William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Naona hapa kuna one big question ambayo wengi tunai-overlook, na ni Rais wa hii Jamhuri, hivi yuko wapi na all this nonesense?
I mean huyu Rostam na wenziwe, wanachofanya sasa hivi ni kuonyesha wazi kuwa wao wana serikali yao ndani ya serikali ya Jamhuri yetu, sasa Rais wa Jamhuri anafanya nini na haya madudu? Huwezi kusema kuwa hii ni part ya demokrasia kwa sababu it is not! this is a mafia style of living.
Hawa kina Rostam wanachofanya ni kui-undermine serikali halali iliyochaguliwa kwa mujibu wa sheria zetu, Mheshimiwa Rais Kikwete, hivi kweli Tanzania tumeshuka busara za kisasa kiasi hiki? What is this? Viongozi wanaoshutumiwa kuwa ni mafisadi badala ya kufikishwa kwenye mkono wa sheria zetu za Jamhuri wanaachiwa na kutucheka wananchi kiasi hiki?
Mbunge mzima wa taifa, na mjumbe wa kamati kuu ya CCM, hawa zamani tulizoea kuwaona kwenye ishu muhimu za taifa, walikuwa wakizungumzia chakula, Kilimo, kuwahamasisha wananchi, sasa leo huyu anaita waandishi wa habari mkutano mzima kuzungumzia mipasho ya taarabu?
Mheshimiwa Rais, how low can we go kabla huja-claim tena kuwa wewe ndiye Rais wa Jamhuri yetu, maana wananchi tulikuchagua wewe sio hawa mafisadi?