Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Hapa naona manahangaika tu...

Tatizo ni lipo kwenye mfumo mzima wa BUNGE letu... Nguvu ni imewekwa kwa wananchi kuamua kuwa Mbunge walio mteua anawafaa au la - na kwa Mheshimiwa Rostam ni watu wa Igunga wenye uamuzi huo! Ambao wao pia ni sehemu ya taifa.

Wemeshamteua huyo jamaa mara mbili sasa (kama sikosei) na wao ndio wenye nguvu kikatiba yakusema anafaa.

Kama tunahisi huyu mtu ametumia pesa kuwanunua wapigakura -- katika macho ya waTanzania na sheria zetu itabaki amepita kihalali kabisa na ni Mbunge bora kama wataendelea kumchagua na mjenga taifa.

Kama hatukubaliani na hayo basi tutizame mfumo mzima wa BUNGE na UBUNGE

mkuu,

sidhani kama suala la "kuchaguliwa" pekee ndiyo kigezo. Unajua Kibaki anadai kuwa amechaguliwa na wananchi wa Kenya, Mugabe wa Zimbabwe "anachaguliwa" kwa kishindo huko kwenye chaguzi zake.

Huyu Rostam anahusishwa na wizi mkubwa sana wa pesa za walipa kodi na pia anahusishwa na Richmond (kupitia Dowans) kuinyonya nchi yetu. Kwa vyovyote vile ana uwezo wa "kushinda" uchaguzi wowote akitaka kwa kutumia hata asilimia moja tu ya pesa zake. Swali kubwa hapa, Je Rostam ni mfano wa kuigwa Tanzania?
 
Nimetumiwa ujumbe kuwa majibu nitatapatiwa tarehe 31... sasa sijui wameenda kuyatafuta wapi.. kwa hiyo nadhani tusubiri.
 
Sakata la Richmond: Rostam mambo magumu

2008-03-17 19:09:42


Mambo ndiyo yanayosemwa hayo. Mwafrika wa kike upo? Je uraia wa mwanahabari wa Ikulu Salva rweyemamu nao ni tata, Je JK amezungukwa na wa kuja? Au anawakumbatia zaidi wageni?

Dua,

Huyu Rostam alifanya makosa sana kuanzisha kampeni chafu dhidi ya Dr Salim Ahmed Salim (akishirikiana na Kikwete na Membe) mwaka 2005 wakati wa uchaguzi wa mgombea uraisi wa sisiemu.

Makosa makubwa aliyofanya ni kutumia vibaraka kuquestion uraia wa Dr Salim na kumuita Dr Salim kuwa ni muarabu na sio mtanzania. Hili ni kosa kubwa sana ambalo Mkapa kwa kushirikiana na Saliva Rweyemamu walilifanya dhidi ya Gen Ulimwengu.

Hii ni karma for these two guys. Waliquestion uraia wa wenzao na kuwachafulia sifa zao na sasa wao pia watapitia the same process ili kuprove uraia wao. Tatizo hapa mkuu ni kuwa Kikwete anajali sana majirani kuliko watoto wake over and over again na sitashangaa kama hili pia litakuwa hivyo.
 
Mkuu ni baada ya kikao cha Halimashauri kuu kule Butiama nini?

Ama tayari wananchi wa Igunga tayari wameshaandaliwa kwenda Butiama na kuwaambia CCM kuwa wanampenda kuliko hata JK kwani hakuna lisilowezekana kwenye siasa za Bongo na haswa ukuwa kiongozi wa CCM na mwenye pesa hata kama ni za kifisadi.

Waambie wafafanue ...just speculating..
 
hata mimi sijui, ujumbe ulikuwa mfupi tu sasa sijui kama unahusiana na CC huko Butiama au vinginevyo. Nimeambiwa tu "maswali yako kuhusu Rostam, utajibiwa tarehe 31 March" so kama nyie na mimi nimechukulia hivyo hivyo.
 
hata mimi sijui, ujumbe ulikuwa mfupi tu sasa sijui kama unahusiana na CC huko Butiama au vinginevyo. Nimeambiwa tu "maswali yako kuhusu Rostam, utajibiwa tarehe 31 March" so kama nyie na mimi nimechukulia hivyo hivyo.

