Rosti viazi na samaki wa kukaanga

Asante sana
Naandikaje...kazi kwangu kurejea kwenye hii note...
Leo taandaa hili pishi
Karibuni

Ahsante tutakaribia na tulivo wengi lazima samaki wote tumalize
 
Asante mamito, huu upishi aliupikaga mama yangu ramadhan moja nakumbuka,halaf ikawa ni kidoogo sana hadi tuikajiramba...si unajua kikiwa kidogo chazidi utamu...lol

Allah Bariq
 
Asante kwa roast hii, nimezoea ya ndizi mzuzu ngoja nijaribu hii pia.
 
Asante mamito, huu upishi aliupikaga mama yangu ramadhan moja nakumbuka,halaf ikawa ni kidoogo sana hadi tuikajiramba...si unajua kikiwa kidogo chazidi utamu...lol

Allah Bariq

Amin rabbi el laamin
 
I tried this omg it tasteso yummy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…