Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Mwafrika wa Kike,

Hii case naifananisha na case ya hapa UK ya Blair iliyokuwa inahusu cash for honours. Blair na cronies wake walikuwa wanachukua pesa toka kwa sponsors na kumficha treasurer pamoja na Labour. Walipokuja kuambiwa walishutuka sana.

Naweza kuwa wrong lakini naamini si Mangula wala mama Mbatia aliyekuwa na habari na hizo pesa. Waliokuwa na habari ni hao akina Lowassa, Mkapa, Rostam labda na watu wengine wachache.

Kifo cha mama Mbatia ilikuwa ni ajali jamani, conspiracy theories juu ya kifo cha huyu mama ni kumwonea yeye na familia yake. Hakuna ushahidi wowote kwamba ilipangwa zaidi ya uzembe wa dereva wake.

Mtanzania,

Hata mimi najaribu sana kukubaliana nawe katika hili.
Najaribu sana kuamini kuwa sio watu wote walijua kinachoendelea wakati wa uchaguzi wa 2005. Kilichonishtua sana ni barua ya TISS kwa Lowasa iliyovuja na ambayo ilimuonya Lowasa kwa nguvu zote asiruhusu hoja ya Slaa bungeni kuhusu wizi BoT.

Mimi nimejifunza kutoiamini serikali yoyote (hata ingekuwa ya CHADEMA). Usanii anaoendesha Kikwete katika hii issue ni wa hali ya juu na ninaona uhusika wake na viongozi wengi wa ccm katika hili. Kumbuka kuwa wakati hizi habari zinavuja hapa JF mwaka jana Spika Sitta alisema kuwa haya mambo ya BoT ni ya intanet kwa hiyo inabidi yapuuziwe.

Kuna mengi sana yamejificha hapa. Kumpata Rostam Aziz kwenye record ni mwanzo mzuri. Hapa tutapush hadi kieleweke na kwa sasa wananchi wanazidi kujua kinachoendelea.

Just get your popcorn. Yanayokuja ni makubwa.
 
Mwafrika wa Kike,

Hii case naifananisha na case ya hapa UK ya Blair iliyokuwa inahusu cash for honours. Blair na cronies wake walikuwa wanachukua pesa toka kwa sponsors na kumficha treasurer pamoja na Labour. Walipokuja kuambiwa walishutuka sana.

Naweza kuwa wrong lakini naamini si Mangula wala mama Mbatia aliyekuwa na habari na hizo pesa. Waliokuwa na habari ni hao akina Lowassa, Mkapa, Rostam labda na watu wengine wachache.

Kifo cha mama Mbatia ilikuwa ni ajali jamani, conspiracy theories juu ya kifo cha huyu mama ni kumwonea yeye na familia yake. Hakuna ushahidi wowote kwamba ilipangwa zaidi ya uzembe wa dereva wake.
Rostam Aziz: It wasn’t me
 
ccm wamechemsha for now big tyme. Balali hajakufa (he aint dead yet) kama walivyotaka na sasa vikao kila siku. I say again kuwa kifo cha Mama Mbatia (ambaye inabidi aunguzwe mara saba jehanam kwa kushiriki katika wizi wa pesa za watanzania) kimekuja tena kwenye spotlight.

Tafuta nyembe ungoe macho maana I am just getting started. Kesho na keshokutwa magazeti kibao yataanza kuuliza mazingira ya kifo cha fisadi huyu (mama mbatia) na baada ya hapo sijui mimi na wewe unayejaribu kutetea mafisadi nani atahitaji kutubu hapa!

Iliwahi semwa hapa na 'wenye nyeti' kuwa Tsh. 200 million! zilikuwemo kwenye gari la ajali!
Tsh 200 million? Zilizokuwa zinakwenda kugawiwa wajumbe wa Mbeya?
No wonder, what is 200 bob out of billions!
 
Mtanzania
Unajua kwamba I have seen both police report na Govt report vina utofauti mkubwa na ndiyo maana kila kitu ni kimya hata si Nipashe wala nani anataka kuandika kuulizia ?

