Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Kweli kabisa RA hawezi kuifahamu Richimonduli kwa sababu hata hivi sasa ukimuuliza kama anamfahamu EL atakwambia hamfahamu. Ujanja ule ule wa wenzetu wakihindi unapokuwa madarakani mambo shwari.

Mkuu Dua

Umeniacha hoi kweli hapo....nadhani unauzoefu na hawa jamaa zetu..kamata tano!! Ni kweli kabisa RPC napokuwa madarakani wahindi wote rafiki zake akistaafu wanamsahau kabisa, sinto shangaa ukiimuuliza Jeetu kama anamjua Mkapa ama Balalli jibu litakuwa kama la Rostam, siwajui hao....fisadi Rostam, Binti wangu wa miaka 5 anajua Richmond ya Lowassa na Rostam shame upon you!!
 
Ikulu: Richmond anaijua Rostam· Ndiye aliyeileta nchini

· Lowassa alimuingiza

Na Saed Kubenea

KAMPUNI ya Richmond Devolvement Company (RDC), ni mali ya mfanyabiashara na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, imefahamika.
Rostam kuwa kinara mkuu katika Richmond; waziri mkuu "aliyeng'olewa na Bunge," Edward Lowassa, ‘aliingizwa na mwanasiasa huyo.'Taarifa kutoka ndani ya Kamati ya Bunge iliyochunguza mkataba kati ya serikali na Richmond zinasema kwamba Mkurugenzi wa Mawasiliano, Ikulu, Salva Rweyemamu, ndiye aliyethibitishia Kamati kuhusu kuhusika kwa Rostam na Richmond. Akizungumza 18 Desemba, 2007 katika kikao cha Kumi na Tano cha Kamati ya Bunge saa 10:23 jioni, Rweyamamu alilithibitishia Bunge kwamba anafahamu kampuni ya Richmond tangu Desemba 2006."...Mwaka jana, tuliombwa na watu wa Richmond, tuwasaidie katika ku-menage media katika matatizo yao kama yalivyokuwa na kwa kweli kazi hiyo tuliianza bila mkataba, tukaifanya," alisema.
alitukutanishwa na Gire kwa ajili ya kufanikisha kazi hiyo. "Mheshimiwa mwenyekiti… our main contact person alikuwa ni mtu mmoja anayeitwa Gire nafikiri ni Mohamed, sina uhakika na jina la kwanza," Salva alikiambia kikao cha Kamati ya Bunge. Alisema, "Gire ndiye alikuwa representative wa Richmond hapa Dar es Salaam. … Gire alipewa namba yangu na rafiki yangu Rostam, I have that feeling. Kwa hiyo, baada ya hapo nikawa na-deal na Gire throughout."

Katika ushahidi wake huo uliochapishwa kuanzia ukurasa 955 hadi 964 katika kitabu cha Hansard za Bunge Sehemu ya Tatu, Salva anakiri kwamba Richmond ilikuwa ni kampuni ya kitapeli. Ushahidi huo wa mkurugenzi wa mawasiliano wa Ikulu unathibitisha madai kwamba Richmond haikuwa kampuni ya Marekani, bali kikundi cha watu wa hapa nchini kilichokuwa na lengo la kukamua uchumi wa nchi.

Wakati Salva akizungumza hayo, Rostam alikanusha kuifahamua kampuni hiyo, lakini alikiri kwamba alimtambulisha Salva kwa Gire. "Mimi nawafahamu Dowans, si Richmond. Hawa nawafahamu kwa sababu kampuni yangu ya Caspian inafanya kazi pale," alisema Rostam mjini Dodoma. .

Mkuu Dar-Es-Saalam,

Heshima mbele kaka, ninaheshimu unavyokata ishus, ninaomba unielimishe kidogo kuhusu haya maneno ya Salva Rweyemamu, rafiki wa karibu na Rostam, au naye ni mzushi na hapendi maendeleo yetu? Otherwise ninaheshimu unavyokata ishus.

Ahsante Bro!
 
