Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

CCM Treasurer alikuwa Hayati Salome Mbatia during the questionable times of 2005 election?? Guys, I just can not make this out but my gut-feeling tells me something fishy (and really really bad) happened somewhere here......

Jamani, kwa kweli napata some bad feelings about where this issue is leading to.......
 
Bado uandishi wetu ninautilia mashaka sana! yaani kelele zote hizo hawakuwa wamejua viongozi wa wakati huo?

Pili mpaka leo hakuna mtu ameenda kuongea at least na Katibu Mkuu wa wakati huo!!!

Ni uandishi gani huu!!!
 
Unaona unafiki wa hawa ThisDay badala ya ku apologise kwa uongo wao , they just beat around the bush kwa standard hizi za uandishi safari yetu ya ukombozi ni ndefu zaidi tunavyofikiri...
 

I feel you , brother! Same thing here! People thought that Salome Mbatia's accident was intended for Zitto but I think it was right on mark! Feel in the blanks......
 
Hivi jamaa waliomgonga na kumuua Salome Mbatia wameishia wapi????
 
Siamini kama Thisday ni wazembe kiasi hicho, I am sure hiyo ni provocative technique ya kumfanya RA aongee na ameongea. Sasa itashangaza yatakapokuja mabomu halisi akajifanya mwenye busara na kukaa kimya let us wait time will tell!!!
 
Bado uandishi wetu ninautilia mashaka sana! yaani kelele zote hizo hawakuwa wamejua viongozi wa wakati huo?

Pili mpaka leo hakuna mtu ameenda kuongea at least na Katibu Mkuu wa wakati huo!!!

Ni uandishi gani huu!!!

Soma RAIA MWEMA last week www.raiamwema.co.tz utaona kila kitu, alichosema Mangula, Makala, Chiligati, lakini hiyo story ya THISDAY isome between the lines... na MAsatu pia soma between the lines story ya THISDAY, inaibua mjadala upya na moja kwa moja kumsogeza karibu RA na suala hili. Ukosoma RAIA MWEMA, ukaangalia background ya THISDAY ni nani walikua katika kamati ya kampeni unaibuka na kitu kizito na cha maana kabisa.. Huu ni mwanzo wa mwisho na utasikia VITA KATI YA RA na watu wa THISDAY na inaweza vita ikabadilika na kuwa ya MEDIA kwa MEDIA badala ya VITA DHIDI ya mafisadi
 
Siamini kama Thisday ni wazembe kiasi hicho, I am sure hiyo ni provocative technique ya kumfanya RA aongee na ameongea. Sasa itashangaza yatakapokuja mabomu halisi akajifanya mwenye busara na kukaa kimya let us wait time will tell!!!

Nice try, lakini ndio ethically is it acceptable?
 
Siamini kama Thisday ni wazembe kiasi hicho, I am sure hiyo ni provocative technique ya kumfanya RA aongee na ameongea. Sasa itashangaza yatakapokuja mabomu halisi akajifanya mwenye busara na kukaa kimya let us wait time will tell!!!

Nyambala umegonga mfupa. KUMEKUCHA hasa wanaotaka KUFICHA ukweli
 

Masatu masuala la ethics huwa yanafumbiwa macho katika mapambano ndio maana kuna wakati watu WANAIBA doccument wakati wizi ni kosa, wananunua doccument, wanadanganya hata identity zao ili waingie gerezani wapate story, lakini yote inategemea na UAMINIFU wa mwandishi na chombo husika. Wako wanaokiuka maadili kwa nia mbaya na hao ndio MAFISADI kuliko MAFISADI wa BoT
 
Haya. "It wasnt't me" kama ya Lowassa na Richmond, tena katika same paper, THISDAY
 

Hey mbona kuiba documents na kumsingizia mtu kuwa alikuwa mweka hazina wakati hakuwa ni vitu tofauti?

Huu nao pia ni ufisadi habari....
 
Rostam Aziz: It wasn't me
Ndg wana JF,
I hope as days goes on tunaona aina ya waandishi tulio nao ktk nchii hii,na i think kama watu watakumbuka some days back niliwahi kuchangia ktk hoja abt kubenea nika sema alot of waandishi wetu they just write either speculation zao or agenda za mabosi wao or mawazo yao binafsi and they dont do their job.

Kuna mtu anadai this was provacative technique, to be honest that is not wanachofanya ni kuonyesha how un informed they are.

