Round mpya ya Vita na Iran inakuja na itakua mbaya zaidi

Round mpya ya Vita na Iran inakuja na itakua mbaya zaidi

Wakuu hii round ya tatu inayokuja itakua mbaya zaidi hapo middle East

Hii vita itakua mbaya kupita maelezo

Sidhani kama huu mwaka utaisha bila hawa jamaa kuzichapa
Mwisho wa hii vita kuna mmoja atadondoka amini nawaambia.
Ndoto za Mwendawazimu hizo!!
 
Nuclear kwa wajinga sio kwa Iranian

Wale jamaa mpaka kujipa ujasiri wa kutandika mataifa yenye Nuclear jua wanavitu hatari zaidi kwa uhai wa Mwanadamu ✍️
Ndito za Mwendawazimu!!
 
Back
Top Bottom