Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hii imenitokea leo, na adha niliyoipata Mungu tu anajua.
Ni maumivu ya tumbo la kuhara lililodumu kwa muda mrefu, na nashukuru kupata huduma ya choo mahali naikawa mkombozi ili nisiadhirike.
Nikiwa na njaa mchana wa leo na nikaamua kupata bites pale Royal Oven Mlalakuwa.
Nikanunua sambusa,kachori na chapati maji.
Nikala hizo bites ndani kwenye gari kabla ya kuendelea na safari.
Nikiwa foleni mara tumbo likaanza kuunguruma, baadaye maumimvu makali ya tumbo yakaanza huku nikihisi kama nataka kuharibikiwa.
Bahati nikaingia kimgahawa kimoja na kujieleza kwa maumivu, haraka walinielewa na kunionyesha maliwato ambayo niliyaona kama mkombozi.
Yote hayo ni bites za Royal Oven.
Tahadhari wakuu!