Wat i can see is either wana ajenda binafsi,hawajui kazi yao which is almost 85% ya belive yangu or agenda ya bosi wao.

But lets wait we will see how waandishi wengi ni kama hawa wa this day.
 
Nakumbuka kitabu cha "Someni Bila Shida" na hapa JF someni bila shida, mstari kwa mstari, neno kwa neno ndipo UTAPATA jibu

 

Ni kweli kabisa hakua Mweka Hazina wakati huuu!???!!! Nakwambia tutasikia na kuona mengi.. We subiri tu. Ndio kwanza asubuhi na wanaozijua fedha tayari hapa kuna madili kibao, wako waliokubali kubeba MISALABA kulinda wakubwa, mradi tu wahakikishiwe donge nono

 
Hapa nahisi sielewi.... kilichoandikwa hapa ni kwamba RA amekataa kwamba hakuwa mweka hazina wa CCM kabla ya 2006.

Thisday wanataka kutuelimisha kwamba mweka hazina wa CCM wakati wa ufisadi alikuwa SJM (RIP) au wanatuambia kwamba RA hakuhusika na ufisadi?

Give some light, it's a bit dark down here.
 
Hey mbona kuiba documents na kumsingizia mtu kuwa alikuwa mweka hazina wakati hakuwa ni vitu tofauti?

Huu nao pia ni ufisadi habari....


Tutakoma, tena wameongeza na bei ya magazeti!!! ole wetu tunaokimbilia vichwa vya habari!!!
 

TUMEKWISHA...... Akili ni NYWELE kila mtu ana zake...........

Tayari, THISDAY sasa ni WAHALIFU NA WAKOSAJI WAKUBWA KWA KUANDIKA KWAMBA ROSTAM ALIKUA MWEKA HAZINA WAKATI WA EPA, nadhani siku wakiandika kwamba ANAHUSIKA NA EPA na sasa WANAMBEMBELEZA BALLALI NA WENZAKE WENYE SIRI WASITOE HADHARANI, WENGINE MUNAPIGWA CHANGA LA MACHO. KITAKACHOFUATA NI KUZIMWA KWA KILA KTU.. NA HUMU JUHUDI TUNAZIONA WAZIWAZI, MADA IMEBADILIKA NA KUWA WAANDISHI WABOVU NA SI UFISADI NA UBOVU NI MWAKA. HAKUNA ANAYEJADILI NI NANI ALIGHUSHI NYARAKA ZA KAGODA, HAKUNA ANAYEJADILI NI NANI ALIMSIMAMIA BALLALI HADI KINA BEN WALIPOMLAZIMISHA ALIPE, HAYO YAMEFUNIKWA KAPUNI NA KWA TAARIFA ZA LEO HAYATASEMWA TENA. NI HAPO ITAKAPOWEKWA HUMU JF NYARAKA NA MKATABA ALIOSAINI MTU AKIKABIDHIWA MAMLAKA YA KUNUNUA DENI KUPITIA KAGODA NDIPO WATU WATANYAMAZA
 
Mkapa awe na sifa mbaya au njema miongoni mwetu lakini historia haitamtenga na matendo yake mabaya na yale mazuri,"NITAMKUMBUKA SANA ALIPOWAPONDA WANA HABARI WETU KWA KUWAITA NI MBUMBUMBU"

Mengi anawaburuta kama atakavyo na wengina sasa wanajifanya kumuomba msamaha mzee Mwinyi,ni usanii gani huu mnatuletea ,mtaomba msamaha mpaka kwa kila ajaye au ni kwa vile mnajua amewashika pabaya ????

Kuweni wakweli na wazalendo kwa nchi yenu na watu wake.
 

Mheshimiwa Halisi,

Kwa hiyo umewabariki hao mafisadi wa habari, na unataka kutuambia hili suala limeanza sasa, au ni breaking news, hivyo habari kamili zinafuata...

Whether you like or not, Nchi inarudishwa nyuma na uandishi uchwara!!! Yaani uiambie jamii siku zote hizo kwamba Mweka hazina alikuwa Mwanakijiji alafu uje kirahisi tu useme sasa mwaka hazina alikuwa Mwafrika wa Kike na sio Mwanakijiji!!!

Tatizo la qualification za Uandishi wa Habari wa TZ utaimaliza nchi... na nadhani unajua Qualification ni Kukosa daraja la Kwanza au la Pili "O" and/or "A" level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…