Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Sina haja ya kujua kama wewe ni sisiemu ama la, ila ningependa kukukosoa kwamba hoja hizi za kufichua uozo kule kwenye Richmond na kwingineko zililetwa na wapinzani sio sisiemu kama wewe na mwenzako Kpt. John Chiligati mnavyotaka kutuaminisha.
Long Live Tanzania!

Naomba huyo Kpt Chiligati usimtaje taje maana ananitia kichefuchefu! Hivi kweli Sisiem imeshindwa kutafuta mtu bora zaidi kwa post ya katibu mwenezi. Yaani these people are living in the 70s wanajua bado kuna ujamaa na mambo yanaenda kama wanavyoamuru. Chiligati hajui maana ya free market economy (amevuruga labor market nzima ya nchi!), ameleta propaganda za danganya toto ambazo watanzania wamezichoka!
 
HOJA SI WABUNGE WA SISIEM KUWA WAKALI. ILA ELEWA WALIOANZISHA HII MOTION NI OPOSITION NA MEDIA.HAWA JAMAA WAMEIRUKIA BAADA YA KUONA NGOMA NI NZITO NA HAWANA JINSI YA KUNUSURU CHAMA CHAO. SUBIRI UONE WATAKAVYO IRUKIA YA BUZWAGI. WATASAHAU KAMA WALIMUADHIBU NAYO ZITTO.

Bila shaka Mkuu,
Lazima nayo Buzwagi wataikomalia kama Richmond, tuvute subira tu.
 
Kuna watu wanaingilia IP adrress za watu hapa ,nawapa onyo kwani nawaona humu kwangu mwataka nijua eee nipo hapa ndani ya ukumbi wa mapambano Kiteto njooni mtanikuta.
 
Kuna watu wanaingilia IP adrress za watu hapa ,nawapa onyo kwani nawaona humu kwangu mwataka nijua eee nipo hapa ndani ya ukumbi wa mapambano Kiteto njooni mtanikuta.

Hapa tunaongea mambo kwa uwazi, wataje tu tuwajue, najua mods watalifanyia kazi hili!
 
jana sikuamini masikio yangu niliposikia hotuba ya muungwana jinsi ilivo kuwa nyepesi nyepesi yenye mizaha mizaha wakati taifa lipo katika mtikisikoo mkubwa namna hii.

Naelekea kuamini kabisa kwamba Tatizo kubwa tulilo nalo Tanzania ni raisi wetu ndo maana upuuzi wote huu umeendelea akiuona na pengine kuubariki!

Njia ya kujikomboa ni kuondoa kiini cha tatizo, vinginevyo tutaendelea tibu jipu la mguuni kesho linaibukia usoni kwani damu bado inabakia kuwa chafu!( Nukuu bunge la jana)

Hutuba ya rais ilikuwa na walengwa wake na sio ninyi macho juu. JK aliwajibika kuwatia moyo wanachama wake na kuonyesha kuwa hayuko behind na kuanguka kwa pacha wake kisiasa. Vilevile ilikuwa muhimu kucounter propaganda za upande wa pili ambao ni kweli ndio chachu kubwa ya sokombingo la Richmond.

Kumbuka kuwa JK anajua gharama za unstable government kama ilivyokuwa enzi za Mwinyi na hata mwnzoni mwa utawala wa Ben kabla ya kusalimu amri kwa mtandao wa mafisadi.

Kwa watanzania makini wenye kuangalia Tanzania zaidi ya ufikara wa 'CCM ni Tanzania na Tanzania ni CCM' ni lazima aliwaboa saaaaana....

Kumbukeni kuuma na kupuliza ni muhimu katika siasa zinazotawaliwa na chama hodhi....

Tanzanianjema
 
Richmond scandal: CCM MPs turn the screw on Rostam

-PCCB also under fire as Bunge resumes debate

THISDAY REPORTER
Dodoma

WITH the Richmond corruption scandal now conclusively confirmed and exposed, legislators from the ruling Chama Cha Mapinduzi yesterday wasted no time as parliament resumed business to demand tougher action against each and every individual linked to the scandal, including fellow CCM legislator Rostam Abdulrasul Aziz.

In a quite unprecedented development, several CCM members of parliament minced few words in calling on the government to formally investigate the role of the Igunga legislator especially in the 172.9bn/- Richmond power generation contract saga.

