KISA?! AINA MPYA YA KUPORA NA KUNYANG'ANYA RASIMALI NA MALIASILI ZA NCHI NYINGINE!Wakuu hii round ya tatu inayokuja itakua mbaya zaidi hapo middle East
Hii vita itakua mbaya kupita maelezo
Sidhani kama huu mwaka utaisha bila hawa jamaa kuzichapa
Mwisho wa hii vita kuna mmoja atadondoka amini nawaambia.
Awamu hii kuna uwezekano wa kuhusisha nyuklia.
Petrol tzs 4102 kwa litaMwombe Mungu isitokee! Hata sisi huku madhara yatatufika.
Mara badae inakuja #Justice for IranNuclear kwa wajinga sio sio kwa Iranian
Wale jamaa mpaka kujipa ujasiri wa kutandika mataifa yenye Nuclear jua wanavitu hatari zaidi kwa kwa uhai wa Mwanadamu ✍️
Iran haitapigwa nuclear mkuu ila kipigo atachopewa awamu hii ni kinaonekana kuwa ni kizito sana.Awamu hii kuna uwezekano wa kuhusisha nyuklia.
Mbona haikutokea kabla hiyo justice for Iran!?Mara badae inakuja #Justice for Iran
Kama mwanzo waliungana nchi 2 wakatumia ndege 150 kwa pamoja Tomahawk 800+ na bado Iran ikasimama sembuse sasa!? Acheni delusions kondoo wa mwamposa.Iran haitapigwa nuclear mkuu ila kipigo atachopewa awamu hii ni kinaonekana kuwa ni kizito sana.
Twafa! Na mijitu inashangalia vita?! Naomba niite UVAMIZI!Petrol tzs 4102 kwa lita
Umesahau Australia pia.
Mara badae inakuja #Justice for Iran

They are the devil's, barbarians, savages, brutal, inhuman, with no mercy for fellow human beings!Umesahau Australia pia.