Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Mwafrika wa Kike,
Hii case naifananisha na case ya hapa UK ya Blair iliyokuwa inahusu cash for honours. Blair na cronies wake walikuwa wanachukua pesa toka kwa sponsors na kumficha treasurer pamoja na Labour. Walipokuja kuambiwa walishutuka sana.
Naweza kuwa wrong lakini naamini si Mangula wala mama Mbatia aliyekuwa na habari na hizo pesa. Waliokuwa na habari ni hao akina Lowassa, Mkapa, Rostam labda na watu wengine wachache.
Kifo cha mama Mbatia ilikuwa ni ajali jamani, conspiracy theories juu ya kifo cha huyu mama ni kumwonea yeye na familia yake. Hakuna ushahidi wowote kwamba ilipangwa zaidi ya uzembe wa dereva wake.
Mtanzania,
Hata mimi najaribu sana kukubaliana nawe katika hili.
Najaribu sana kuamini kuwa sio watu wote walijua kinachoendelea wakati wa uchaguzi wa 2005. Kilichonishtua sana ni barua ya TISS kwa Lowasa iliyovuja na ambayo ilimuonya Lowasa kwa nguvu zote asiruhusu hoja ya Slaa bungeni kuhusu wizi BoT.
Mimi nimejifunza kutoiamini serikali yoyote (hata ingekuwa ya CHADEMA). Usanii anaoendesha Kikwete katika hii issue ni wa hali ya juu na ninaona uhusika wake na viongozi wengi wa ccm katika hili. Kumbuka kuwa wakati hizi habari zinavuja hapa JF mwaka jana Spika Sitta alisema kuwa haya mambo ya BoT ni ya intanet kwa hiyo inabidi yapuuziwe.
Kuna mengi sana yamejificha hapa. Kumpata Rostam Aziz kwenye record ni mwanzo mzuri. Hapa tutapush hadi kieleweke na kwa sasa wananchi wanazidi kujua kinachoendelea.
Just get your popcorn. Yanayokuja ni makubwa.