The MP for Sikonge, Said Juma Nkumba, said that after last week’s dramatic resignations of former Prime Minister Edward Lowassa and senior ministers Nazir Karamagi and Dr Ibrahim Msabaha over the scandal, the axe must now fall on Rostam.

’’Apart from the former ministers, there are certain other individuals with (key) positions in the (ruling) party and in parliament, who have been implicated in the scandal. These individuals should now also face disciplinary action. And here I am referring to Rostam Aziz,’’ Nkumba declared in parliament.

Contributing to the debate which resumed yesterday on the report findings of the Richmond parliamentary probe committee, Nkumba insisted that there was sufficient evidence linking Rostam directly to the controversial US-based Richmond Development Company LLC.

’’I suggest that we include a new recommendation in the report � that Rostam Aziz should be strictly disciplined for his own role in the whole affair,’’ the MP asserted.

He said he had been particularly irked by the failure of the Igunga MP and former cabinet minister Daniel Yona to appear before the parliamentary committee for questioning on the matter, despite both being sent official summons.

’’Rostam Aziz and Yona have shown disrespect not only to the parliamentary committee, but to the entire parliament for failing to present themselves for questioning after being required to do so,’’ said a vividly angry Nkumba, whose constituency is in the same Tabora Region as that of the Igunga MP.

He charged that Rostam’s connections with both Richmond and the United Arab Emirates company Dowans Holdings SA, which later inherited the dubious contract with the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO), was now costing Tanzanian taxpayers a staggering 152m/-.

Another CCM legislator, Godfrey Weston Zambi (Mbozi East), also blasted Rostam for his apparent involvement in the Richmond scandal.

’’The fact that Rostam was mentioned in the report, and continues to be linked to Richmond by frequent newspaper articles, is enough evidence of this,’’ Zambi said, displaying the latest edition of a weekly Kiswahili tabloid which published yet another article associating the Igunga MP with the Richmond scandal.

According to the newspaper article quoted by Zambi in parliament, a certain local media consultant once hired by Richmond to handle the company’s public relations in Tanzania, had openly told the Bunge committee probing the Richmond saga that the firm was owned by Rostam.

Zambi added his voice to a chorus of praise from within the National Assembly on the local media’s unrelenting reporting of the Richmond saga, eventually prompting the House to start its own investigation into the matter.

He also criticised the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) for its failure to uncover high-level corruption in the Richmond deal, saying the government’s anti-graft watchdog had proved itself a shame.

Several other MPs who debated the Richmond report findings, were united in the opinion that resignations alone should not be the ultimate punishment for the politicians implicated in the scandal.

They demanded that criminal charges be instituted against all politicians and government officials linked to the suspect contract signed in 2006 under highly dubious circumstances, as well as recovery of public funds embezzled in the process.

Echoing Zambi’s remarks, Ubungo legislator Charles Keenja (CCM) also said there was an urgent need for the PCCB to be overhauled.

Keenja also demanded a parliamentary probe into other dubious contracts in the energy sector, such as the long-term power purchase agreements with the Independent Power Tanzania Limited (IPTL), SONGAS, Kiwira Coal and Power Company, and AGGRECO.

Ms Magdalena Hamis Sakaya (Special Seats-CCM) said due to greed and lack of patriotism displayed by political leaders mentioned in the report, Tanzanians were now left with the huge burden of having to pay newly-hiked power tariffs.

’’Since these unethical leaders were quite determined to completely paralyse TANESCO with this bad contract, their resignations should not be enough...all their assets should be confiscated by the government,’’ Ms Sakaya declared.

The Kilindi MP, Ms Beatrice Shellukindo (CCM), also demanded urgent action from the government to recover public funds embezzled in the Richmond deal.

Ms Shellukindo challenged all politicians and government officers implicated in the Richmond to come forward and defend themselves if they considered themselves truly innocent.

According to the parliamentary probe team report on the Richmond saga presented in parliament by committee chairman Dr Harrison Mwakyembe (Kyela-CCM) on Wednesday last week, there was sufficient evidence to show that both ex-premier Lowassa and Igunga MP Rostam Aziz had strong, personal business interests in the Richmond contract.

Dr Mwakyembe said Rostam was sent a summons to appear before the probe team, but dodged it by claiming he was outside the country when the committee was sitting in Dar es Salaam.

Rostam was apparently summoned for questioning on his links with the US-based Richmond Development Company LLC and UAE-based Dowans Holdings SA, after more than five witnesses had named him during earlier testimony.

