the new CCM national treasurer to date.

During the 2005 general elections, Rostam served in the 22-member CCM national campaign team.

Other members of the team were Mangula (chairman), Edward Lowassa, Ferdinand Ruhinda, Brig. Gen (rtd) Hassan Ngwilizi, Saleh Ramadhan Ferouz, the late Salome Mbatia, Jackson Msome, Omar Ramadhan Mapuri, Kingunge Ngombale-Mwiru, Abdulrahman Kinana, Dr Emmanuel Nchimbi, Samia Suluhu Hassan, and Anna Abdallah.

Also in the campaign team were Ali Ameir Mohamed, Mansoor Yusuf Himid, Mohamed Aboud Mohamed, Peter Kisumo, Mohamed Abdulaziz, Leila Nassor Khamis, Yusuf Mushi, and Sam Mapande.

Sources have said some senior government officials implicated in the EPA scam tried to cover up the illegal payments by claiming that a huge chunk of the funds were secretly diverted to make campaign contributions for CCM during the 2005 presidential elections.

Makamba has already publicly stated that CCM did not benefit in any way from the BoT funds.

Under the CCM constitution, the secretary general and national treasurer are the two principal office bearers responsible for the financial well-being of the party, and are required to ensure adequate funds are available for party operations including financing election campaigns.
 
Back
Top Bottom