Hivi Bunge haliwezi kuwaita hawa jamaa EL na Rostam Aziz na kuwaweka under oath na kufanya hearing juu ya Richmond. Wakidanganya under oath wanakuwa liable na serikali inafungua mashtaka dhidi yao. Au Am I day dreaming?
 
Mkuu ES

Asante kwa changamoto zako, ila hiyo font inatuumiza macho na masikio kubwa mno!!
 
the ball is in JK's hands.
all we can do is talk! 🙁
 
Mkuu Mwanamtama,

Heshima mbele bro, ndio mapambano ya kifikra haya mkuu, yaani the war of ideas, kutakuwa na kuumia macho na masikio ili upatikane ushindi dhidi ya mafisadi.

I am not sorry ndugu, ndio mapambano yenyewe haya mkuu, kaza buti mkuu twende mbele, sometimes mafisadi wanahitaji maneno makubwa ndio waelewe, ingawa in the process tunaumia macho na masikio!

Asante Field Marshal ES

Napenda michango yako, sasa watu kama ninyi inabidi 2010 walau mkagombee udiwani kujenga majina na 2015 mnachukua ubunge nina amini vita itakuwa kamili zidi ya mafisadi na kujenga Tanzania yetu yenye neema....nami nitafanya hivyo

Mwana
 
Usijali ndugu yangu, tuko boti moja mkulu tuombe uzima bro, lakini hivi vita sio mchezo ndugu yangu, hebu angalia toka jamaa ajiuzulu yanayoendelea, ni aibu kubwa sana kwa taifa letu bro!
 
Chuki za kibanfsi hizo na ndio zinawafanya msiwe na maendeleo. Kajibu hoja zote kiufasaha kabisa sasa tungoje tume na tungoje bungeni atsema nini, wewe unalalama tu.

Chuki binafsi zipi unazozungumzia!? 😕
Hebu tufafanulie ili tukuelewe!
 
Poor Dar-es-salaam
Mwananchi wa kawaida hawezi kuanzisha mashtaka ya jinai dhidi ya kiongozi wa serikali,anaweza tu kuanzisha mashtaka ya madai na ndio maana kesi za jinai huandikwa hivi R.v. John Smith ikimaanisha kuwa jamhuri au Regina kwa huko uingereza(queen) dhidi ya john smith.Ukishwaona kesi imeandikwa Dar-es-salaam v. Mahalu hizo ni dili zenu binafsini madai hayo.Ndio maana watu wanasema serikali iwashtaki,yenyewe ndiyo yenye jukumu chini ya katiba,na chini ya sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai

Kama ni hivyo basi tungoje sheria zifate mkondo, kuna tume zimeundwa, au na hizo serikali haikufuata sheria?

Halafu hili la mtu binafsi kushindwa kuishitaki serikali, naomba katazame tena sheria au waulize wataalam wakueleze, linawezekana kabisa ila lina njia zake.

Halafu ngoja nikukumbushe, hapa watu hawaongelei kuhusu serikali, wanaongelea kuhusu Rostam Aziz na vielelezo vyote wanavyo dhidi yake, wanangoja nini kumshitaki?

Upo hapo ulipo? masikini augostooons, naona haupo kabisaaa.
 
Kwani SK inangoja nini kuwashtaki waliohusika na kashfa ya EPA, mikataba ya madini, Richmonduli, ununuzi wa rada, magari na helikopta za jeshi, waliojipatia KCM katika mazingira ya kutatanisha? Hebu twambie wanangoja lipi kuwashtaki hawa?
 
