Barn
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 2,734
- 4,042
Hata huku bongo tupo sema mtu unamwambia maneno matumu umemaliza tu yeye anakuambia nina shida na laki mbili naombaIla jamani rotimi anajua kupenda. Yaan anavyo mu handle vee utadhan mtoto.muda wote maneno yake ni matamu kuliko sukari.kwakweli kuna wanaume wanajua kupenda.