Round mpya ya Vita na Iran inakuja na itakua mbaya zaidi

Round mpya ya Vita na Iran inakuja na itakua mbaya zaidi

They are the devil's, barbarians, savages, brutal, inhuman, with no mercy for fellow human beings!
Whites in general are land snatchers. There is no any place in this world they have not snatched a land yet. That is why they justify what Israel is doing in the middle east. Birds of the same feathers.
 
Mungu wa Iran 🇮🇷 si ameuliwa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
MZUNGU kashamshindwa muirani kwasasq Vibalaka wa Marekani wanapitia magumu mengi

Pale Hormuz kwasasa Iranian kawa mbogo hakuna kupita kitu chochote

Rasilimali za eneo zibaki kwenye eneo

Lkn kuna mengi yanaendelea lkn media wanatufisha Israel wanapitia changamoto nyingi sana kutumia bahari

Fikiria Meli yenye Makontena 425 kampuni ya Israel Zim imetoka Israel na mzigo kwenda Romania yenyewe imepigwa na Drone 3 hatari sana
Meli imezama kama ilivyo na zigo lake

Wamewaokoa wafanyakazi tu
Kutoka israel kwenda romania unapitia homuz!?
 
Kwa iran, kila option atakayochagua marekani ni mbaya tu kwake mwenyewe POTUS
 
Walipigwa mmpaka makamanda wa USA kurukwa na akili wengine walijitupa baharini au mmesahau wandugu
 
Kutoka israel kwenda romania unapitia homuz!?

Ujaelewa Meli imepigwa karibu na Bulgaria imetoka Bandari ya Israel Haifa
kuelekea Romania kupitia mlango wa Morocco kufika karibu na Bulgaria ikapigwa na drone 3
 
Leo yenyewe zimepigwa Meli mbili lkn sasa Hormuz!!!
 
Ujaelewa Meli imepigwa karibu na Bulgaria imetoka Bandari ya Israel Haifa
kuelekea Romania kupitia mlango wa Morocco kufika karibu na Bulgaria ikapigwa na drone 3
Imetoka israel ikapita morocco halafu iran ikaipiga drone 3!,so morocco itakua imepakana na bulgaria 😄
 
Wakuu hii round ya tatu inayokuja itakua mbaya zaidi hapo middle East

Hii vita itakua mbaya kupita maelezo

Sidhani kama huu mwaka utaisha bila hawa jamaa kuzichapa
Mwisho wa hii vita kuna mmoja atadondoka amini nawaambia.
Logical fallacy
 
Naona silaha mpya kabisa za kisasa na zenye uwezo mkubwa au hata nyuklia vikitumika katika vita hii.
 
Imetoka israel ikapita morocco halafu iran ikaipiga drone 3!,so morocco itakua imepakana na bulgaria 😄
We umetaka kujua Kutoka Israel kwenda Romania unapitia homuz

Nimekujibu hapana njia limetumika kupita hiyo Meli ni mwambao wa Morocco kuelekea Ulaya!!!

Sasa tena unaoji Morocco na Bulgaria wamepakana ‼️

kwani swali lako lilikuwa wamepakana au njia imetumia hiyo Meli kufika mwambao wa Bulgaria kutokea Israel ‼️

Nimekujibu sio njia ya Hormuz

Meli imepitia mlango wa Morocco
kuekea Bulgaria au ulitaka niseme mwambao wa Gibraltar 😳

lengine Iranian hawajasema Kama niwao ndio wamezamisha Meli ya Israel ikiwa na Makontena 425 karibu na Bulgaria ni Meli ya Sita kupigwa eneo hilo hilo ✍️
 
naamini iran wana uwezo wa kufanya zaidi ila kwann hawafanyi Ivo ndio cjajua
 
Wakuu hii round ya tatu inayokuja itakua mbaya zaidi hapo middle East

Hii vita itakua mbaya kupita maelezo

Sidhani kama huu mwaka utaisha bila hawa jamaa kuzichapa
Mwisho wa hii vita kuna mmoja atadondoka amini nawaambia.

hivi bado upo kwenye propaganda za vita?
MTU YEYOTE ANAYESHABIKIA NAFSI KUUWAWA, NI WAKALA WA SHETANI BILA YEYE KUJIJUA....
 
hivi bado upo kwenye propaganda za vita?
MTU YEYOTE ANAYESHABIKIA NAFSI KUUWAWA, NI WAKALA WA SHETANI BILA YEYE KUJIJUA....
Aisee kweli na wale jamaa hawana dini ndio maana wanazichapa kishetani hio kusema ni waislam sijui wakristu gelesha tu
 
Back
Top Bottom