Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV.
Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia.
Wapo makasuku humu wanamwandama Polepole kuwa anazungumza akiwa mafichoni utadhani hiyo ni hoja ya msingi.
Sasa mimi nauliza kati ya Rostam Aziz anayezungumza akiwa recorded na Polepole anayezungumza akiwa Live, nani kajificha?