Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

toba... bomu... "Mtikila mwenyewee alikuwa kuniomba Shs milioni 3 za kuendeleza Kanisa lake na kumpatia, hili la kuwaambia wengine fedha zangu ni dhambi wakati yeye anazipokea ni unafiki, nawapa ushahidi wa malipo hayo kwa Mtikila"!

Hili niliisikia kwenye mkutano fulani mwaka jana pale Dar, kumbe ni kweli?! Amemvua nguo Mtikila hapa! Ndio nasema viongozi wetu wa makanisa ni wanafiki, na kwa hili kanisa lilijitega na likategega kwa kumwalika na kisha kumsuta Rostam. Hawakukosea waliosema huwezi kula keki na wakati huohuo uwe nayo!
 
Kwa kifupi:

Kuhusu suala la wale ambao hawaishi vizuri na wake zao,alikuwa kimlenga Mhe. SIx,ambaye ana Vimada kibao..Kajibu kw astyle ya aina yake.

suala la Mtikila ni suala ambalo linajulikana wazi,na mie nilishangaa hayo maneno aliyatoa wapi?Mtikila ndiye aliyepewa pesa na kina RA amamalize Sumaye.Nafurahi sana sababu kwa maneno haya kutaibua mengi ambayo hatukuyajua..

Kuna mambo mengi sana ambayo nimepata kuyasikia baada ya mkutano huo nikiwa na waandishi wenzangu,na naanza kuhisi hatuna wapinzania wa kweli na muda si mrefu kwa kuwa mie siyo mwanasiasa nitaanza kuwaanika wazi wazi ambao wanaua Upinzania,na kwa furaha yangu ya Dhati namshukuru sana Ngurumo kwa kuanza kumuandika Mreama ni Shushushu.Wapo wengi na wawili wako CHADEMA..
 
Re: Rostam Kuunguruma Kilimanjaro kempisk

1. anasema "mimi si miongoni mwa wale walioshindwa kuishi na wake zao na kuchangamkia watoto wadogo wanaolingana na mabinti zao au wajukuu zao"

Hapa amemsema Six, Mzindakaya, na Flani, lakini huu sio ufisadi kuoa mtoto mdogo sio sawa na wizi kwa taifa.

2. familia yake anasema imekuwa ikifanya biashara 1852 kule Tabora...

Hii ni kweli kabisa sio uongo, lakini it has nothing to do na ufisadi anaotuhumiwa, kwa sababu kampuni ya Dowans na Kagoda hazikuwepo since 1852, hapa hakusema ukweli unaoatakiwa, ila amesema ukweli nusu, swali ni kwa nini?.

3. toba... bomu... "Mtikila mwenyewee alikuwa kuniomba Shs milioni 3 za kuendeleza Kanisa lake na kumpatia, hili la kuwaambia wengine fedha zangu ni dhambi wakati yeye anazipokea ni unafiki, nawapa ushahidi wa malipo hayo kwa Mtikila"!

Hili nilishasema siku nyingi sana kuwa Mtikila huwa sio kiongozi wa kweli, niliwahi kusema huko nyuma kuwa hata CCM wameshamlipia sana nauli za nje ya nchi, hapa Rostam ame-score big point tena big time.

4. anasema huko nyuma alishughulikia kutoa mchango wa kulisaidia Kanisa hilo huko nyuma kwa mwaliko wa Mzee wa Kanisa hilo Mhe. Samuel Sitta...

Sawa sawa again big point kwa Rostam, lakini sasa hivi Six, anamkosesha usingizi ndani ya bunge yeye na wenziwe, yaani mafisadi na najua it is only a matter of time kabla hawajamng'oa u-Spika, ambao ukweli ni huyu huyu Rostam ndiye aliyempa, pia Spika hajasema kitu so far kuhusu Rostam kuto ahle akwa kanisa lake, lakini still badi ni big point kwa Rostam.

5. anahoji mbona wafanyabiashara wa Kikristu wanaoneshwa wakitoa misaada katika ujenzi wa Misikiti, iweje leo muislamu kutoa msaada kanisani?

Hapa hapana, anapandikiza chuki za kidini kwa sababu hao wafanyabiashara wengine waliotoa misaada kanisani au misikitini, yaani anamsema Mengi, sio wabunge na mafisadi kama yeye kwenye hili hapana amekosea.

