GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
Pamoja na Ujuha wako umejumuishwa.Hiyo 9500/= kwa kilo au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na Ujuha wako umejumuishwa.Hiyo 9500/= kwa kilo au?
usimi wa zamani alieko juu mgoje chini,mambo yamebadilika alioko juu mfate huko huko unasema yana muiho"Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama ndogo" amesema Rais William Ruto wa Kenya Juzi.
Chanzo Taarifa: Nipashe Radio One
Tunajitahidi mno Kumsahau Jemedari na Mtetezi wa Watanzania Hayati Rais Dkt. Magufuli ila tunashindwa kutokana na Kutuumiza hivi Watanzania wakati huko nje mnawafanyie Wema na Kuwaonea Huruma.
Laleni salama huko mliko Viongozi wangu Wapendwa na mlioifanyia Mema Tanzania yetu hii Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Benjamin Mkapa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
GENTAMYCINE huwa siishii tu Kuwakumbukeni huku nikiionea Huruma Tanzania yangu na inakokwenda bali huwa Nalia mno nikiona Watanzania tunafanywa Wapumbavu ( Mapopoma ) na Watanzania wachache waliojipa Hatimiliki yote ya Mama Tanzania na Familia zao.
Endeleeni tu ila haya yote yana mwisho.
Wewe acha ajuaji, nimeuliza hiyo gesi 9,500/= ni kwa kiwango gani ili nilinganisha na bei ya huku tuone utofauti wa hiyo bei.., acha ujuaji wa kishoga wewePamoja na Ujuha wako umejumuishwa.
Siyo Wapuuzi wenu wengine wa Afrika hii.
wewe mbona unasema sana ushoga shida yako tutaje sana ushoga hili ujisikie rahaWewe acha ajuaji, nimeuliza hiyo gesi 9,500/= ni kwa kiwango gani ili nilinganisha na bei ya huku tuone utofauti wa hiyo bei.., acha ujuaji wa kishoga wewe
Hahaha, analeta ujuaji wa kipunga, nisemeje sasawewe mbona unasema sana ushoga shida yako tutaje sana ushoga hili ujisikie raha
Umeongea kwa uchungu sana Charismatic fella. Huu upuuzi hauvumiliki hata kidogo. Huyo Rostam Aziz hana uzalendo hata kidogo. Kiufupi ni zaidi ya Bepari."Kuanzia Mwezi wa Tano nategemea Kutangaza Kuuzwa kwa Gesi zote nchini Kenya kwa Tsh 500/ ya Kenya ( kama Tsh 9,500/ hadi Tsh 10,000/ tu za Tanzania ) kwani tayari Rafiki yetu kutoka Tanzania Rostam ameshakuja Kuwekeza hapa Kwetu hivyo nataka Wakenya wafurahie Maisha na wapate Gesi kwa gharama ndogo" amesema Rais William Ruto wa Kenya Juzi.
Chanzo Taarifa: Nipashe Radio One
Tunajitahidi mno Kumsahau Jemedari na Mtetezi wa Watanzania Hayati Rais Dkt. Magufuli ila tunashindwa kutokana na Kutuumiza hivi Watanzania wakati huko nje mnawafanyie Wema na Kuwaonea Huruma.
Laleni salama huko mliko Viongozi wangu Wapendwa na mlioifanyia Mema Tanzania yetu hii Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Benjamin Mkapa na Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
GENTAMYCINE huwa siishii tu Kuwakumbukeni huku nikiionea Huruma Tanzania yangu na inakokwenda bali huwa Nalia mno nikiona Watanzania tunafanywa Wapumbavu ( Mapopoma ) na Watanzania wachache waliojipa Hatimiliki yote ya Mama Tanzania na Familia zao.
Endeleeni tu ila haya yote yana mwisho.
ndio maana kamtaja JPM maana serikali kuna sehem inaferiAcha undezi,kwani Rostam anatoa Msaada?
Kwanza gas yake anaagiza Uarabuni Wala sio Tanzania
Pili Kenya Wana kodi ndogo kwenye gas kuliko Tanzania ndio inaamua bei.
Na mwisho ndio kwanza Ruto amesema mtungi mdogo kuanzia juni utauzwa elfu 5 serikali yake itaweka Ruzuku.
Laumu serikali Ya ccm wenzio sio Rostam.
Daah...! Umeongea vyote lakini kwa ufupi sana. Hongera. Hii CCM ndio inayofanya maisha ya Watanzania yawe magumu sana.Acha undezi,kwani Rostam anatoa Msaada?
Kwanza gas yake anaagiza Uarabuni Wala sio Tanzania
Pili Kenya Wana kodi ndogo kwenye gas kuliko Tanzania ndio inaamua bei.
Na mwisho ndio kwanza Ruto amesema mtungi mdogo kuanzia juni utauzwa elfu 5 serikali yake itaweka Ruzuku.
Laumu serikali Ya ccm wenzio sio Rostam.
Ruzuku ...na wasomi wa marketing hicho ulichoandika wanaita market entry strategyPenetration pricing strategy
Mzee kwani Rostam anauza LNG au LPG?Gesi ya Rostam alikua ananunua kwao IRAN , kwa sasa anaingiza shehena kubwa kutoka Urusi ambapo gesi ya urusi iko deepsea inauzwa kama karanga tu, lakini pia kodi ya bidhaa gesi kwa kenya iko chini kuliko Tanzania na malengo ya Rostam ni kutaka kusambaza gesi kuanzia eritria, ethiopia, kenya, Uganda, msumbiji, zambia, malawi, rwanda, Burundi, Botswana, zimbabwe, afrika kusini na hapo analenga kwanza mataifa yenye bandari kama mombasa kwa kenya itakua center kubwa kwake, kumbuka rostam kwenye mchongo wa gesi habahatishi anamaanisha
Huyo JPM ndio kafanyaje? Alishusha bei?ndio maana kamtaja JPM maana serikali kuna sehem inaferi
Kushinda Mzururaji na Mkumbatia Mafisadi Mmoja hivi kutoka Taifa lingine Afrika.
Acheni Utetezi wa Kipumbavu, Kichawa na Kinafiki. Kwahiyo Kodi zikiwepo tokea miaka mingi ni Msahafu kuwa hawezi kubadiliki kwa Maslahi ya Wananchi wake? au na nyie mnataka Tuwadharau kwa kuwa na huwezo Mdogo wa Kufikiri kama Wengine ( siyo GENTAMYCINE ) wanavyomdharau Yeye?Ni ushungi ndio kaweka hizo Kodi? Zimekuwepo miaka na mikaka
Tunaenda Kwa stage we mbuzi ,ndio maana saizi Kuna mfuko wa Nishati safi umeundwa Ili kuleta mageuzi kwenye sekta hiyo na dira imewekwa by 2032 hakuna mkaa Wala Kuni shenzi wewe hujui kitu.Acheni Utetezi wa Kipumbavu, Kichawa na Kinafiki. Kwahiyo Kodi zikiwepo tokea miaka mingi ni Msahafu kuwa hawezi kubadiliki kwa Maslahi ya Wananchi wake? au na nyie mnataka Tuwadharau kwa kuwa na huwezo Mdogo wa Kufikiri kama Wengine ( siyo GENTAMYCINE ) wanavyomdharau Yeye?
Aondoe sasa! Mbona zinazidi kupaa?Ni ushungi ndio kaweka hizo Kodi? Zimekuwepo miaka na mikaka