Well kuna haja pia ya wanaJF kuendelea kusaka ukweli wa hili wkt tukisubiri hiyo tarehe 31. Ila kwa mawazo yangu naona kutakuwa na harufu ya utata haiwezekani tuhuma kubwa kama hiyo vs rostam magazeti yake yoote na yeye mwenyewe wakakaa kimya siku ya pili sasa.

Hivi kwa mtanzania wa kweli unahitaji wiki ngapi kuelezea uraia wako????? au mpaka tuunde tume????
 
Well kuna haja pia ya wanaJF kuendelea kusaka ukweli wa hili wkt tukisubiri hiyo tarehe 31. Ila kwa mawazo yangu naona kutakuwa na harufu ya utata haiwezekani tuhuma kubwa kama hiyo vs rostam magazeti yake yoote na yeye mwenyewe wakakaa kimya siku ya pili sasa.

Hivi kwa mtanzania wa kweli unahitaji wiki ngapi kuelezea uraia wako????? au mpaka tuunde tume????

umeona reaction yake kwenye ile story ya Alasiri kuhusu uraia wa Rostam... the guy alikosa cha kusema na amezima simu kwa maagizo kuwa hataki kuongea na media kwa sasa.

Maji yamezidi unga, taratibu the noose is tighting around your neck Rostam Azizi. Upanga ulioutumia kujaribu kumchafua Dr Salim na Ulimwengu sasa unakuja kwako ukiwa umenolewa ili kuchukua shingo yako..... tik tak tik tak.....
 
2008-03-17 19:09:42
Na Emmanuel Lengwa, Jijini

Mbunge wa jimbo Igunga, kupitia CCM, Mheshimiwa Rostam Aziz leo amejikuta katika wakati mgumu baada ya taarifa kwamba yeye si raia wa Tanzania kupamba vyombo vya habari mbalimbali.

Alasiri ilipojaribu kupata maoni yake kuhusiana na madai hayo mazito, Bw. Rostam alishtuka kidogo kisha akahoji, ``Wanasema mimi siyo raia...asante sana...asante sana``.

Baada ya kauli hiyo, Bw. Rostam hakutaka kusema tena lolote licha ya kuulizwa mara kadhaa msimamo wake ni upi juu ya madai hayo.

Awali, Alasiri iliwasiliana na Idara ya Uhamiaji kupata ufafanuzi juu ya madai hayo ambapo afisa mmoja wa ofisi ya Uhusiano alisema wanahitaji kufanya uchunguzi wa kina kabla ya kutoa majibu ya uhalali wa uraia wa Bw. Rostam.

``Naomba unielewe, suala la uraia ni sawa na uhai wa mtu. Hapa mezani kwangu sina nyaraka za kila raia, hivyo inanibidi nipekue mafaili na kuchunguza kwa makini kabla ya kutoa majibu sahihi,`` akasema afisa huyo aliyejitambulisha kwa jina moja la Batenga.

Sakata hilo la uraia limeibuka baada ya mbunge huyo kuhusishwa katika sakata la mkataba tata baina ya Serikali na kampuni ya kuzalisha umeme ya Richmond.

Aliyeibua madai hayo ya sasa ni Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party, DP, Mchungaji Christopher Mtikila.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Jijini jana, Mchungaji Mtikila alidai Bw. Rostam ni raia wa Iran aliyeingia nchini kama mfanyabiashara wa ngozi.

Akizidi kumshushia madongo mweka hazina huyo wa zamani wa CCM, Mchungaji Mtikila alidai kuwa baada ya kuingia nchini, Rostam hakuwahi kuukana uraia wake na wala hakuwahi kuomba uraia wa Tanzania.

Akasema badala yake, Rostam akajiingiza kwenye siasa moja kwa moja, akisaidiwa na baadhi ya viongozi.

Akizungumza kwa kujiamini, Mchungaji Mtikila akasema sasa, dola lazima imkamate mara moja na kwamba yeye anao ushahidi wa kutosha katika kuthibitisha madai yake.

``Licha ya kuwa Bw. Rostam ni rafiki yangu, siwezi kumtetea yeye kuliko nchi yangu� ushahidi wa kuwa yeye sio Mtanzania ninao, maana najua mpaka hospitali aliyozaliwa na mpaka sasa, wazazi wake wako Iran,`` akasema Bw. Mtikila.