6. anasema "natoa changamoto kwa mtu yeyote mwenye ushahidi wa vitendo vya uvisadi awakilishe hayo kwenye vyombo vya sheria"

Kama angekuwa na ukweli kwenye hili, basi angeenda kwenye kamati ya bunge alipoitwa na Mwakyembe, halafu anasema hivi kwa sababu anajua kuwa hivyo vyombo vyote vimeshikiliwa na kundi lake,

Hata Balali alisema maneno kama haya wakati ule, ambayo the bottom line au reading between the lines ni kwamba hapa ameweka msingi mzito sana kwa viongozi wengine kuwa be careful nitawasema ninawajua vizuri sana, kwenye hilo ninakubali kuwa Rostam, akiamua kusema ukweli wa viongozi karibu wote aliowahi kuwapa hela, itakuwa aibu ya mwaka Tanzania, yaani ndio siku wa-Tanzania tutalia kilio cha damu kuwajua viongozi wetu mashuhuri wa CCM na Upinzani, ambao wamewahi kupewa hela na Rostam.

Hakujibu swali muhimu la ufisadi wake, ambao ndio hasa uliofanya wananchi kulalamika alipokwenda kutoa sadaka kanisani. Lakini ninaamini pole pole we are getting there, next time huyu atazungumzia viongozi aliowahi kuwapa hela, ndiyo itakuwa siku ya siku! Lakini Rostam with all this bado ni fisadi tu!
 
Hili niliisikia kwenye mkutano fulani mwaka jana pale Dar, kumbe ni kweli?! Amemvua nguo Mtikila hapa! Ndio nasema viongozi wetu wa makanisa ni wanafiki, na kwa hili kanisa lilijitega na likategega kwa kumwalika na kisha kumsuta Rostam. Hawakukosea waliosema huwezi kula keki na wakati huohuo uwe nayo!

Mkuu Kitila, uchafu wa Mtikila hauwezi kuwa usafi wa Rostam. But that is good kwa wapinzani wajue kwamba Mtikila alikua akitumiwa na Rostam wakati wa kampeni kuwatosa na kuwavuruga. Alitumika pia kuwachafua viongozi ambao hawakua wanamtandao wakati wa mchakato wa 2005. Lakini RA kumtaja Mtikila hakumsafishi anazidi kujipaka kinyesi maana, hii inadhihirisha kuwa ameguswa pabaya sasa anatapatapa na anazidi kutoa faida. Niliwahi kusema hapa kwa CCM na serikali yake sasa kama vile wamelaaniwa ama "Albadiri ya mbayana" sasa inawaumbua wanazidi kudidimia kadiri siku zinavyozidi kwenda, hata huko kuwatafuta kina Chacha Wangwe wengine kusaidia kuokoa jahazi kwa kupooza kasi ya kina Dk. Slaa wanazidi kujiumbua badala ya kujisaidia. Tatizo litabaki kwa wapinzani ambao nao naona kama vile hawajajiandaa ama nao kuna "mkono wa mtu". Hali hii si nzuri kwa maslahi na usalama wa Taifa kwani, inaweza kuja kutokea akatokea 'kichaa' mmoja akakabidhiwa nchi kwa kura za hasira.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU WALAANI MAFISADI
 
Jamani, Press Conf ilikua kwa mwaliko, na kadi maalumu. Waandaaji walikua Clouds FM na Fina Mango alikua mlangoni na Ruge. Najua walikua wakifanya kazi yao ya PR na walizuiwa waandishi wa IPP wakiwamo wa ITV, Thisday na KULIKONI kabla ya Rostam kupigiwa na kuwataka wawaruhusu. Waliona madhara yake
 
Mengi ana kosa gani?
 
Kwa kifupi:

Kuhusu suala la wale ambao hawaishi vizuri na wake zao,alikuwa kimlenga Mhe. SIx,ambaye ana Vimada kibao..Kajibu kw astyle ya aina yake.

suala la Mtikila ni suala ambalo linajulikana wazi,na mie nilishangaa hayo maneno aliyatoa wapi?Mtikila ndiye aliyepewa pesa na kina RA amamalize Sumaye.Nafurahi sana sababu kwa maneno haya kutaibua mengi ambayo hatukuyajua..

Kuna mambo mengi sana ambayo nimepata kuyasikia baada ya mkutano huo nikiwa na waandishi wenzangu,na naanza kuhisi hatuna wapinzania wa kweli na muda si mrefu kwa kuwa mie siyo mwanasiasa nitaanza kuwaanika wazi wazi ambao wanaua Upinzania,na kwa furaha yangu ya Dhati namshukuru sana Ngurumo kwa kuanza kumuandika Mreama ni Shushushu.Wapo wengi na wawili wako CHADEMA..