Said Mwakyembe: ’’He (Rostam) was also required by our committee to explain why the postal and e-mail addresses of his own company, Caspian Construction Company Ltd, were being used by Dowans Holdings SA. The committee was also given several names of employees of Caspian who also work for Dowans Holdings SA.’’


 
Mtu wa pwani, mtu wa pwani!

najua unataka na wewe kuwa maarufu humu, lakini post zako kutokana na kutofanya homework ya kutosha unaishia kuwa moja ya vilaza kwenye hii forum. Mama kilango moja ya watu ambao ni wasemaji wazuri kabisa amesema mbele ya taifa kuwa CCM iliwaachia wakina kabwe kuikosoa na akasema kuwa sasa hivi na wao wameamka. Sasa hao ccm unaotaka kuwasifia kuwa ndiyo wameleta hoja walikuwa wapi siku zote. Kwa taarifa yako ukiona mpinzania wako anagombana na mke wake inabidi ukae kimya ila wajimalize wenyewe kwa jamii ukiaanza kusema sana watashtuka?
Kwa hiyo wapinzani wamekaa kimya wakati chama unachokipenda kikijikaanga chenyewe kwa mafuta yake na ukifika muda wa kukitafuna itakuwa rahisi. OMBI nakuomba ufanye utafiti inalau kidogo unapoleta hoja yako iwe na nguvu na kumbuka kuwa unaongea na Tanzania yote na sio watu wa Pwani pekee


Wewe ndio unataka umaarufu humu, Mtu wa Pwani katoa maoni yake akiwa mtu huru kama ni pumba au point hilo si la kwako ku judge.
 
Hatulali mpaka Lowassa na Timu yako yote muende Keko na kunyea debe kama wezi wengine.

Hii ndiyo ahadi yetu kwenu Mafisadi wote ndani ya SISIEMU.

Mlizoea kuwafunga midomo wabunge wa SISIEMU wasiseme kwa kisingizio cha umoja wa kichama kumbe ilikuwa ni kuwazuia wasiwaguse pabaya.

Lowassa mambo yakiiva cha moto utakiona, hata nywele zako zitageuka nyeusi kwa ukali wa kibano.

Ni lazima tuwafikishe mahakamani hata kama gharama yake ni kubwa kiasi gani.

Safari hii hakuna mtu wa kumtoa kafara labda wake zenu na vimada au wazazi wenu ndo muwatoe kafara.

Sisi wananchi tutashinda ninyi mafisadi mtashindwa nakutokomea.
 
Najisikia kulia nikiangalia Tanzania inakokwenda. Nchi imeuzwa na kuliwa na watu wachache. Tanzania inaporomoka kuelekea machafukoni.

Wana JF asanteni sana kwa mchango wenu katika mambo mengi yanayohusu nchi yetu. Lakini ningewaomba tuwe na utaratibu wa kuratibu malalamiko yetu kwa serikali. Nikiwa na maana kwamba tuwe tunaangalia je malalamiko yetu serikali imeyafanyia kazi?, kama hapana kwanini?, tufanye nini tena ili tusikilizwe?.

Kuna maada nyingi sana muhimu hapa JF. Lakini nimegundua kwamba kila lipotokea jambo jipya basi lile ambalo tulikuwa tunalichambua hata kama ni muhimu basi linakufa. Tuwe na utaratibu wa kuratibu maada zetu kila baada ya muda fulani. Kwa mfano jambo la Ditopile lilizikwa na jambo la BOT ambalo nalo linazimwa taratibu na Richmond, ambalo nalo litazimwa na Buzwagi hivi karibuni litakapokuwa.
 
Wewe ndio unataka umaarufu humu, katoa maoni yake akiwa mtu huru kama ni pumba au point hilo si la kwako ku judge.


mkuu acha double standard, wewe unaita watu mpaka idiots kwa sababu hutaki hoja zao, sasa hapa mbona umegeuka tena?
 
Several other MPs who debated the Richmond report findings, were united in the opinion that resignations alone should not be the ultimate punishment for the politicians implicated in the scandal.

They demanded that criminal charges be instituted against all politicians and government officials linked to the suspect contract signed in 2006 under highly dubious circumstances, as well as recovery of public funds embezzled in the process.

Mungu awabariki wabunge, ili kusudi hili lifanikiwe, tuko nyuma yenu wakuu!
 
