Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

usimi wa zamani alieko juu mgoje chini,mambo yamebadilika alioko juu mfate huko huko unasema yana muiho
 
Umeongea kwa uchungu sana Charismatic fella. Huu upuuzi hauvumiliki hata kidogo. Huyo Rostam Aziz hana uzalendo hata kidogo. Kiufupi ni zaidi ya Bepari.
 
ndio maana kamtaja JPM maana serikali kuna sehem inaferi
 
Daah...! Umeongea vyote lakini kwa ufupi sana. Hongera. Hii CCM ndio inayofanya maisha ya Watanzania yawe magumu sana.
Fikiria kuna mheshimiwa bungeni anakuambia kodi ya kontena moja kwa Zanzibar inakuwa milioni 35 na Kenya 35. Lakini kwa kontena hilo hili kwa Tanzania TRA wanalitoza milioni mia 3
 
Mzee kwani Rostam anauza LNG au LPG?
 
Ni ushungi ndio kaweka hizo Kodi? Zimekuwepo miaka na mikaka
Acheni Utetezi wa Kipumbavu, Kichawa na Kinafiki. Kwahiyo Kodi zikiwepo tokea miaka mingi ni Msahafu kuwa hawezi kubadiliki kwa Maslahi ya Wananchi wake? au na nyie mnataka Tuwadharau kwa kuwa na huwezo Mdogo wa Kufikiri kama Wengine ( siyo GENTAMYCINE ) wanavyomdharau Yeye?
 
Tunaenda Kwa stage we mbuzi ,ndio maana saizi Kuna mfuko wa Nishati safi umeundwa Ili kuleta mageuzi kwenye sekta hiyo na dira imewekwa by 2032 hakuna mkaa Wala Kuni shenzi wewe hujui kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…