Re: vyama feki Tanzania!
 
anahoji mbona wafanyabiashara wa Kikristu wanaoneshwa wakitoa misaada katika ujenzi wa Misikiti, iweje leo muislamu kutoa msaada kanisani?

anasema "natoa changamoto kwa mtu yeyote mwenye ushahidi wa vitendo vya uvisadi awakilishe hayo kwenye vyombo vya sheria"

Hapa hapana, anapandikiza chuki za kidini kwa sababu hao wafanyabiashara wengine waliotoa misaada kanisani au misikitini, yaani anamsema Mengi, sio wabunge na mafisadi kama yeye kwenye hili hapana amekosea.

hapa inadhihirisha jinsi mheshimiwa huyu alivyoshikwa pabaya. sasa anajaribu
kuwagawa wale wanaomshutumu kwamba ni fisadi katika misingi ya kidini na hili ni baya kuliko.
 
Kwa kifupi:

Kuna mambo mengi sana ambayo nimepata kuyasikia baada ya mkutano huo nikiwa na waandishi wenzangu,na naanza kuhisi hatuna wapinzania wa kweli na muda si mrefu kwa kuwa mie siyo mwanasiasa nitaanza kuwaanika wazi wazi ambao wanaua Upinzania,na kwa furaha yangu ya Dhati namshukuru sana Ngurumo kwa kuanza kumuandika Mreama ni Shushushu.Wapo wengi na wawili wako CHADEMA..

Gembe,

Maneno mazito haya. Unaweza kututajia hao wawili wa CHADEMA? Kama huwezi kuwataja hapa nitumie basi hata kwenye PM yangu jamani au nitumie kwenye ashabdala@yahoo.com au kwenye ashawazenj@gmail.com, itakuwa ni siri yangu kati yangu nawe. Lazima tuwafahamu vizuri viongozi wetu

Asha
 
Ukisoma taarifa ya Rostam ya leo na story ya Tanzania Daima ya Julai 10, 2008, yenye kichwa "KKKT yamkaanga Rostam"

www.freemedia.co.tz/daima/2008/7/10/habari1.php - 71k

... utabaini Rostam anamlenga Mengi kwa sehemu kubwa na hakika hiyo ni dalili tosha kwamba kwa sasa mambo hayako sawa kabisa na tutarajie kuchafuka kwa hali ya kisiasa siku si nyingi.

Katika Tanzania Daima, Rostam anamtaja kwa mwandishi mfanyabiashara anayedai kwamba ndiye anayewachochea wachungaji na maaskofu kumtosa. Na katika taarifa yake ya leo sehemu kubwa analenga Mengi kwa mafumbo, jambo ambalo analiweka wazi anapozungumza na watu. Hii si dalili ya mtu aliyepevuka na ni dalili ya kuelemewa. Sina hakika kama JK bado anampa kichwa maana suala la EPA linakuja, suala la Vodacom shares liko katika pipeline na mambo mengine mengi ambayo naamini, kwa mtu aliyekuwa na nguvu kubwa na sasa anabadilikiwa, lazima awe mkali. Lakini angepata washauri makini (si hao wanaganga njaa) angeweza kukaa kimya na si kutapatapa, ili hali itulie ndipo baadaye aibuke.
 
Siku si nyingi tutamsikia Chenge naye anafanya Press Conference, this time nadhani atafanyia Paris na waandishi wataalikwa kwa kupewa ticket za KLM first class, maana hawawezi kufanyia Maelezo, watavamiwa na waandishi "uchwara"
 
toba... bomu... "Mtikila mwenyewee alikuwa kuniomba Shs milioni 3 za kuendeleza Kanisa lake na kumpatia, hili la kuwaambia wengine fedha zangu ni dhambi wakati yeye anazipokea ni unafiki, nawapa ushahidi wa malipo hayo kwa Mtikila"!

hata kama mtikila alikuomba,lakini mtikila kaona sasa ni too much huo UFISADI wako,kwahiyo hana haki ya kukukemea sababu aliomba?sasa ndiyo napata picha kwanini watu wa igunga wanamshobokea,nadhani kawatisha mkinisakama basi hata hivi visima nilivyoweka naviharibu.

mimi nitapenda kumsikia mtikila majibu yake na yatakuwa balaa,tutasikia makubwa tu,tunaelekea kufika
 
Kama nilvyosema before...Lawama ni kwa Kikwete kwasababu yeye kama Rais ametuletea BALAA!

Na sasa keshakuwa bubu na yuko huko IKULU KAMA MLEVI WA TOGWA AMA MSUKULE!

Ye amekubali nchi iongozwe na wachawi na wanamtandao!

Kama kweli ameshapewa ripoti na anafahamu huu uharamia..Inakuwa vipi aone RA anatisha na kusema eti wenye ushahidi wanipeleke mahakamani?

EPA HAINA USHAHIDI?

Vipi kuhusu MEREMETA NA RICHOMND NA DOWANS?