Nakuhurumia Dar-es-salaam,yaani hadi sasa hujaelewa watu wanamlalamikia Rostam kwa lipi?Rostam kama kiongozi wa umma anahusishwa na kuliingizia taifa hasara na ufisadi hizo ndizo tuhuma zake kwenye richmond na mambo mengine.Hayo mambo yote ni ya kijinai,mwananchi wa kawaida hawezi kushtaki sijui nikuwekee hapa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ndio uelewe,au tu nikupe link kwa faida yako tembelea www.parliament.go.tz sehemu ya documents,click acts,halafu tafuta hiyo sheria,ndiyo inayoongoza mashtaka nchini.Usibwabwaje kama hauna research.DPP ndiye mkuu wa mashtaka hata ukianzisha private prosecution bado yeye ana uwezo wa ku-continue au kudiscontinue proceedings.Pia kasome katiba ya Tanzania mabadiliko ya kumi na nne halafu ndio uje hapa.Kutokana na legal technicality ya kifungu cha 190 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai,mwananchi wa kawaida hawezi practically kufungua hayo mashtaka ya jinai na ndio maana wewe ukienda kushtaki polisi,mahakamani unageuka kuwa shahidi(PW1) na jamhuri ndio inatakeover kila kitu. Kama kuna mtu anakushauri basi anakushauri vibaya,usiiingilie professional.Tulia tukueleze wenye field.
Kama Rostam angekuwa amemdhulumu mwananchi yeyote mbuzi shamba au jogoo ungeshaona kesi pale kisutu,lakini kwa kuwa suala ni wizi na udanganyifu kwenye mali ya umma,linarudi palepale kwenye penal code cap.16 chini ya DPP.Mi nakupa shule ya bure tu hulipii wala nini hivyo usikonde leta maswali yako tu,umekutana na reseacher.Wote tunangoja sheria zifuate mkondo wake lakini kwakuwa zimekuwa hazifuati huo mkondo na ndio maana tunatumia uhuru na haki yetu inayolindwa na ibara ya 18 ya katiba,ibara ya 8 ya katiba na ibara ya 27 ya katiba na kukusaidia tu nitakunukulia hapa ibara ya 8 na ya 27 manaake najua ibara ya 18 unaijua.
8.-(1) Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni Nchi inayofuata
misingi ya demokrasia na haki ya kijamii, na kwa hiyo -
(a) wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali
itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa
wananchi kwa mujibu wa Katiba hii;
(b) lengo kuu la serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi;
(c) Serikali itawajibika kwa wananchi;
(d) wananchi watashiriki katika shughuli za Serikali yao
kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.

mwenzetu ibara ya 8(b) unaielewaje? au ustawi unaozungumziwa hapo ni ustawi wa ninyi mafisadi wachache? basi wafute hapo waseme mafisadi.na wanaposema serikali itawajibika kwa wananchi wana maana gani?hujui nyamaza
27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda mali asilia ya Jamhuri
ya Muungano, mali ya Mamlaka ya Nchi na mali yote
inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuiheshimu mali
ya mtu mwingine.
(2) Watu wote watatakiwa na sheria kutunza vizuri mali ya
mamlaka ya nchi
na ya pamoja, kupiga vita aina zote za uharibifu
na ubadhilifu, na kuendesha uchumi wa taifa kwa makini kama
watu ambao ndio waamuzi wa hali ya baadaye ya taifa lao
.
Ibara ya 27(1) unaielewa? kama ndiyo wajibu wako wewe ni nini chini ya ibara hiyo?hebu nenda mbele zaidi angalia ibara ya 27(2)
katiba inaposema wananchi ndio waamuzi wa hali ya baadaye ya taifa lao ina maana gani?

Kwa hakika wewe unasema unampenda jk kwa kweli humpendi kabisa kwani anayempenda jk atamwambia ukweli.He need to be told the truth,hata kama unamuuna.Yupo jaji mmoja kule Uganda anaitwa kanyeihamba ni jaji pekee anayeweza kumface m-7 na kumwambia unayofanya sio,m-7 alimchukia sana lakini,siku moja alipomwita ili amponde mbele ya waandishi wa habari kutokana na hukumu yake aliyoitoa dhi ya besigye Kanyeihamba alikuwa wa kwanza kuchangia mada ya Rais na kumwambia, "Mhe.umeongea vizuri sana na wasikilizaji wako kukupigia makofi,lakini hawahawa waliokupigia makofi leo,ndio hao hao walinipigia makofi mimi hadi ukaniteua kuwa jaji,lakini leo wanakupigia makofi wewe kwa kuiponda hukumu yangu kwakuwa ilikuwa dhidi yako,Mhe.Rais kati ya mimi na hawa nani anakupenda zaidi? mimi nayekwambia ukweli au hawa wanafiki?
M-7 alikosa cha kuongea,matokeo yake,M-7 anamheshimu sana kanyeihamba.
Hivyo hata kikwete yapo mambo mengi sana ya kumjadili yeye kama yeye,yapo tunayompongeza,yapo tunayomponda na yapo ambayo tunamwonesha njia.Kiongozi mzuri ni yule anayekubali kukosolewa sio wewe Dar-es-salaam.
 
