Rostam: Hakuna nchi duniani inajenga Uchumi wake kwa kutegemea wawekezaji wa nje, ataka wazawa wapewe kipaombele

Ni huzuni sana mkuu..
 

Kafulia yuko wapi ?
Nchi hii imechezewa sana
 
Ni
Rostam Aziz sio mzawa wa Tanzania, lakini kuna taarifa kwamba anahusishwa na kabila la Baluchi, ambalo lina asili kutoka eneo la Baluchistan, linalopatikana katika nchi za Iran, Pakistan, na Afghanistan.
Ni mzawa wa Igunga sema Wazazi wake walihama kutoka Mbarali Mbeya huko lakini hatujui waliingia Tanzania lini.
 
Ni
Ni mzawa wa Igunga sema Wazazi wake walihama kutoka Mbarali Mbeya huko lakini hatujui waliingia Tanzania lini.
Acheni kushobokea makanjibay nyie mwekezaji mzawa alikua mengi tu hao wengine ni kiini macho angalao mzawa mengi alikua anapeleka ndugu zetu India kutibiwa Bure na kutupatia hizo mioni miamia kwenye mashule yetu ya kata hakuna kanjibay mwenye uchungu na mtanzania maskini zaidi ya mtanzania mwenzake
 
wazawa wanaoficha sukari na mafuta ili bei ipande wale faida
 
Kaongea ukweli izi Tender wapewe wazawa kwa kuwezeshwa hata kwa mikopo nafuu Hela zibaki hapa hapa.

YAPI MERKEZI KAJA HAPA KAKOMBA HELA NA RELI HAIJAISHA HUYO KASEPA
 
Wakala
 
Hawa hawa Matajiri Uchwara?

Wamejaza bidhaa za mchina wna tofauti gani na Machinga wa Karume au pale Ilala boma?
 
Wengi wapo na uwezo, changamoto huwa inakuja kwenye malipo baada ya mkandarasi mweusi kumaliza kazi yake.. ( huwa wanazungushwa sana na serikali, inafika hatua mkandarasi anatoa rushwa ili alipwe stahiki zake)
Suala la kuzungushwa ni wakandarasi wote si weusi tu. Sote tunajua gov payment zinavyo chukua muda , wengine inawapelekew kutoa percent fulani ili malipo yao yafuatiliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…