Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Mheshimiwa Halisi,
Kwa hiyo umewabariki hao mafisadi wa habari, na unataka kutuambia hili suala limeanza sasa, au ni breaking news, hivyo habari kamili zinafuata...
Whether you like or not, Nchi inarudishwa nyuma na uandishi uchwara!!! Yaani uiambie jamii siku zote hizo kwamba Mweka hazina alikuwa Mwanakijiji alafu uje kirahisi tu useme sasa mwaka hazina alikuwa Mwafrika wa Kike na sio Mwanakijiji!!!
Tatizo la qualification za Uandishi wa Habari wa TZ utaimaliza nchi... na nadhani unajua Qualification ni Kukosa daraja la Kwanza au la Pili "O" and/or "A" level.
Una maana agani kusema kuwa qualification za waandishi zina matatizo. Tatizo lenu wanaccm mnataka kugeuza issue ya wizi mkubwa wa pesa kuwa anti-media. Of all things ambazo ungepigia kelele hapa duniani ni provacative journalism ya thisday?
Shame on you ccm!