Lunyungu,

Kwa Tanzania yote yanawezekana na afadhali ninyamaze. Sijui tumefikaje hapa? Yaani inatia aibu. Nimemwangalia Kibaki leo kwenye TV, naona sasa
anajua mchezo mdogo wa kuiba kura sasa umezua balaa.

Lets hope hawa mafisadi wataandamwa mpake ufike mwisho wao.
 
FACTS:

- Kagoda is connected to RA. Investigators waangalie final destination ya hela na sio Directors wa KAGODA. RA signed for the monies.

- RA had wanted to take the Finance Ministry to clear the tracks but unfortunately the ministry was handled to Meghji who was not part of the scam.

- Lobbying to have her removed continued and Salome(RIP) was chosen for the task. She was financed HEAVILY in her campaigns throughout the country to make sure Meghji fails in NEC. The plan backfired due to the accident.

- RA newspapers continued to attack Meghji hoping to force her to step down (AC style). This failed and ended exposing him.

Picha hapo chini inamwonyesha RA and Marehemu(RIP) wakipanga mikakati enzi hizo.
attachment.php

Soon...VERY SOON...

Hizi facts za kulazimishiwa wengine tumezichoka,,, kama nilivyosema mambo ya kusoma kwa IMANI basi,,, give facts, sio kwa kuandika neno FACTS, kwa ku-provide PROOF and/or provide undoubfull EVIDENCES... if not the following rules supercede "NO RESEARCH NO RIGHT TO...]
 
Hizi facts za kulazimishiwa wengine tumezichoka,,, kama nilivyosema mambo ya kusoma kwa IMANI basi,,, give facts, sio kwa kuandika neno FACTS, kwa ku-provide PROOF and/or provide undoubfull EVIDENCES... if not the following rules supercede "NO RESEARCH NO WRITE TO...]

Hizo nilizoandika ni facts sasa wewe ni uamuzi wako kuziamini au kuzikataa.
Evidence zipo na zitatolewa hapo ITAKAPOBIDI...

"No research no right to write"
 
Are you living in a box? you are asking about ethics about the reporting or the efforts to pry the truth about the whoe issue of BOT which was UNETHICAL?

Ask TAKUKURU who used ethics to investigate Richmnond and came out empty handed!

JF kwa vichwa bwana, Duh! Rev. Kishoka, utatufukuzia wajumbe mkuu mpola mpola, au kama wanavyosema wa-Zaire, tukendeke malembe mkuu, yaani twende pole pole!
 
Hizo nilizoandika ni facts sasa wewe ni uamuzi wako kuziamini au kuzikataa.
Evidence zipo na zitatolewa hapo ITAKAPOBIDI...

"No research no right to write"

Haya Mkuu, tutalaa na kukesha tukisubiri hiyo siku facts zitakapotolewa!!! mpaka sasa wengine zaidi yako... tunaamini tu.... tunaota tu!!! du ndio bongoland!!! yaani unatuhubiria kama misikitini au makanisani!!! hatuna haki ya kuelezwa ukweli ili tuwe pamoja mkuu!? sasa kulikuwa na haja gani ya kutuambia vitu ambavyo unatueleza ki-usanii saniii!!!
 
breathtaking...........!!! lakini wazee, maneno matupu hayapiki ubwabwa. hizi stories hapa unaweza kuandika mystery novel bestseller kwikwikwi tena NY. Kaaazi kweli ipo!
 
Mafisadi waliona ufisadi waliofanya unafichuka wakaamua kulala mbele ili kuficha madhambi yao. Walimkolimba Kolimba pale aliposema CCM haina mwelekeo. Walmkolimba Sokoine pale alipoamua kupambana na walanguzi hivyo sioni ajabu yoyote ya mafisadi kuamua kumkolimba Mbatia ili yale anayoyajua kuhusiana na ufisadi huu yabaki kuwa siri ya milele.

Mafisadi hawa wanaweza kufanya lolote ili kuficha unyama wao!
 
Ndo maana Mafisadi wakifa au kukatika mikono mie huwa simo kabisa kwenye foleni ya kutoa pole za Bandia.

