Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa

Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa

Kaongea point sana. Vipaji vyote vya special schools vilishajichokea vingi ni vilevi tu. Tanzania yangu hakika basi tu.
 
Hivi zile special schools za tangu miaka ya nineteen kweusi tulipokua tunaonana nao umiseta tu wanafunzi wake, bado hazijaanza kutoa products/wataalam hadi tuombe waliosomeshwa na nchi zinazojali utaalam warudi shitholeni?

Au ilikua deal tu, mana wabongo kwa deal hawajambo, ukiona wananyoosha maelezo na wana makabrasha wanapresent kwa kutokwa na mapovu ujue tu hapo kumewekwa mtego wa njuluku mahali...
 
Africa ni pazuri sana for weath accumulation shida yake Kubwa ni kuwa hakuna guarantee kabisa ya security, Ivo itakulazimu ubaki kwenye Political arena ili ku protect hio weath mana Kwa Africa Siasa ndio inalinda mali, Na Ukipishana na Mtawala basi ujue hata kama una biashara watazifatilia na Kuzifanyia Figisu, Maisha ya Africa yamejaa Kujikomba Komba na kulamba Miguu ya watawala ili either Upande favorable environment ya kufanya Biashara au Political appointment, No wonders hata Wanaume wakiafrica tunawahi kufa kwasababu it's chaos out there.
Inasikitisha sana
ChoiceVariable baba-mwajuma
 
Mwambieni doto magari aache kutukana wasomi na kutukuza ujinga.
 
Jakaya aliwarejesha Mwendazake akaja kuwazingua kwenye malipo ,nani arudi kwenye Nchi ambayo haieleweki msimamo wake wa kiitikadi na Kisiasa?
Huyo huyo jakaya akang'oa kucha za daktari, akamuua Mvungi nk. Hakuna professional atakubali ujinga wa ccm hata kidogo.
 
Back
Top Bottom