Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

Mbaya Rostam na Wanaomtetea Wananikwaza. Sijaona Utetezi wa Hoja bali naona Unafiki na Uchawa mwingi tu.
hujaona hoja ?
ivi anaeruhusu iyo gesi iuzwe bei kibwa nani ? na wameridhia iyo bei ya gesi kina nani mpaka hawalalamiki wanaona ni sawa ?

hakuna uchawa ukweli usiopingika serikali kupitia tozo, kodi ,ushuru ndio inafanya gesi iuzwe iyo bei ndio maana unaona wamekaa kimyaa wanajionea sawa tu mbna vitu viko wazi vyeupeee hata mwanafunzi wa la tano anaelewa

ingekuwa rostam anauza bei juu peke yake sawa ila gesi zote m gas, orexy, taifa,kopa,mihani gasi na zingne bei ni sawa kama wanayopanga bei ya mafuta ya dizel,petrol na taaa

acha chuki binafsi
 
Tatizo ni kodi mzee Gas ni bei chee Uarabuni
 
Mbaya Rostam na Wanaomtetea Wananikwaza. Sijaona Utetezi wa Hoja bali naona Unafiki na Uchawa mwingi tu.
daa kweli aisee umenifanya nione hoja yako haina mashiko kabisaa huoni kama gesi zote bei moja nenda kaulizie mtungi mdogo wa mgasi, kopa gasi,taifa gasi, mihani gasi ,manjis gasi uone bei kama hazifanani we umeona rostam tu
 
Serikali ya Kenya iliondoa ushuru kwenye gesi ya kupikia tu, yetu ilipandisha.
 
Ahaa kumbe unatambua kuwa msoga gang ni tatizo hapa nchini??

Hao wakipunguza tamaa tutapumua.

Kila kitu wanataka kiwe chao hawaridhiki aisee.
 
Watu wanamtegemea Mungu ila wengine wanamtegemea Magufuli. 😂😂😂😂
Ndiyo maana kila kitu angekuwepo Magufuli.😴😴😴 Mbona ujajiuliza kuhusu bei ya gesi ya taifa na mihan wanauza bei juu?
 
Shida sio Rostam Azizi, shida ni viongozi wetu. Ruto anatarajia kutangaza hayo kutokana na kusamehe kodi kibao kwenye gesi. Je hapa kwetu ili gesi imfikie mtumiaji inakuwa imetozwa kodi kiasi gani ?
kuna watu wanapenda kulalamika tu kwa lo lote lile.
 
Nilitegemea hoja yako itoe uzito kwa kuandika ,"kwa nini isiwezekane Tanzania?"
 
Hiyo 9500/= kwa kilo au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…