Mtu alo kukaba Roho akakuibia ukikutana naye mkono umepooza utampa pole?

Aliye bega kwa bega na siasa za mafisadi naye ni fisadi tu.

RA anaruka kimanga kwani joto la misheni yao ya SAIDIA SISIEMU ISHINDE KWA FEDHA ZA BOT linapanda kila sekunde.

Nzi ana Ubongo mdogo kuliko viongozi wa SISIEMU, ambao bongo zao ni ndogo kuliko Nyani wa Mikumi , lakini kamwe mbawa za nzi na udogo wa ubongo wake havimpeleki kutua juu ya Kijinga cha moto.
 
Lunyungu,

Thisday wamecheza bonge la game (very smart) kwenye journalism. Kila mwanaccm au kiongozi wa ccm hapa muda si mrefu atalowa tope la wizi huu wa BOT. Mpango wa kumwekea lawama zote Balali umeanza kufeli na sasa Rostam ameleta issue ya mama Mbatia na kifo chake cha kutatanisha!

Kamata popcorn na enjoy the movie, mafisadi wataanikwa hapa na Tanzania yote, kitakachofuatia ni MUNGU tu ndiye anajua kwa sasa

Good job Thisday!
Hayo Ni Mawazo Mgando kama waandishi wenyewe waloandika wasicho jua
 
KAKA HAWA JAMAA WANAANDIKA ATA WASIOYAJUA,KOSA LA ROSTAM NI NINI JUST KUSEMA HAKIWEPO MADARAKANI WAKATI HUO,KUNA MWALIMU WANGU MMOJA ALINIAMBIA KTK PRIMITIVE SOCIETY HAKUNA KIFO KISICHOHUSISHWA NA MKONO WA MTU.WAWA WATU HAWAMJUI ROSTAM,JAMAA ANA AKILI SANA WANAHITAJIKA NJAMBO FORUMS KAM KUMI TUJIUNGANISHE AKILI ZETU ILI KUTOA KICHWA KIMOJA CHA ROSTAM.
 
Hapo mimi simo eti RA anaakili kuliko watu wote kwenye forum hii ama kweli ukistaajabu ya musa basi iutayaona ya fisadi mtoto.....

Nawaapia kama huyu alichokiandika anakiamini basi taifa hili linatakiwa kuzaa watoto ambao ni hybrid na sio hawa waliozaliwa na kujikuta wakishambuliwa na kwashakoo na ndio maana akili zinaweza kudumaa kiasi hiki na hata kudhubutu kuandika ulichokiandika.

Mimi simo na tena nasema simo hata kidogo huko najitoa kwenye kuamini akili na mawazo kama ya kwako.
 
MPAKA KIELEWEKE.

Fisadi Mtoto anahoja na nadhani hoja yake imekita ktk falsafa ya Primitive society ambayo inaimani kua kila kifo kina mkono wa mtu,Kaka Fisadi ameonyesha uhalisia wa aina ya watu wa jamii hiyo.

Nachota kusema.
Ukweli wa Fisadi mtoto unaonekana ktk mawazo ya watu kama mwafrika wakike ambae ukisoma tangu ameanza kuchangia ktk mjadala huu anataka tuamini kifo cha Mbatia kuna mkono wa mtu,balali amepewa sumu hayo ndo mawazo ya primitive society.

Ingawa sitaki kuamini kua hii ni primitive society but nacho amini kuna watu waliopo sasa ambao ni primitive thinkers kama hao wenye kuamini kua mbatia aliuwawa na watu or mtu.

Hoja ya This Day imeshusha Credibility ya uandishi wa habari jambo ambalo nilitegemea watu kama mwanakijiji wangekua hapa leo kutuambia the professional side of it sio kuja hoja za ajabu ajabu zakina mwafirika wa kike.

Kuna mtu alihoji kua wote ktk kampein team ya ccm walikua na vyeo ndani ya chama sasa RA ametokea wapi,hawa ndo watu hatari wanacomment juu yakitu wasichojua,RA NI MNEC aneawakilisha mkoa wa TBR kama hoja ni cheo but was that a qualification ya kua ktk team ya kampein? nikiuliza kina mwafrika wao kwao chadema kina owenya,mdee,lucy etc hawa mabinti waliokua wanruka na helkopta with mboe walikua na vyeo chadema i hope walipewa chance bcs of either uwezo wao or SPECIAL SERVICE kwa wakubwa,kama inavyosemekana.

