Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

Companero mkuu, ujamaa si imani, kwa sababu ujamaa si dini ni itikadi ya kisiasa. Kama ingekuwa imani ingekuwa Catholicism au Islam etc. Lakini kuna mtu anaitwa Nyerere alikuja na political philosophy yake akatulazimisha wote tuamini na aliendesha nchi kwa kufuata itikadi hizi na hatimaye uchumi wa nchi ulipodidimia alijiuzulu.Na kutokana na kuwa ujamaa umeonekana kuwa siyo practical it is a utopia, basi ndiyo maana mwenzetu amesema ataprove methodically it's wrong.

Tofauti ya imani na itikadi ni nini? Unaipimaje imani? Unaipimaje itikadi?

Ujamaa ni imani wenye nguzo/amri 4. Ukristo ni imani yenye amri 10. Uislamu ni imani yenye nguzo 5.

Wewe na Zakumi sio waumini wa Ujamaa. Sasa mtaishije kwa imani ambayo siyo yenu? Mtatekelezaji misingi ya imani isiyo yenu?
 
Companero:

Nilikuwa natoa salamu kwako tu lakini sikutaka kuendelea na mjadala kwa sababu hii ni thread ya NN na Da Rostam.

Lakini ukiweka thread ya kuelezea merit za ujamaa kuwa ni imani, sitakawia kuja huko.
 
Super! Sasa tuendelee na mada...who the fcuk is Rostam Aziz?
 
He has got 'em by the Kahunas... He knows 2 much, has 2 much and has done 2 much to be easily disposed inspite of the fact that he is a liability to them (CCM).
 
Sio LIAFRICA ndio maana halikamatiki, lingekuwa LIAFRICA wameshalikamata tayari na kulisweka ndani
Oops!Then,ni LIAFRIKA lenye asili ya Asia na lisilokamatika(at least wit CCM bein in power!)
 
Super! Sasa tuendelee na mada...who the fcuk is Rostam Aziz?

Kuna uwezekano kuwa real Rostam Aziz doesn't exist (my bad if he does). Kutokana na imani za watanzania wengi (ujamaa, uislamu, ukristo), kuiba ni dhambi. Hivyo wanatumia proxies ziitwazo Rostam Aziz, Jeetu Patel etc. Hivyo Rostam akifanya dirt work, na baadaye akatoa bakshish kwa Lowassa, Lowassa anafikiri kuwa ajafanya kitendo cha dhambi (Mr. Clean).
 
Nyani you're realy nuts and sarcastic,but creative...I kinda like it,sidhani kama utakaa ufungiwe tena maana una evolve...Hii kali,hata hivyo kweli....Who the efyusikei is this dude?
 
Nyani you're realy nuts and sarcastic,but creative...I kinda like it,sidhani kama utakaa ufungiwe tena maana una evolve...Hii kali,hata hivyo kweli....Who the efyusikei is this dude?

Hahahahahahaa..Mangi...I'm only one tusi away from kufungiwa but you know me...I have seven lives and I never die...I only multiply
 
Ni mwizi aliyetuibia Billioni 40 benki kuu lakini hakamatwi!!
 
When the rule of law doesnt work what else to do! Itafika wakati watu wataona isiwe ishu kwake wananchi tunapajua... watu wataenda kuweka his head on a pike. Watanzania sibado hatujajua the power of the Mob vizuri, ndio kwanza tunapiganayo wezi ambao wanakamatika na kufungika... we shud use it on those that cant be apprehended. Nuff sed!
 
Inawezekana RA anahusika na baadhi au yote yaliyojengewa hoja humu lakini ukweli unabaki kwamba hela zake before 2005 alizipata kwa njia yake halai kabisa, hakuibia mtu.

Pia ni vizuri ikaeleweka kwamba spinning politics zipo kila nchi, blair alizicheza sana na brown bado anazicheza, bush anazicheza kila siku na kadhaa wa kadhaa. Kwa hiyo kinachoendelea si kitu kigeni na sio uhalifu ingawa kimsingi, kama anafanya hayo yote sio jambo la busara because it will become counterproductive.

Katika kila nchi, kila uongozi unakuja na kambi yake na tactics zake. Hata angepita malecela, salim, mwandosya, kungekua na hoja kama hizi nyingi tu, may be worse. Solution ni kwa upinzani na wao kuja na tactics zao au propaganda, hilo halikatazwi
You were damn right buddy
 
Hivi nani amewahi kumsikia Rostam Aziz akiongea? What does he sound like? Does he have an accent?

Ameshawahi kuongea na waandishi wa habari?
 
Hivi nani amewahi kumsikia Rostam Aziz akiongea? What does he sound like? Does he have an accent?

Ameshawahi kuongea na waandishi wa habari?

Ndiyo,

Aliongea siku moja kuhusu suala la kutoa misaada katika kanisa la Kinondoni na ndo siku hiyo alimuumbua Mtikila kuwa alimpatia posho. Kubwa ninalokumbuka katia ya yale aliyoyasema ni kuwa yeye ni msafi sana na kwamba pesa zake amezipata kutoka kwenye biashara halali ya familia yake tangu miaka ya 1800 (sijui kama hiyo inahusisha na biashara ya utumwa)!!!
 
Mimi nimemsikia akiongea. Kuhusu kuongea na waandishi wa habari sijui kama unamaanisha press conference?, lakini kuna gazeti moja leo limem-quote, ina maanisha anaongea na waandishi wa habari.

Accent yake ni kama ya Spika wa Bunge la Tanzania, yaani kiTabora-Tabora pale uswahilini.
 
Last edited by a moderator:
Ndiyo,

Aliongea siku moja kuhusu suala la kutoa misaada katika kanisa la Kinondoni na ndo siku hiyo alimuumbua Mtikila kuwa alimpatia posho. Kubwa ninalokumbuka katia ya yale aliyoyasema ni kuwa yeye ni msafi sana na kwamba pesa zake amezipata kutoka kwenye biashara halali ya familia yake tangu miaka ya 1800 (sijui kama hiyo inahusisha na biashara ya utumwa)!!!

Vipi...ana accent?
 
Back
Top Bottom