Dr. Ringo Tenga ndio alihusika na hiyo mikataba na wala si Ridhwani.Kwanza Ridhwani hajafaulu Mtihani wa kuwa Advocate.ni mwanasheria tu

Huyu Dr. Tenga anaonekana ku-ishahidi au kuwa mwanasheria wa makampuni mengi yenye nia mbaya na uchumi wa Tanzania!

Hivi Tanganyika Legal something hawana Codes of Ethics/Conduct kuweza kumuwajibisha huyu mtetezi wa mafisadi? Ni vizuri na yeye angehojiwa kuhusu alivyoweza kuwa Afisa wa kampuni ambayo haikuandikishwa.
 
Hatulali mpaka Lowassa na Timu yako yote muende Keko na kunyea debe kama wezi wengine.

Hii ndiyo ahadi yetu kwenu Mafisadi wote ndani ya SISIEMU.

Mlizoea kuwafunga midomo wabunge wa SISIEMU wasiseme kwa kisingizio cha umoja wa kichama kumbe ilikuwa ni kuwazuia wasiwaguse pabaya.

Lowassa mambo yakiiva cha moto utakiona, hata nywele zako zitageuka nyeusi kwa ukali wa kibano.

Ni lazima tuwafikishe mahakamani hata kama gharama yake ni kubwa kiasi gani.

Safari hii hakuna mtu wa kumtoa kafara labda wake zenu na vimada au wazazi wenu ndo muwatoe kafara.

Sisi wananchi tutashinda ninyi mafisadi mtashindwa nakutokomea.

Tena nimeambiwa na sources za kweli kwamba kule keko kuna mahabusi imeakarabatiwa spesho yaani ina viyoyozi na vitanda na mashuka yanabadilishwa kila baada ya siku tatu. naambiwa pia mteja wa kwanza kuingia mule ni kaka zombe so naamini tunaelekea kuzuri.....

MWISHO WAO UMEFIKA
ngoja nichukue juice yangu nifatilie mjadala
 
....huna hata aibu mpuuzi wewe!

huenda ukawa unazungumza sana kishabiki, kuliko kuzungumza kiuhalisia.

CCM ni chama cha mapinduzi ni chama ambacho kinabadilika kutokana na hali na wakati na sio conservative.


suala hili lililetwa bungeni na mbunge wa CCM Shekilengo na unajua ila mkuu akawa anatumia kutisha na mengine lkn chini kwa chini viongozi wakawa wanalizungumza.

na nnaamini kama si baraka za CCM hakuna lolote lingekuwa ila walifika pahala wakasema sawa ukweli uwe ukweli na tulifatilieni na aliehusika achukuliwe hatua.


sikatai mchango wa upinzani upo tena mkubwa, lakini sio kujilabu na kutaka kuonesha kuwa wabunge wa CCM wamelala na wao ndio pekeee wenye uchungu wa nchi hii na wao pekee ndio waliofichua mambo hayo.


ukweli utabakia wazi ndani ya CCM wako wengi kuliko upinzani wenye uchungu na nchi yao na wanaumia kuona wenzao wachache wanaharibu kwa maslahi ya nafsi zao.


CCm ni chama pekeee tanzania chenye utaratibu mzuri na sheria zilizonyooka, sio kama wapinzani wengi wanaganga njaa.


wengi wanatafuta nitoke vipi? kweli una uchungu wa nchi unahimiza wananchi wasijitolee kujenga taifa lao?


kweli una uchungu wa nchi unawadanganya wananchi ili wakuabudu ww tu?

kweli una uchungu wa nchi baada ya kuhimiza wananchi kaitka maendeleo ww unawashawishi ktk mambo ambayo hayaleti faida yeyote ya nchi?

hivi upinzani hawawezi kuleta maendeleo hadi wawe na serikali?

hivi hamuwezi kuwahimiza alau kwa kuanzia wanachama wenu kusoma kwa bidii kujitolea wilaya zao kuboresha maendeleo yote yakiwemo ya elimu?

mie niliwahi kuuliza siku moja hivi CUF wanawapenda ndugu zao wa pemba?

maana wao hujitolea siku zote kuhakikisha wanaingia madarakani hata kwa kutoa roho zao lkn nn wamefanya CUF cha maendeleo kule, ndio hawawezi mpaka wapate dola? madiwani wote ni wao mabaraza ya miji yote yanaongozwa na wao lkn pia wanazuia maendeleo ati ionekane serikali haiwajali.


amkeni wapinzani changieni maendeleo ya taifa lenu na acheni ushabiki.


