Nyerererist
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 438
- 6
ulichodandia wewe hapa ni nini?
MWK kuna watu humu wana speed ya kufikisha ile idadi ya Post so ndio kama hivyo but kip it up,, Otherwise RA aone aibu na anyamaze kama baba yao Mr Clean
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulichodandia wewe hapa ni nini?
Anayefikiri vita against mafisadi ni lelemama, anahitaji ku-think again, kuna wakati mafisadi wataonekana kushinda lakini ukweli uko very celar kuwa ni kiini macho tu,
Kilichofanyika hapa ni mkwara ambao ukichukuliwa kama changamoto na media yetu, basi utaleta more bad news kwa mafisadi, kwa sababu sasa wataleta habari zenye uhakika zaidi kuliko za kwanza,
Kwa wale waaandishi ambao ni dilligent tunawakumbusha kuwa tuko pamoja nao, isipokuwa wale wababaishaji wanaojaribu kucheza kila upande, wataaaibika wenyewe, sisi tunasonga mbele tu!
Kamanda pilipili usioila inakuwashia nini?MWK kuna watu humu wana speed ya kufikisha ile idadi ya Post so ndio kama hivyo but kip it up,,
Jamani mimi naona sawa hawa Raia Mwema kuomba radhi,lakini ukweli ni kwamba RA ni mla rushwa,Fisadi,Mhujumu Uchumi ni mtu asie na uchungu na Nchi hii,ingawa ushahidi haupo mahakamani lakini huyu Muirani ni mtu mbaya sana huo ndio ukweli wenyewe.
Halisi,
Poleni sana. Ndio mapambano hayo na muda wote kutakuwa na kupanda milima na kutelemka.
Muhimu ni kutokukata tamaa na kwa hili kama gazeti walikosea basi ni bora walivyofanya. Muhimu ni kuwa makini na kuhakikisha waandishi hawaandiki majina halisi ya wahusika mpaka pale wanapokuwa na uhakika mkubwa na habari husika.
Tufike mahali akili zetu ziweze kuchambua vitu kuliko kufunikwa na propaganda machines...
My advice to newspapers: No research no right to write (remember that?). Haya ONE DOWN...Uzuri wa research ni huwezi kuogopa kuandika kitu na huwezi kurudi nyuma yule unayemshutumu akiamua kukushtaki. Angalia mfano wa SFO dhidi ya Chenge.
Naomba kuuliza hivi kuna ubaya gani mtu kushtaki kama anaona ameandikwa vibaya? Na kama hakuna ubaya kwa nini wahariri wamvae huyu jamaa? Au waandishi na wenyewe wanataka kuwachagulia walaji wa habari nani aongee na aongee nini. Kama hawamtaki basi hawampi nafasi ya kuongea na akiongea anashambuliwa. Naomba wachangiaji mnisaidie kujibu hayo maswali mawili.
Kamanda pilipili usioila inakuwashia nini?
]Ndoto Za Mchana,sakina Wala Jopo La Wahariri Hakuna Mwenye Ubavu Wa Kumsaidi Mgoni Kubenea,[/B
Insurgent,
Tunarudi pale pale, kwamba sheria zilizopo...waaandishi tunawalaumu bure. Kwanza nikuulize wewe umefanya research ya kutosha kuhusu sheria mbaya zinazokandamiza uhuru wa habari na zinazolinda ufisadi, zinazoweza kukugeuka hata kama umeandika ukweli? Je, ukweli wote ulio-researched lazima uwe documented na ukubalike mahakamani? Tukisubiri tafsiri ya ukweli wa mahakamani kitaandikwa kitu? (Mafisadi wanapenda kisiandikwe kitu).....Insurgent, insurgent! Please, do some research please!
Kwa nini leo tunamshangaa Jenerali Ulimwengu, aliyemuuzia RA magazeti yake yote muhimu na anaendelea kufadhiliwa na RA, anapomwomba radhi mfadhili wake huyo kwa taarifa ambayo ni sahihi kabisa? Ntalia mie! Ijabu
Ndoto Za Mchana,sakina Wala Jopo La Wahariri Hakuna Mwenye Ubavu Wa Kumsaidi Mgoni Kubenea,kwanza Zaidi Ya Mwanahalisi Na Magazeti Ya Alietarikiwa Na Madame Ritha Paulsen,ukiondoa La Chadema Hakuna Lenye Ubavu Wa Kumwandika Ra.kubenea Mwenyewe Full Njaa Mpe Laki Tu Anamwandika Mtu.kesi Lazima Kubenea Atafilisiwa.