Yote uliosema lakini hujajibu hata swali langu moja? ngoja niyarudie kukupa faida? maana naona masikini umechapa sana key board yako lakini maswali yangu umeya-miss kabisa:

Kama ni hivyo basi tungoje sheria zifate mkondo, kuna tume zimeundwa, au na hizo serikali haikufuata sheria?

Halafu hili la mtu binafsi kushindwa kuishitaki serikali, naomba katazame tena sheria au waulize wataalam wakueleze, linawezekana kabisa ila lina njia zake.

Halafu ngoja nikukumbushe, hapa watu hawaongelei kuhusu serikali, wanaongelea kuhusu Rostam Aziz na vielelezo vyote wanavyo dhidi yake, wanangoja nini kumshitaki?

Upo hapo ulipo? masikini augostooons, naona haupo kabisaaa.
 
Yote uliosema lakini hujajibu hata swali langu moja? ngoja niyarudie kukupa faida? maana naona masikini umechapa sana key board yako lakini maswali yangu umeya-miss kabisa:

Kama ni hivyo basi tungoje sheria zifate mkondo, kuna tume zimeundwa, au na hizo serikali haikufuata sheria?

Halafu hili la mtu binafsi kushindwa kuishitaki serikali, naomba katazame tena sheria au waulize wataalam wakueleze, linawezekana kabisa ila lina njia zake.

Halafu ngoja nikukumbushe, hapa watu hawaongelei kuhusu serikali, wanaongelea kuhusu Rostam Aziz na vielelezo vyote wanavyo dhidi yake, wanangoja nini kumshitaki?

Upo hapo ulipo? masikini augostooons, naona haupo kabisaaa

Nilichogundua wewe ni mbishi,hutaki kuelewa kwa hiyo dawa yako ni ama kukuacha kama ulivyo au kuendelea kukupa darasa kila napopata nafasi.Manaake hata nikikuambiu mwezi huzunguka dunia utabisha du,hata kama ipo scientifically proved.Ni swali gani ambalo hujajibiwa? ukisoma maelezo yangu na reference nilizokupa utapata majibu yako yote labda uniambie wewe mvivu wa kusoma.
Labda nikwambie tu,hakuna tume iliyoundwa kuhusu mikataba ya madini,ile ni kamati tu ya Rais na wala haina nguvu ya kisheria(legal backing) kama ilivyokuwa kamati ya mwakyembe.Kisheria kila kitu kina enabling provision,ndio maana utasikia sheria shirika fulani limeundwa kwa mujibu wa sheria fulani n.k Ile ya benki kuu,ndiyo yenye mamlaka kisheria kwani inachokipengele cha kisheria.Hizo nyingine zilizoundwa hapo kabla baadhi zilikuwa na nyingine hazikuwa na mamlaka kisheria.Na kwa mantiki hiyo tume nyingi sana zimeshaundwa na kutoa ripoti nchi hii lakini matokeo yake hayafanyiwi kazi.Aidha hakukuwa na sababu ya kuunda tume ya BOT wakati Ernest and Young wameshabainisha kila kitu kwenye ripoti yao,nani suspect na nani sio suspect.Kama kulikuwa na haja ya kuwa na tume nyingine ya uchunguzi,basi balali hakutakiwa kutanguliwa uteuezi wake,ilipaswa asimamishwe awe suspended pending uchunguzi wa hiyo tume nyingine.
Na tunachotaka pale si kusikia pesa zimerudi,zilikuwa wapi na hao waliozirudisha wamefanywa nini? huo mkao wa kula.Suala la richmond limekwisha halihitaji tume tena tunataka utekelezaji na ndio mada hapa.
Swali la pili na la tatu nimeshakujibu,mvivu wa kusoma siwezi kurudia hapa.Kasome kwanza reference nilizokupa afu urudi hapa tuendeleee na kama sijakujibu jf members wengine watasema.
 
