Kama katoa pesa yako shida iko wapi?Imagine ameishinikiza Serikali iandae kongamano la kitaifa ya nishati ya kupikia huku kukiwa na mgao mkali wa maji na umeme nchi nzima lakini hakuna anayeongelea.
Hubby? Dunia imekwishaHubby no way. Inabidi tu sasa tujifunze kwa Rostam. Kwani baby wewe hautaki kumiliki vitalu vya gas ?Na kuwa king maker kwa kila utawala ?Inabidi tufanye biashara sasa hadi vitukuu wa vilembwe wetu waikute. Positive vibes tu leo honey [emoji173]
Serikali inayofanya kazi Kwa maelekezo ya mtu mmoja mmoja almradi ana nguvu Ni Serikali gani? Obvious ni Serikali dhaifu.Kama katoa pesa yako shida iko wapi?
Huyu ndiyo kiongozi mkuu kwa sasa akishirikiana na mzee wa msonga. Kweli nchi hii haikuwa tayari kwa rais wa sasaSasa Taifa gesi wanakwenda kuwa provider wa energy kwa kila mtanzania masikini na Tajiri. Ila tuwe positive jamani Rostam ni mwamba yeye anafit kwa kila Rais.
Sasa wizara nzima ya Nishati ni Rostam. Rostam oyee. Tujifunze kwa huyu mwamba.
Tuna kitu cha kujifunza kwa Rostam Aziz. Binafsi nimejifunza kwake unyenyekevu as long as mtu unakuwa na objectives zako. Tuache lawama jamani.
Aliporudi ccm kuomba msamaha wakati wa jiwe wapo niliowaambia hiyo ni inside job inakuja kufanyika muda si mrefu tutapata majibu, maana katika vita mojawapo ya medani muhimu ni kutafuta ambush ili ushinde kirahisi.Safari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.
He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.
Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
Alishtukia kuwa kwa EL, hataweza kumburuza.Alishindwa tu kumfanya Lowassa awe presidaa wa Bongo
Hili hatuwezi kulizuia tena kwa sasa serikali ni yake yeye na associates wake tunaowafahamu fika!Serikali inayofanya kazi Kwa maelekezo ya mtu mmoja mmoja almradi ana nguvu Ni Serikali gani? Obvious ni Serikali dhaifu.
Anatoka pesa zake Kwa reward gani? Misitake kuingiza nchi kwenye majaribu.
Habari za tajiri muulize maskini.
Sisi tuendele kuwekeza kwenye industry ya wakata maunoSafari ya USA alikuwepo, Ya Kenya alikuwepo
, Oman pia.
He is almost every where .ana nguvu sana awamu hii.
Kila anachotaka kinafanyika with no compromise.
RA ni mpanga mipango wa muda mrefu ujao kwa maslahi mapana ya kakikundi fulani.Unaowaeleza waache lawama hawatokuelewa kabisa, kuna mengi ya kujifunza kwa Rostam Aziz kwa mtu yeyote anaetaka maendeleo
CIA agentNdo tujifunze kwao.Rostam kafanyaje mpaka kushawishi serikali nzima?
Hata Kenya ni yeye !Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama yalivyo haya Makampuni ya Simu za mikononi yanayotutesa na bei za Bando.
Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.
Yeah....naona mambo ya cartel' ndo yamepiga hodi Tz.... kazi iendelee.Tusikubali awe na Monopoly kwenye gas, na pia tusikubali hawa Matajiri waungane dhidi yetu, kama yalivyo haya Makampuni ya Simu za mikononi yanayotutesa na bei za Bando.
Soko la Nishati liwe huria ili tuwe tunachagua ya bei nafuu.
Alishindwa tu kumfanya Lowassa awe presidaa wa Bongo