Rotimi amvisha pete ya Uchumba Vanessa Mdee

Ila jamani rotimi anajua kupenda. Yaan anavyo mu handle vee utadhan mtoto.muda wote maneno yake ni matamu kuliko sukari.kwakweli kuna wanaume wanajua kupenda.
Hata huku bongo tupo sema mtu unamwambia maneno matumu umemaliza tu yeye anakuambia nina shida na laki mbili naomba
 
Nawatakia kila heri. Pete isizidi miezi 6 la sivyo Rotimi atangulize kishika uchumba Tanzania. Mawifi tushasema
 
Vanessa mzuri tatizo chura tu[emoji57]
 
Hafa na vee,Nimefurahi sana Jamani..Bora tuendelee tu kupeperusha bendera vizuri.Na ikawe heri kwenye huo uchumba wenu.Maneno mabaya yenye husda yasiwapate asilani.[emoji7][emoji7]
Ameeni ikawe heri maana watu wameanza dua zao kuwa huyo ni Mnaija atamtapeli kwanza Rotimi amekulia Marekani ni muigizaji mkubwa anafanya kazi na watu wanaojielewa na wako responsible kama wakiachana ni part ya maisha.
 
Kuvisha pete bila demu kutema mate ni kuliwa pakubwa!
 
Wish her all the happiness God can give.
May she prosper and thrive.
Love is a beautiful thing.
 
Acha gubu, yule msanii afu mnyamwezi usijicompare
Kweli ni msanii na suala la yeye kuwa Mnyemwezi sipingi maana ni mshamba kishenzi. Wewe mtu gani uko in your 30s unalilia kutrend Instagram. Wanyamwezi ni jamii ya kishamba sana na ndiyo maana sipendi kabisa mtu aniite ama kunifananisha na Mnyamwezi.
 
Kiafrika chetu kuvisha pete bila kulipa mahari ni sinema tu. Nia ya muoaji huonyeshwa kwa kupeleka barua ya posa/uchumba kwa wazazi wa binti na baadae mahari siyo hizi drama na show off
 
Kweli ni msanii na suala la yeye kuwa Mnyemwezi sipingi maana ni mshamba kishenzi. Wewe mtu gani uko in your 30s unalilia kutrend Instagram. Wanyamwezi ni jamii ya kishamba sana na ndiyo maana sipendi kabisa mtu aniite ama kunifananisha na Mnyamwezi.
Sawa mjanja, nakubali[emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…