Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Companero mkuu, ujamaa si imani, kwa sababu ujamaa si dini ni itikadi ya kisiasa. Kama ingekuwa imani ingekuwa Catholicism au Islam etc. Lakini kuna mtu anaitwa Nyerere alikuja na political philosophy yake akatulazimisha wote tuamini na aliendesha nchi kwa kufuata itikadi hizi na hatimaye uchumi wa nchi ulipodidimia alijiuzulu.Na kutokana na kuwa ujamaa umeonekana kuwa siyo practical it is a utopia, basi ndiyo maana mwenzetu amesema ataprove methodically it's wrong.
Tofauti ya imani na itikadi ni nini? Unaipimaje imani? Unaipimaje itikadi?
Ujamaa ni imani wenye nguzo/amri 4. Ukristo ni imani yenye amri 10. Uislamu ni imani yenye nguzo 5.
Wewe na Zakumi sio waumini wa Ujamaa. Sasa mtaishije kwa imani ambayo siyo yenu? Mtatekelezaji misingi ya imani isiyo yenu?
Companero:
Nilikuwa natoa salamu kwako tu lakini sikutaka kuendelea na mjadala kwa sababu hii ni thread ya NN na Da Rostam.
Lakini ukiweka thread ya kuelezea merit za ujamaa kuwa ni imani, sitakawia kuja huko.
Rostam ni LIAFRIKA lenye asili ya Asia!!
Oops!Then,ni LIAFRIKA lenye asili ya Asia na lisilokamatika(at least wit CCM bein in power!)Sio LIAFRICA ndio maana halikamatiki, lingekuwa LIAFRICA wameshalikamata tayari na kulisweka ndani
Super! Sasa tuendelee na mada...who the fcuk is Rostam Aziz?
Nyani you're realy nuts and sarcastic,but creative...I kinda like it,sidhani kama utakaa ufungiwe tena maana una evolve...Hii kali,hata hivyo kweli....Who the efyusikei is this dude?
How old is Rostam Aziz?
You were damn right buddyInawezekana RA anahusika na baadhi au yote yaliyojengewa hoja humu lakini ukweli unabaki kwamba hela zake before 2005 alizipata kwa njia yake halai kabisa, hakuibia mtu.
Pia ni vizuri ikaeleweka kwamba spinning politics zipo kila nchi, blair alizicheza sana na brown bado anazicheza, bush anazicheza kila siku na kadhaa wa kadhaa. Kwa hiyo kinachoendelea si kitu kigeni na sio uhalifu ingawa kimsingi, kama anafanya hayo yote sio jambo la busara because it will become counterproductive.
Katika kila nchi, kila uongozi unakuja na kambi yake na tactics zake. Hata angepita malecela, salim, mwandosya, kungekua na hoja kama hizi nyingi tu, may be worse. Solution ni kwa upinzani na wao kuja na tactics zao au propaganda, hilo halikatazwi
Hivi nani amewahi kumsikia Rostam Aziz akiongea? What does he sound like? Does he have an accent?
Ameshawahi kuongea na waandishi wa habari?
Ndiyo,
Aliongea siku moja kuhusu suala la kutoa misaada katika kanisa la Kinondoni na ndo siku hiyo alimuumbua Mtikila kuwa alimpatia posho. Kubwa ninalokumbuka katia ya yale aliyoyasema ni kuwa yeye ni msafi sana na kwamba pesa zake amezipata kutoka kwenye biashara halali ya familia yake tangu miaka ya 1800 (sijui kama hiyo inahusisha na biashara ya utumwa)!!!