Kibunango
Platinum Member
- Aug 29, 2006
- 8,468
- 2,349
Kauli zingine ni mfano tosha wa ujuha......huna hata aibu mpuuzi wewe!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli zingine ni mfano tosha wa ujuha......huna hata aibu mpuuzi wewe!
Sina haja ya kujua kama wewe ni sisiemu ama la, ila ningependa kukukosoa kwamba hoja hizi za kufichua uozo kule kwenye Richmond na kwingineko zililetwa na wapinzani sio sisiemu kama wewe na mwenzako Kpt. John Chiligati mnavyotaka kutuaminisha.
Long Live Tanzania!
HOJA SI WABUNGE WA SISIEM KUWA WAKALI. ILA ELEWA WALIOANZISHA HII MOTION NI OPOSITION NA MEDIA.HAWA JAMAA WAMEIRUKIA BAADA YA KUONA NGOMA NI NZITO NA HAWANA JINSI YA KUNUSURU CHAMA CHAO. SUBIRI UONE WATAKAVYO IRUKIA YA BUZWAGI. WATASAHAU KAMA WALIMUADHIBU NAYO ZITTO.
Kuna watu wanaingilia IP adrress za watu hapa ,nawapa onyo kwani nawaona humu kwangu mwataka nijua eee nipo hapa ndani ya ukumbi wa mapambano Kiteto njooni mtanikuta.
jana sikuamini masikio yangu niliposikia hotuba ya muungwana jinsi ilivo kuwa nyepesi nyepesi yenye mizaha mizaha wakati taifa lipo katika mtikisikoo mkubwa namna hii.
Naelekea kuamini kabisa kwamba Tatizo kubwa tulilo nalo Tanzania ni raisi wetu ndo maana upuuzi wote huu umeendelea akiuona na pengine kuubariki!
Njia ya kujikomboa ni kuondoa kiini cha tatizo, vinginevyo tutaendelea tibu jipu la mguuni kesho linaibukia usoni kwani damu bado inabakia kuwa chafu!( Nukuu bunge la jana)
Mtu wa pwani, mtu wa pwani!
najua unataka na wewe kuwa maarufu humu, lakini post zako kutokana na kutofanya homework ya kutosha unaishia kuwa moja ya vilaza kwenye hii forum. Mama kilango moja ya watu ambao ni wasemaji wazuri kabisa amesema mbele ya taifa kuwa CCM iliwaachia wakina kabwe kuikosoa na akasema kuwa sasa hivi na wao wameamka. Sasa hao ccm unaotaka kuwasifia kuwa ndiyo wameleta hoja walikuwa wapi siku zote. Kwa taarifa yako ukiona mpinzania wako anagombana na mke wake inabidi ukae kimya ila wajimalize wenyewe kwa jamii ukiaanza kusema sana watashtuka?
Kwa hiyo wapinzani wamekaa kimya wakati chama unachokipenda kikijikaanga chenyewe kwa mafuta yake na ukifika muda wa kukitafuna itakuwa rahisi. OMBI nakuomba ufanye utafiti inalau kidogo unapoleta hoja yako iwe na nguvu na kumbuka kuwa unaongea na Tanzania yote na sio watu wa Pwani pekee
Wewe ndio unataka umaarufu humu, katoa maoni yake akiwa mtu huru kama ni pumba au point hilo si la kwako ku judge.
Several other MPs who debated the Richmond report findings, were united in the opinion that resignations alone should not be the ultimate punishment for the politicians implicated in the scandal.
They demanded that criminal charges be instituted against all politicians and government officials linked to the suspect contract signed in 2006 under highly dubious circumstances, as well as recovery of public funds embezzled in the process.
Dr. Ringo Tenga ndio alihusika na hiyo mikataba na wala si Ridhwani.Kwanza Ridhwani hajafaulu Mtihani wa kuwa Advocate.ni mwanasheria tu
Hatulali mpaka Lowassa na Timu yako yote muende Keko na kunyea debe kama wezi wengine.
Hii ndiyo ahadi yetu kwenu Mafisadi wote ndani ya SISIEMU.
Mlizoea kuwafunga midomo wabunge wa SISIEMU wasiseme kwa kisingizio cha umoja wa kichama kumbe ilikuwa ni kuwazuia wasiwaguse pabaya.
Lowassa mambo yakiiva cha moto utakiona, hata nywele zako zitageuka nyeusi kwa ukali wa kibano.
Ni lazima tuwafikishe mahakamani hata kama gharama yake ni kubwa kiasi gani.
Safari hii hakuna mtu wa kumtoa kafara labda wake zenu na vimada au wazazi wenu ndo muwatoe kafara.
Sisi wananchi tutashinda ninyi mafisadi mtashindwa nakutokomea.
....huna hata aibu mpuuzi wewe!
Wewe ndio unataka umaarufu humu, Mtu wa Pwani katoa maoni yake akiwa mtu huru kama ni pumba au point hilo si la kwako ku judge.
Hiyo inaitwa mahakama ya Wananchi ambayo wao ndio waendesha mashtaka,mahakimu na watekeleza hukumu. Nahuko ndiko kunakomfaa Rostam na wenzie wote waliolifikisha hapa taifa letu.Unajua natafuta adhabu ya kumfanya Rostam azizi mfano kwa wenzie wote. Dawa yake ni kumshusha pale Manzese kisha vijana wangu waambie yule ndio Rostam Azizi aliyesababisha watoto wenu wasikalie madawati, yule ndio aliyesababisha mabomba ya maji ya kipasuka yasitengenezwa, yule ndio amesababisha watoto wenu wasisome usiku sababu umeme unakatika, sababu yule ndio aliyekula pesa zenu, sasa nyinyi ndio majudge mfanyieni hukumu.
Vijana wangu watapiga gabachori yule, na hiyo ndio mwisho wake.
Ningemshauri Kikwete aje public haraka, awaeleze watanzania ukweli wote kuhusu yaliyotokea hapa na kama alihusika hivi basi aombe msamaha kisha aahidi kutofanya haya tena........
otherwise, tik tak tik tak tik tak..........
Ujumbe wangu kwa wewe na hao ndugu zako ni kwamba tunazikaribisha hoja zenu lakini at least ziwe na nguvu na research za kutosha. Lakini kama mkiendelea kukurupuka kama hivi na kuleta hoja za kishabiki tutawa-fire tu kama tulivyomfanyia baba yenu bungeni. Hapa JF haogopwi mtu hapa hasa watu wenye hoja nyepesi kama zenu. Nadhani itabidi kufanya IQ test kabla ya kupewa uwanachama hoja za kusema ccm ndicho chama imara bila ya kutuambia kuwa ni kwa nini ni imara hazina nafasi humu labda kwenye majukwaa.