Kwhiyo This Day as i said mwanzo wameonyesha UJINGA wa waandishi wetu wengi ambao hawasomi bcs kuna siku mwanakijiji alikiri humu ndani kua yy hua hawezi kusoma haraka mpaka afunge kamba macho nilielewa ana maanisha nini ila anaweza kuandika haraka kauli ilonistua sana.

Jamii hii kama alivo sema Fisadi mto kua Ni Primitive ingawa hapo natofautiana nae ila nacho amini ni kua tuna PRIMITIVE THINKERS ndani ya society yetu na mbaya zaidi ni kua most of Primitive thinkers ni waandishi wetu ambao i belive ndo hawa wanaangalia Personaliyies badala ya issue na bcs kina mwafrika ni wengi basi nao wanamini na kukurupuka na hasa pale kijiwe cha KINONDONI karibu na Kwa MANYANYA.

Kwahiyo FISADI MTOTO alichtuonyesha ni kua JF wengi wenye mawazo -ve kama kina mwafrika uwezo wao ni mdogo wa kuelewa na wanaongozwa na hisia zaidi kuliko uhalisia.Na sisi CCM TUMEPEWA JUKUMU LA KUWAONGOZA WOTE NA KUWASAIDI.
 
Mtot wa Mkulima.

KULA 10!!!!

Tunajaza ma-thread na vitu ambavyo ni vya -Kijima!!! wakati wa Sayansi na Technolojia... it takes 3 years 2005-2008 to know kwamba RA hakuwa mweka hazina kipindi cha 2005... ati ni uandishi wa ku-provoke...

Nakumbuka hadithi ya kipindi cha RTD "cha mama na mwana"ilikuwa inahusu sikukuu ya mfalme, ambapo mfalme alikuwa anapenda sana kusifiwa kwa kila kitu... na kuhitaji vitu ambavyo ni-extra ordinary... sasa fundi wake akamwambia nitakutengenezea mavazi ambayo wewe mwenyewe (mfalme) hutayaaona bali wananchi wao watayaona!!! siku ya siku Mfalme akapitishwa uchi mbele ya watu wake!!! Kama kawaida wananchi (waKijima) wakamshangilia isipokuwa mtoto mmoja akasema ...mama mama... mfalme hajavaa nguo... mama akamwambia nyamaza ... mtoto akaendelea mama mama... mfalme hajavaa nguo... ndio watu wote wakaanza kumcheka mfalme... na hadithi yangu ikaishia hapo...

Sasa Mwafrika wa Kike & Team, wanataka tuamini tu mambo kijijima kama hawa wananchi wa enzi za mfalme!!!
 
Maneno yote uliyoandika mtoto wa Mkulima naomba niyajibu kwa ufupi sana kuwa hustahili kuwa Mtoto wa Mkulima, pengine mwenzako anayejiita Fisadi Mtoto ana haki ya kusema hayo ama na wewe tukuite Mtoto wa Fisadi
 
Mtot wa Mkulima.

KULA 10!!!!

Tunajaza ma-thread na vitu ambavyo ni vya -Kijima!!! wakati wa Sayansi na Technolojia... it takes 3 years 2005-2008 to know kwamba RA hakuwa mweka hazina kipindi cha 2005... ati ni uandishi wa ku-provoke...

Nakumbuka hadithi ya kipindi cha RTD "cha mama na mwana"ilikuwa inahusu sikukuu ya mfalme, ambapo mfalme alikuwa anapenda sana kusifiwa kwa kila kitu... na kuhitaji vitu ambavyo ni-extra ordinary... sasa fundi wake akamwambia nitakutengenezea mavazi ambayo wewe mwenyewe (mfalme) hutayaaona bali wananchi wao watayaona!!! siku ya siku Mfalme akapitishwa uchi mbele ya watu wake!!! Kama kawaida wananchi (waKijima) wakamshangilia isipokuwa mtoto mmoja akasema ...mama mama... mfalme hajavaa nguo... mama akamwambia nyamaza ... mtoto akaendelea mama mama... mfalme hajavaa nguo... ndio watu wote wakaanza kumcheka mfalme... na hadithi yangu ikaishia hapo...

