Rostam Aziz: Rekodi zinaonesha Rais Samia amefanya maendeleo makubwa

Rostam Aziz: Rekodi zinaonesha Rais Samia amefanya maendeleo makubwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
“Uongozi wa Rais Samia unajieleza wazi kwa mambo aliyofanya na yanaonekana, amefanya maendeleo ya wazi na Uchumi umekuwa kwa kasi na Vitu vinaonekana” Mfanyabiashara Rostam Aziz katika Mahojiano na Mtangazaji Mkongwe Tido Mhando.
 
bila shaka anamaanisha...

raisi samia amefanya maendeleo makubwa mifukoni mwake...

tabora bado hatuna maji...

bado hakuna barabara za uhakika kusafirisha mazao yetu...

labda huko kwingine...
 
Akija mwingine hivyo hivyo, halafu wenyewe hata kujistukia kwamba wanapewa sifa za uongo
 
bila shaka anamaanisha...

raisi samia amefanya maendeleo makubwa mifukoni mwake...

tabora bado hatuna maji...

bado hakuna barabara za uhakika kusafirisha mazao yetu...

labda huko kwingine...
Maendeleo mifukoni mwake kwakweli.
 
Back
Top Bottom