Hata ya pole pole sio live ni recoded inayorushwa kwa mtindo wa live. Ukiwa na ubongo mdogo huwezi nielewa.Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV.
Hatuwezi kumchagulia jinsi ya kufikisha kwa jamii ujumbe aliokusudia.
Wapo makasuku humu wanamwandama Polepole kuwa anazungumza akiwa mafichoni utadhani hiyo ni hoja ya msingi.
Sasa mimi nauliza kati ya Rostam Aziz anayezungumza akiwa recorded na Polepole anayezungumza akiwa Live, nani kajificha?
West 😁😁Nafikiri umepatwa na haja kubwa, nenda Kanye kwanza.
Nilijua tu manyang'au mtakurupuka.Nafikiri umepatwa na haja kubwa, nenda Kanye kwanza.
Sio Live aongee na waandishi wa habari? ipi ambayo haikuwa live?Hata ya pole pole sio live ni recoded inayorushwa kwa mtindo wa live. Ukiwa na ubongo mdogo huwezi nielewa.
Editing muhimu!Maongezi ya Rostam Aziz jana ni recorded. Mwanzoni tuliambiwa atakuwa Live kupitia UTV.