Sasa Mwafrika wa Kike & Team, wanataka tuamini tu mambo kijijima kama hawa wananchi wa enzi za mfalme!!!

Unaongea sana ukiona niko off, sasa nimeingia mwenyewe leta utetezi wako wa ufisadi. So far nakuona wewe na watoto hao wa wakulima na kifisadi mkisema kuwa hii story sio ya ukweli bila kusema ambacho si cha kweli ni nini!

1. Haya ya mama Mbatia kuwa mfisadi na mwizi nimeyasema mimi na sio Thisday je una tatizo na hilo?

2. Haya mama mbatia kuangukia kwenye mikono ya wauaji hatari kabisa ndani ya ccm nimeyasema mimi na sio Thisday je unatatizo na hilo?

3. Haya ya kutaka mama Mbatia aungue kwenye moto mkali kabisa uliochochewa mara saba huko kuzimu aliko nimeyasema mimi na sio Thisday je una tatizo na hilo?

4. Ushahidi wote kuanzia Dr Slaa hadi report zinazovuja za usalama na main story ya Thisday inaonyesha kuwa Rostam ni mhusika mkuu wa Kagoda (the real story behind this crap) je unabisha hilo?

5. Inaonekana umevaa viatu vya kijani na sox za njano leo na hili nimelisema mimi sasa hivi hivi hapa hapa na watu hawa hawa na watoto wao wale wale wa kifisadi wamesikia je unatatizo na hilo pia?
 
Mtot wa Mkulima.

KULA 10!!!!

Tunajaza ma-thread na vitu ambavyo ni vya -Kijima!!! wakati wa Sayansi na Technolojia... it takes 3 years 2005-2008 to know kwamba RA hakuwa mweka hazina kipindi cha 2005... ati ni uandishi wa ku-provoke...

Nakumbuka hadithi ya kipindi cha RTD "cha mama na mwana"ilikuwa inahusu sikukuu ya mfalme, ambapo mfalme alikuwa anapenda sana kusifiwa kwa kila kitu... na kuhitaji vitu ambavyo ni-extra ordinary... sasa fundi wake akamwambia nitakutengenezea mavazi ambayo wewe mwenyewe (mfalme) hutayaaona bali wananchi wao watayaona!!! siku ya siku Mfalme akapitishwa uchi mbele ya watu wake!!! Kama kawaida wananchi (waKijima) wakamshangilia isipokuwa mtoto mmoja akasema ...mama mama... mfalme hajavaa nguo... mama akamwambia nyamaza ... mtoto akaendelea mama mama... mfalme hajavaa nguo... ndio watu wote wakaanza kumcheka mfalme... na hadithi yangu ikaishia hapo...

Sasa Mwafrika wa Kike & Team, wanataka tuamini tu mambo kijijima kama hawa wananchi wa enzi za mfalme!!!
MAKUUNGA MMKONO WEWE PAMOJA NA MTOT WA MKULIMA,MMEONA WENYEWE JINSI JAMAA WALIVYO WAGUMU WA KUTUMIA UBONGO VEMA,KWA KWELI WANAITIA AIBU FORUM KWA KWELI,MAWAZO NI UCHAWI NA KUDANDIA HOJA BILA KUWA NA HOJA THABITI NA NDIO MAANA NA MIMI NIMEANZA KUJIANDAA KUCHUKUA JIMBO MAANA NIMEGUNDUA NISIPORITHI JIMBO LA MZEE WANGU KUNA HATARI NCHI KUTUMBUKIA KATIKA WATU KAMA MWAFRIKA WA KIKE AMBAO ATA UKIWAUNGANISHA LAKI MOJA KAMA CHAKE BADO HAWEZI TOKA ATA RA MMOJA.
 
Back
Top Bottom