Chanzo ni mimi mwenyewe. Jifunze kutoka kwa Rostam Aziz. ACHA MAKASIRIKO.leo serikali nzima ipo ukumbi wa Nyerere kwa ajili yake.Umeandika kama unakimbizwa. Hebu kaa chini tulia andika habari yako kwa kina na ieleweke.
Au kama una chanzo ni vizuri ukakiweka tujisomee wenyewe
Pia punguza uchawa/uteam sikuzote unaporipoti
Hata kinyume chake ni sahihiIla aliweza kujiweka vizuri kabisa kwa Magufuli na biashara zake zikaenda kama kawaida.
💯🤝Msamehe amekuelewa.Tunaambiwa mara nyingi tusithubutu kuongea,kutoa ahadi,kuandika au kufanya kitendo chochote ukiwa na aidha huzuni sana au furaha sana.Na hata ukiwa umelewa.
Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama Makampuni haya ya Simu za mikononi yanayotutesa na bei za Bando.
Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.
Wanaotutesa ni Mababu zetu waliogundua moto.
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi nimejifunza kwake unyenyekevu as long as mtu unakuwa na objectives zako. Tuache lawama jamani.
Money = Power + RespectSafari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.
He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.
Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Lobbying, ni jambo la kawaida na katiba yetu mpya liwekwe wazi ila sio apendelewe kuliko Lake Gas na wengineo.Ndo tujifunze kwao.Rostam kafanyaje mpaka kushawishi serikali nzima?
Safari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.
He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.
Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Eleza sasa jamaa kala deal gani? Yaani wanawake bana mbususu mtunyime hata habari?Chanzo ni mimi mwenyewe. Jifunze kutoka kwa Rostam Aziz. ACHA MAKASIRIKO.leo serikali nzima ipo ukumbi wa Nyerere kwa ajili yake.
Acha wivu. Rostam sio fisadi. Anapata michongo kihalali kabisa. Tutumie akili zetu kuandika project plan na umuhimu wake ili tupate fursa. Matatizo ya watu ndo fursa. Sasa Rostam kaja na nishati safi ili bibi zangu kule Mwajilyambiti wasikatwe mapanga tena. Maana wataondokana na kupuliza moto wa kuni.Point of corrections.
Rostam ni fisadi [emoji1655] na sio MWAMBA kama usemavyo
Sasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi nimejifunza kwake unyenyekevu as long as mtu unakuwa na objectives zako. Tuache lawama jamani.
Tunakoelekea atakuwa na maamuzi ya nani awe Rais nchi hii na nani asiwe.Ndio mfadhili mkubwa katika chama chemu.
Subiria uone 2024 and 2025 mapesa atakayomwaga katika chaguzi.
Safi sana lakini soko libaki huria kunasiku bei itapanda tutapata pa kukimbiliaTAIFA GAS ndio msambazaji wa gas nafuu Tanzania kuliko kampuni yoyote yaani mitungi ya Taifa Gas na Mihan Gas ndio bei rahisi kuliko kampuni yeyote unayoifahamu kwa Tanzania
Hiyo gas watapewa na kujaziwa bure? Au hao mabibi Sasa hivi nao washakua mamilionea?Acha wivu. Rostam sio fisadi. Anapata michongo kihalali kabisa. Tutumie akili zetu kuandika project plan na umuhimu wake ili tupate fursa. Matatizo ya watu ndo fursa. Sasa Rostam kaja na nishati safi ili bibi zangu kule Mwajilyambiti wasikatwe mapanga tena. Maana wataondokana na kupuliza moto wa kuni.
Hiyo ni kwa dar labda na utofauti ni buku au buku mbili, Ila sehemu nyingi mikoani bei ni mojaTAIFA GAS ndio msambazaji wa gas nafuu Tanzania kuliko kampuni yoyote yaani mitungi ya Taifa Gas na Mihan Gas ndio bei rahisi kuliko kampuni yeyote unayoifahamu kwa Tanzania
Ila mkiwa mnataka kutupiga vizinga huwa mnaandika kwelikweli ili tuwaeleweMimi sipendi kuandika maneno mengi .