Huyu rais wetu KUBWA JINGA AMA ZEZETA?
Huko IKULU ANAFANYA NINI? ANATAKA AKACHOMOLEWE HUKO NA WANANCHI ILI AJUWE KINACHOENDELEA?

Huko IKULU anashinda BAFUNI AMA CHOONI?

Ama anatizama MTV CRIBS kama wanavyosema watu wanaomfahamu?

HAONI NI YEYE ANAPIGWA KIJEMBE PAMOJA NA SPIKA?

This is TOO MUCH!!!

HUYU MTU KUPEWA MAJUKWAA YA KISIASA KILA MAHALI NI SAWA NA DHARAU KUBWA SANA KWA TAIFA!

HUYU MTU NI RAIA KWELI?

Mbona ana roho ngumu na hata RAIS ANAUFYATA?

Kuna mambo mazito hapa!
 
Jamani, Press Conf ilikua kwa mwaliko, na kadi maalumu. Waandaaji walikua Clouds FM na Fina Mango alikua mlangoni na Ruge. Najua walikua wakifanya kazi yao ya PR na walizuiwa waandishi wa IPP wakiwamo wa ITV, Thisday na KULIKONI kabla ya Rostam kupigiwa na kuwataka wawaruhusu. Waliona madhara yake

Si unaona sasa...Halafu si ndiyo clouds hiyo hiyo inayotupigia bongo flava?

Sasa huu si UMAFIA NI NINI?

Hawa watu walitambaa kila mahali...Mengi wamemshindwa na kwanza hata hii vita yote wanazunguka tu lakini ni Mengi ndiyo tageti yao!

Na vijembe vya RA dhidi ya Six pamoja na JK mwenyewe!

Mkapa mwenyewe naona angekuwa na uwezo angemlipuwa R.Mengi.

Kumbe ndio maana karais ketu hata nchini hakakai...Maana sasa kama hata RA mwenyewe wanamkimbia!

Halafu iko chapaa na clouds kweli wameleta WINGU!

Sasa hao clouds wana tofauti gani na ile kwaya ya kinondoni..?

Kwanini RA hakwenda maelezo?
 
Ila Mengi naye ni tatizo kwa wakati mwingine,

Yeye ndiye anamtuma Kimaro kumlipua Mzee Mkapa..hiii ni vita na imechangiwa sana na suala la Kempski pia baada ya Mengi kulikosa ..ukiunganisha mambo utagundua mengi sana,hata suala la Vimada linamhusu Mengi pia..hili ni dongo kuibwa sana na maelezo ya Rosatam yatakuwa na kibali toka sehemu flani flani na yameandikwa na Mwandishi yule yule tunayemfahamu...siyo balile,yule mwingine Mkurugenzi
 
Mi nakwambia wanamzunguka R.Mengi ndiyo tageti ya MAFISADI KWANI YEYE NDIYE MWIBA WAO HILO LIKO WAZI!

Mungu amlinde sana!

Chuki ni nyingi...Lakini WHO CARES?

Mkapa na Rostama wana wish R.Mengi asingekuwepo duniani leo hii...Lakini hawamwezi kwani wakifanya lolote watampa URAIS MOJA KWA MOJA KWANI WANANCHI HAWATAKUBALI!

Mengi ni SHUJAA na wananchi wakae nyuma ya mzalendo na wasilete UMAMLUKI WAO!

Chuki hata zile za kidini na kikabila ni MENGI WALIMLENGA!

Chuki za kukataa mgombea binafsi ni MENGI BADO WAKO NAYE!

NA KANISA LAKE LA LUTHERAN WAMELIVAMIA NA WANATAKA KULIGAWA...Ni mbinu YA KIMAFIA AMBAYO ILIANZISHWA NA MKAPA NA RA NA SASA JK NI KAMA KIBOGOYO TU NA HAWEZI KABISA KUPANUWA MDOMO WAKE KWANI SASA HII NI AWAMU YA NNE YA MKAPA...KWENYE HISTORIA YETU SISI WAZALENDO TUTAWAHUKUMU WOTE NA PIA MKAPA KAMA RAIS WA AWAMU NNE!

Alitaka kujiongezea muda kwani kazi ilikuwa haijaisha na alipoona kuwa hawezi akautumia mtandao ili kumtega mtu wake(JK) Na sasa bado ni Mkapa anaongoza nchi na wanamtandao na sijuwi ni uchawi ama woga ama uelewa mdogo..Jamaa(jk) hakai nchini kabisa!

Sasa kuanzia makubaliano ya yeye kupewa nafasi za kufuatilia mambo ya Afrika ill aachane na habari za ufisadi...Basi huo mtandao ni MKUBWA SANA NA WA KIMAFIA!
 
Back
Top Bottom