MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Namfahamu mmoja yupo NASA, mchaga huyo, hata Marekani hawawezi kumruhusu. Akienda kwao anaenda na sensors. Unaweza kuamini? Yeye ni USA-Germay-Swiss na Japan, hata China haruhusiwi kwendaKwanza hao wataalam huko nje ni kina nani, au unabwabwaja tu, udaktari tu wa binadamu ndiyo utaalam unafikiri aliozungumzia Rostam. Rostam amezungumzia wataalam wa hightech hasa maeneo ya Computer Engineering, Data Science, wa AI, Data Mining and Warehousing siyo hayo MD yenu hao wako wengi na hawana ajira
Aisee huku Ujerumani tumepewa kijana mdogo wa kizanzibari kama balozi. Mpaka nikajiuliza hivi hawa jamaa wanafikiria nini ? Kijana hata kiingereza chake cha shida.Rostam - hebu wasiliana na balozi wetu huko Canada. Muulize mara ngapi amewasiliana na wana diaspora (raia wa Tanzania na wale walioukana uraia) wa Canada, kuwaalika kwa hafla na kuzungumza nao ana kwa ana.
Rudini mlipwe m2 kwa mwezi wakati mbunge std 7 analipwa m20.Nani arudi?
Sawa pambaneni warudi ila we unadhani serikali hii ni salama kufanya nayo kazi kama expert?We endelea kupiga porojo zako hpo kijiweni kwenu huna mchango wwte wa maana, Rostam hajaongea kirahisi hivyo
Kwahiyo nitoke Google au Meta nije apo TCRA au? ambapo hata RC tu anapiga simu Kutoa maelekezo bila kujali bylaws au acts za taasisi? Kama mnataka Kuokoteza Wataalam muwarudishe sawa ila hakuna Expert ata risk kuja uko Kuanza Kuendeshwa na wanasiasa ambao hata thinking capacity yao ni ina mashaka, No one will dare, Ukiona Mtu amerejea ujue amekuja Kupambania Political posts ambazo it's worth paying, Ila sio nafasi za kitaalamu Kwa Africa hazilipi kabisaWe endelea kupiga porojo zako hpo kijiweni kwenu huna mchango wwte wa maana, Rostam hajaongea kirahisi hivyo
True watu wafate huu ushauri .Sawa pambaneni warudi ila we unadhani serikali hii ni salama kufanya nayo kazi kama expert?
Kwahiyo nitoke Google au Meta nije apo TCRA au? ambapo hata RC tu anapiga simu Kutoa maelekezo bila kujali bylaws au acts za taasisi? Kama mnataka Kuokoteza Wataalam muwarudishe sawa ila hakuna Expert ata risk kuja uko Kuanza Kuendeshwa na wanasiasa ambao hata thinking capacity yao ni ina mashaka, No one will dare, Ukiona Mtu amerejea ujue amekuja Kupambania Political posts ambazo it's worth paying, Ila sio nafasi za kitaalamu Kwa Africa hazilipi kabisa
Kwa Africa the best and payable business ni Politics kwasababu ina Ku offer both security and Money
Porojo tupuRostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
Mzee wasirra anaweza kupiga simu moja tu kufuta maelekezo ya mtaalamuSawa pambaneni warudi ila we unadhani serikali hii ni salama kufanya nayo kazi kama expert?
Kwahiyo nitoke Google au Meta nije apo TCRA au? ambapo hata RC tu anapiga simu Kutoa maelekezo bila kujali bylaws au acts za taasisi? Kama mnataka Kuokoteza Wataalam muwarudishe sawa ila hakuna Expert ata risk kuja uko Kuanza Kuendeshwa na wanasiasa ambao hata thinking capacity yao ni ina mashaka, No one will dare, Ukiona Mtu amerejea ujue amekuja Kupambania Political posts ambazo it's worth paying, Ila sio nafasi za kitaalamu Kwa Africa hazilipi kabisa
Kwa Africa the best and payable business ni Politics kwasababu ina Ku offer both security and Money
Mtaalam gani atoke nje kusaidia Taifa lake ambalo lipo katika mwelekeo huu, wakija na mawazo mbadala wanaonekana maadaui wa taifa ,machawa ndo wanaonekana think tank ya nchi ,hakuna uyo.Rostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa
Huo ndio Ujinga watu wasio utaka halafu ukikataa kukubaliana nao, they won't let you go for free, wanaanza kukufatilia na Private life yako very patheticMzee wasirra anaweza kupiga simu moja tu kufuta maelekezo ya mtaalamu
Mifumo bado sio Supportive kabisa, Imagine CEO wa Kampuni kama Dart au TTCL anatakiww akuze kampuni hizo na aweze kugenerate Profit ili atoe Dividend Kwa serikali yeye atasimamia Misingi ya kazi yake na Sheria labda let's za barabara au za Mawasiliano, Anatokea uku Mtu kama Mchengwera au Chalamila au Makonda anaanza Kutafuta Political Capital/mileage kupitia Kampuni ambayo umekuwa appointed uiongoze Tena anaenda ata Against na Sheria ili tu wananchi wamfurahie, Nani anataka huo UjingaUkirudishwa unakabidhiwa kadi ya chama then wewe unakabidhi utaalamu wako kwa mwenyekiti wa chama, unaanza kufanya kazi kulingana na maelekezo kutoka kwa Mwenyekiti, katibu mkuu, muenezi wa chama na Chawa wa mwenyekiti, ukijichanganya ukaenda kinyume na maelekezo na kujifanya unaleta utaalamu unaliwa kichwa na kubambikiwa kesi ya uhujumu uchumi, inakubidi uanze kuishi kwa kupokea maelekezo hata kutoka kwa Ndugu Baba Levo au Dotto Magari. Hell No.
ipoHivi dira ipo online kweli?
Rostam ndio anatoa ushauri huo !?,huyu huyu tapeli mwenzie JK, Huyu JK anatakiwe aondolewe yeye na kundi lake lote ili nchi iwe salamaRostam: Warejesheni Wataalamu Walioko Nje Kusaidia Taifa