Yote uliosema lakini hujajibu hata swali langu moja? ngoja niyarudie kukupa faida? maana naona masikini umechapa sana key board yako lakini maswali yangu umeya-miss kabisa:

Kama ni hivyo basi tungoje sheria zifate mkondo, kuna tume zimeundwa, au na hizo serikali haikufuata sheria?

Halafu hili la mtu binafsi kushindwa kuishitaki serikali, naomba katazame tena sheria au waulize wataalam wakueleze, linawezekana kabisa ila lina njia zake.

Halafu ngoja nikukumbushe, hapa watu hawaongelei kuhusu serikali, wanaongelea kuhusu Rostam Aziz na vielelezo vyote wanavyo dhidi yake, wanangoja nini kumshitaki?

Upo hapo ulipo? masikini augostooons, naona haupo kabisaaa.

Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni! Wewe unalalama maswali yako hayajibiwi mbona yangu unayakwepa!? au maswali yako tu ndio yanayostahili kujibiwa!? 😕

Kwani SK inangoja nini kuwashtaki waliohusika na kashfa ya EPA, mikataba ya madini, Richmonduli, ununuzi wa rada, magari na helikopta za jeshi, waliojipatia KCM katika mazingira ya kutatanisha? Hebu twambie wanangoja lipi kuwashtaki hawa?
 
Mkuu Dar,

Lazima ukubali kuwa tuko nchi ya kusadikika, ambako washiriki wa tuhuma za wizi wanaitwa kisheria na kamati ya bunge, kina Yona na Rostam, wanakataa kwenda na hakuna lolote, Waziri Mkuu ambaye ndiye mhusika mkuu wa tuhuma hizo, anajiuzulu bila responsibilities zozote kisheria, halafu anatamaba huko nje kuwa hahusiki, kina Olenaiko wanasingizia ukabila, Hosea anasingizia sheria, Mwanyika anasingizia Mungu, rais anamsifia waziri mkuu aliyejiuzulu kwa tuhuma bila kufikishwa kwenye sheria,

huoni kuwa hii ni kusadikika? Hivi ndugu yangu haikusikitishi kuwa hawa walitakiwa wazungumze wakiwa Segerea au Ukonga?
 
That is why I like about your contributions, you always never run away from the truth. I wish CCM had more people like you. By the way, I have never told you about this before. I heard people vijiweni talking about Mzee ES' (before your were promoted to commando and then field marshall....🙂) contributions on JF. After hearing your name for more than 1 million times, I said oh! what the heck, there was nothing to loose by visiting JF to read Mzee ES' contributions. I have never left since then....🙂 and I am here to stay. My respect Mkuu.
 
Kama Mwana Wa Mungu Nabii Issa Alikanwa Na Petro How Easy Cant It Be For Caspian Inc Kuikana Richmound Inc
 
Na bado hajasema vizuri...lets wait for aprils bunge na yeye asulubiwe kama EL!!!
Naona analeta masihara huyu jamaa...
 
Mkuu Dar,

Lazima ukubali kuwa tuko nchi ya kusadikika, ambako washiriki wa tuhuma za wizi wanaitwa kisheria na kamati ya bunge, kina Yona na Rostam, wanakataa kwenda na hakuna lolote, Waziri Mkuu ambaye ndiye mhusika mkuu wa tuhuma hizo, anajiuzulu bila responsibilities zozote kisheria, halafu anatamaba huko nje kuwa hahusiki, kina Olenaiko wanasingizia ukabila, Hosea anasingizia sheria, Mwanyika anasingizia Mungu, rais anamsifia waziri mkuu aliyejiuzulu kwa tuhuma bila kufikishwa kwenye sheria,

huoni kuwa hii ni kusadikika? Hivi ndugu yangu haikusikitishi kuwa hawa walitakiwa wazungumze wakiwa Segerea au Ukonga?

Ave FIELD MARSHALL!

Accipere quam facere praestat injuriam ;(It is better to suffer an injustice than to do an injustice)
 
Back
Top Bottom