* SOURCE: Alasiri
 
Na hii habari kama ni kweli yaani itakuwa a big f.ck up kwa CCM, serikali na Tanzania kwa ujumla. Imagine jamaa ni mbunge, alishakuwa mweka hazina wa chama cha mafisadi, yupo kwenye CC I guess. du!!!!!!! halafu akawa si raia.

Hivi huyu jamaa swahili yake vp kwa wanaomjua, maana hako pia ni ka-aidi ka utanzania. Hivi hamna mtu humu JF huyo jamaa ni mbunge wa jimbo analotoka????
 
Na hii habari kama ni kweli yaani itakuwa a big f.ck up kwa CCM, serikali na Tanzania kwa ujumla. Imagine jamaa ni mbunge, alishakuwa mweka hazina wa chama cha mafisadi, yupo kwenye CC I guess. du!!!!!!! halafu akawa si raia.

Hivi huyu jamaa swahili yake vp kwa wanaomjua, maana hako pia ni ka-aidi ka utanzania. Hivi hamna mtu humu JF huyo jamaa ni mbunge wa jimbo analotoka????

Mkjj anatoka Igunga....lol

so nadhani mwizi na mkoloni ambaye anajiita mtanzania kumbe uraia wake una utata - ndugu Rostam Aziz- ana mkosi hapa... kwi kwi kwi kwi ....
 
Na hii habari kama ni kweli yaani itakuwa a big f.ck up kwa CCM, serikali na Tanzania kwa ujumla. Imagine jamaa ni mbunge, alishakuwa mweka hazina wa chama cha mafisadi, yupo kwenye CC I guess. du!!!!!!! halafu akawa si raia.

????

Maneno ya kiswahili yamekwisha?
 
Hapa naona manahangaika tu...

Tatizo ni lipo kwenye mfumo mzima wa BUNGE letu... Nguvu ni imewekwa kwa wananchi kuamua kuwa Mbunge walio mteua anawafaa au la - na kwa Mheshimiwa Rostam ni watu wa Igunga wenye uamuzi huo! Ambao wao pia ni sehemu ya taifa.

Wemeshamteua huyo jamaa mara mbili sasa (kama sikosei) na wao ndio wenye nguvu kikatiba yakusema anafaa.

Kama tunahisi huyu mtu ametumia pesa kuwanunua wapigakura -- katika macho ya waTanzania na sheria zetu itabaki amepita kihalali kabisa na ni Mbunge bora kama wataendelea kumchagua na mjenga taifa.

Kama hatukubaliani na hayo basi tutizame mfumo mzima wa BUNGE na UBUNGE

PakaShume:
Nadhani unasahau utaratibu wa kuwapata wabunge. Imtakae CCM ndie anakuwa; au wewe huujui utaratibu huo?
Kuwasingizia watu wa Igunga kuwa ndio wahusika wa kumpata mbunge sio sahihi!
Najua utabisha, lakini huo ndio ukweli.
 
[QUOTE=chinga;157946]
BWANA MWANAKIJIJI SI BUSARA KUANZISHA THREAD NA KUOMBA WATU WACHANGIE HUKU UKIJA WEWE MWENYEWE NA JINA HILI LA MADELA KUJIJIBU.

Hapa ulitakiwa ukanushe hoja.We unafikiri hata kama Mwanakijiji angekuwa ndo huyo Madela hoja ingebadilika!!

SEMA KAMA UNA NIA YA KUMCHAFUA ROSTAM INGIA MOJA KWA MOJA HUO NI UTOTO. ROSTAM ANA ELIMU YA KUTOSHA HUWEZI KUMFANANISHA NA BOSI WAKO (MBOWE) ALIYEKIMBIA SHULE -HULL, ROSTAM KASOMA OXFORD WEKA REKODI ZAKO.

Hakuna anayemchafua Mchafu wako RA.Yeye tayari ni mchafu na anaendelea kujichafua mwenyewe. Hakuna nayemtuma kuleta biashara zake haramu toka Pakistani, Kuiba na kututapeli mabilioni ya pesa zetu.Hatutakubali kuumia kwa gharama za watu wachache kama nyie hata hao wa Igunga kwa kuhongwa vitrekta wakati Watanzaia waliobaki wanaumia kwa matendo yake.

