BOFREE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,048
- 1,424
hujaona hoja ?Mbaya Rostam na Wanaomtetea Wananikwaza. Sijaona Utetezi wa Hoja bali naona Unafiki na Uchawa mwingi tu.
ivi anaeruhusu iyo gesi iuzwe bei kibwa nani ? na wameridhia iyo bei ya gesi kina nani mpaka hawalalamiki wanaona ni sawa ?
hakuna uchawa ukweli usiopingika serikali kupitia tozo, kodi ,ushuru ndio inafanya gesi iuzwe iyo bei ndio maana unaona wamekaa kimyaa wanajionea sawa tu mbna vitu viko wazi vyeupeee hata mwanafunzi wa la tano anaelewa
ingekuwa rostam anauza bei juu peke yake sawa ila gesi zote m gas, orexy, taifa,kopa,mihani gasi na zingne bei ni sawa kama wanayopanga bei ya mafuta ya dizel,petrol na taaa
acha chuki binafsi