watanzania si wapuuzi na wajinga kama mnavyotwambia. ila hili mnalijua pale wananchi wanapokuungeni mkono wakisema nooo mnasema watanzania wajinga watanzania hawana mwamko.



na kiteto mkishindwa mtasema watanzania hawana mwamko.


kama kuna haja ya mabadiliko kuiondoa CCM basi mtanzania mbado hajajua ni chama kipi ambacho kinafaa kuiongoza Tanzania.


maana vyote ni vyama ambavyo havijawiva.


nnamalizia ktk vyama vya upinzani wako watu wachache makini na nnawakubali na kuwaheshimu lkn wengi wao wanafata mkumbo tu
 
Wewe ndio unataka umaarufu humu, Mtu wa Pwani katoa maoni yake akiwa mtu huru kama ni pumba au point hilo si la kwako ku judge.

Ukisoma post zangu a nyuma nilishawahi kusema kuwa wewe, mtu wa pwani na kibunango ni mtu mmoja na nikatoa hoja zangu ni kwa nini. Kwa hiyo sishangai kwa nini umeingilia ujumbe haraka haraka bila ya kuutafakari.

Ujumbe wangu kwa wewe na hao ndugu zako ni kwamba tunazikaribisha hoja zenu lakini at least ziwe na nguvu na research za kutosha. Lakini kama mkiendelea kukurupuka kama hivi na kuleta hoja za kishabiki tutawa-fire tu kama tulivyomfanyia baba yenu bungeni. Hapa JF haogopwi mtu hapa hasa watu wenye hoja nyepesi kama zenu. Nadhani itabidi kufanya IQ test kabla ya kupewa uwanachama hoja za kusema ccm ndicho chama imara bila ya kutuambia kuwa ni kwa nini ni imara hazina nafasi humu labda kwenye majukwaa.

Wasalimie pwani
 
Unajua natafuta adhabu ya kumfanya Rostam azizi mfano kwa wenzie wote. Dawa yake ni kumshusha pale Manzese kisha vijana wangu waambie yule ndio Rostam Azizi aliyesababisha watoto wenu wasikalie madawati, yule ndio aliyesababisha mabomba ya maji ya kipasuka yasitengenezwa, yule ndio amesababisha watoto wenu wasisome usiku sababu umeme unakatika, sababu yule ndio aliyekula pesa zenu, sasa nyinyi ndio majudge mfanyieni hukumu.

Vijana wangu watapiga gabachori yule, na hiyo ndio mwisho wake.
Hiyo inaitwa mahakama ya Wananchi ambayo wao ndio waendesha mashtaka,mahakimu na watekeleza hukumu. Nahuko ndiko kunakomfaa Rostam na wenzie wote waliolifikisha hapa taifa letu.
Maana mahakama zetu hizi za kisheria,utatumika mtindo wa Dito ambaye hata sasa anapewa nafasi ya kupanda jukwaani na kututusi.
Dawa yao hawa ni kupambana nao kwa kuwapa adhabu kama vibaka tuu.
 
Ningemshauri Kikwete aje public haraka, awaeleze watanzania ukweli wote kuhusu yaliyotokea hapa na kama alihusika hivi basi aombe msamaha kisha aahidi kutofanya haya tena........

otherwise, tik tak tik tak tik tak..........

Na "nikiahidi kutofanya tena reaction ya JF, Slaa na wengine itakuwaje?!" Kikwete akipata ushauri wako utamvutia sana lakini atakuwa na mawswali kama hayo hapo juu. Atatamani mkutane ili umpe details zaidi na ikiwezekana umfanyie forecasts yatakoyojiri baada ya hapo.

tik tak tik tak.............
 
Ujumbe wangu kwa wewe na hao ndugu zako ni kwamba tunazikaribisha hoja zenu lakini at least ziwe na nguvu na research za kutosha. Lakini kama mkiendelea kukurupuka kama hivi na kuleta hoja za kishabiki tutawa-fire tu kama tulivyomfanyia baba yenu bungeni. Hapa JF haogopwi mtu hapa hasa watu wenye hoja nyepesi kama zenu. Nadhani itabidi kufanya IQ test kabla ya kupewa uwanachama hoja za kusema ccm ndicho chama imara bila ya kutuambia kuwa ni kwa nini ni imara hazina nafasi humu labda kwenye majukwaa.


Kanyaga twende mkuu Shalom, Jf haijawahi kupuungukiwa na vichwa, bravo mkuu strong point I hope imefika inakopelekwa!
 
Back
Top Bottom