LAKINI LAZIMA UJUE KUWA KWELI ROSTAM ANA POCHI KAMA UNA SHIDA UTAPEWA NA WATU KAMA WEWE ULIYENUNULIWA NA MBOWE KWA KUFUNGULIWA WEBSITE TU NDIO UNAPATIKANA KIJINGA KABISA.

Wewe ndo bidhaa ambayo RA anaweza kuinunua. Huna thamani,thamani yako ni sawa na makaratasi anayokupa.

ROSTAM KAANZA UBUNGE MIAKA MINGI SIO 2005 NA HUKO IGUNGA USIFIKIRI CHADEMA INAWEZA KUPATA HATA DIWANI KWA MUDA ATAKAOKUWA ROSTAM KAMA MBUNGE.

Watu wa Igunga wana ufinyu wa mawazo na umasikini wa akili kama wewe ndo maana wana muona RA kama mungu. Ni vizuri ukaelewa kuwa wake wa majambazi pia uwapenda na kuendelea kuishi na waume zao hata pale wanapojua kuwa Waume zao nimajambazi,eti kwa kuwa tu wanapatiwa mahitaji yao, kwa gharama ya roho za watu wengine.Hivyo kwa watu wa Igunga na wewe si ajabu.


NADHANI KAMA KUNA KITU AMBACHO NINGEKUONA MWAMBA NI KWENDA IGUNGA AU KUMBWAMBIA BOSI WAKO APELEKE MKUTANO UONE KAMA WATU KUMI WATAKUJA KUKUSIKILIZA.

Siku zote rushwa humfanya mtu kuwa kiziwi na kipofu na hasa anapokuwa masikini kama wewe na watu wa Igunga.
Vinaja wengi wa kike wanaangamia kwa kuendekeza vijizawadi na rushwa,hata baada ya kuonywa kuwa huyo bwana si mzima.Walipokuja shituka walijikuwa na KIMWI. Ndivyo ilivyo kwa Watu kama wewe na hao wa Igunga na baadhi ya Watanzania.
 
WanaJF

Nimepata habari za uhakika na za kuaminika kuwa Rostam Aziz haonekani popote katika nyaraka muhimu za umiliki wa habari corporation, bali kuna vizee viwili vya kihindi instead!Nendeni BRELA na Ofisi za Habari Corporation mkajionee wenyewe!

Ninaanza kupata kigugumizi, kwanini ajifiche kwenye nyaraka muhimu wakati the whole world inajua yeye ndiye mmiliki wa Habari corporation?

Sasa naanza kung'amua ni kwanini RA pia haonekani kwenye Richmond na mengineyo ya kifisadi ambayo amehusiswa nayo!

Kwanini anatanguliza misenaries, what could be the reasoning behind this gap? Hii lazima ifanyiwe kazi!

Hebu tulitengue Jigsaw hili, inaelekea kuna makampuni chungu mbovu ya wakubwa wanakula kwa mrija mrefu bila kuonyesha responsibilities zao kisheria, kwa kuogopa kubanwa baadaye. Hata hivyo siku zao zinahesabika.....!

Na Rostam salamu zako....nazining'iniza kwenye board hii! Tunataarifa umeanza kuwanunua wabunge"wanafunzi" ili wavuruge mjadala uliopo mbele kwenye kikao cha Bunge kijacho! Ujue wabunge wengi "wamehitimu na wanauzoefu mno wa kutumiwa na wakubwa kwa maslahi binafsi na ya chama, sio ya wananchi, kwakuwa muda wa mabadiliko umefika sasa wanataka kuwatumikia wananchi....wamechoka kutumika"

Rostam, najua wambea wako wananusanusa hapa JF ilikujua wanaJF tunajua nini kukuhusu wewe, naomba unipelekee salamu zangu kwa rafiki yangu Nchimbi naona yeye alama za nyakati amegoma kuzitambua, lakini ujue Nchimbi hatakufikisha popote! msaada wake wa kuchota maji kisimani ilikujaza bahari utakupotezea resources zako tu...Kubali yaishe, wenyewe wamezinduka!
 
Hii ndiyo ngoma ngumu.
Kama jamaa akiwa proved kuwa siye raia itakuwaje?? atapelekwa The Hague kwa kusababisha mauaji ya kimbari (mahospitalini) kwa kuiba fedha ambazo zingeweza kununua madawa???
 
Back
Top Bottom