DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Sep 8, 2025 #1 “Uongozi wa Rais Samia unajieleza wazi kwa mambo aliyofanya na yanaonekana, amefanya maendeleo ya wazi na Uchumi umekuwa kwa kasi na Vitu vinaonekana” Mfanyabiashara Rostam Aziz katika Mahojiano na Mtangazaji Mkongwe Tido Mhando. Your browser is not able to display this video.
“Uongozi wa Rais Samia unajieleza wazi kwa mambo aliyofanya na yanaonekana, amefanya maendeleo ya wazi na Uchumi umekuwa kwa kasi na Vitu vinaonekana” Mfanyabiashara Rostam Aziz katika Mahojiano na Mtangazaji Mkongwe Tido Mhando. Your browser is not able to display this video.
N nyakubonga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 7,088 Reaction score 12,837 Sep 8, 2025 #2 bila shaka anamaanisha... raisi samia amefanya maendeleo makubwa mifukoni mwake... tabora bado hatuna maji... bado hakuna barabara za uhakika kusafirisha mazao yetu... labda huko kwingine...
bila shaka anamaanisha... raisi samia amefanya maendeleo makubwa mifukoni mwake... tabora bado hatuna maji... bado hakuna barabara za uhakika kusafirisha mazao yetu... labda huko kwingine...
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Sep 8, 2025 #3 Wezi wote wanausifia uongozi wa huyu mama
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Sep 8, 2025 #4 Akija mwingine hivyo hivyo, halafu wenyewe hata kujistukia kwamba wanapewa sifa za uongo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 8, 2025 #5 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,310 Sep 8, 2025 #6 nyakubonga said: bila shaka anamaanisha... raisi samia amefanya maendeleo makubwa mifukoni mwake... tabora bado hatuna maji... bado hakuna barabara za uhakika kusafirisha mazao yetu... labda huko kwingine... Click to expand... Maendeleo mifukoni mwake kwakweli.
nyakubonga said: bila shaka anamaanisha... raisi samia amefanya maendeleo makubwa mifukoni mwake... tabora bado hatuna maji... bado hakuna barabara za uhakika kusafirisha mazao yetu... labda huko kwingine... Click to expand... Maendeleo mifukoni mwake kwakweli.