MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hoja ni nzuri ila utekelezaji ni mgumu sana. Maslahi ni madogo sana kwa hapa nchini kulinganisha na ughaibuni. Pia sheria zetu hazina ulinzi wa kutosha kwa wataalamu. Huku kwetu hata madiwani wenye elimu duni wanaweza kuweka figisu kwa mtaalamu wilayani akaona dunia chungu. Hata wananchi wengi bado wana fikra za kudharau wataalamu.