Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

Mambo kama haya yanakuwa yakifanyika bila tafiti, kwani documentary atukuwahi kufanya huko nyuma?

Kama tulifanya tulifeli wapi na kinachosababisha Utalii kuporomoka ni kwasababu ya DOCUMENTARY au sheria zetu zisizo tabilika na kubwa?
 
Akiwa location, anaendelea na kazi au amekaimisha mpaka atakapomaliza kutumia hizo tozo.
 
Akiwa location, anaendelea na kazi au amekaimisha mpaka atakapomaliza kutumia hizo tozo.
wenyeviti wa mitaa wapo- ukitaka mkopo watakusainia ili mradi uwalipe hela ya mhuli na meza
 
Haipingwi bali ni muhimu hiyo tour ikisha kamilika mahesabu yake ya shushwe ijulikane itagharimu billioni ngapi? Hii baadaye itasaidia kuiona value for money ya huu mradi.
Mwisho wa siku watapiga hesabu kila aliekuja basi alikuja cos aliona Movie ya Jumong!
 
Mimi nina shida kidogo na neno "Royal", nani ni royal kwenye hizi tour, Mama Samia au wageni wake?
Hilo ni jina tu

Jordan: The Royal Tour (2002 TV Movie)​

Plot​

Showing all 1 items
Jump to:

Summaries​

  • Join His Majesty King Abdullah II bin Al-Hussein on an eye-opening journey through one of the most exotic countries in the Middle East. From the craggy peaks of Wadi Rum to the depths of the Red Sea, discover Jordan's magnificent scuba diving, explore the beauty of Petra, walk the Roman ruins of Jerash and come face to face with a Bedouin Camel Guard. In all, a remarkable assortment of treasures for you to uncover.
 
Hivi hii 'royal tour" ilikuwa ukarasa wa ngapi katika ilani yenye kurasa 303 ya CCM? Ama ni ingizo jipya?
KUKUZA UTALII
F. Kutengeneza ajira zisizopungua 7,000,000 (milioni saba) katika sekta
rasmi na isiyo rasmi kwa ajili ya vijana:-
(i) Kuchochea ukuaji wa uchumi, hususan katika sekta ya viwanda vinavyotumia malighafi za kilimo, mifugo, uvuvi, madini, maliasili na sekta ya huduma za kiuchumi pamoja na utalii;
(ii) Kuwawezesha vijana kushiriki katika shughuli za ujasiriamali,
ikiwemo kuwapatia mafunzo na kuwaunganisha na taasisi na
asasi za utoaji mikopo yenye riba na masharti nafuu;
(iii) Kuwahamasisha na kuwawezesha vijana kushiriki kikamilifu
katika utamaduni, michezo na sanaa kwa ajili ya afya bora na
burudani na pia kuongeza fursa za ajira na kipato; na
(iv) Kuhakikisha kuwa miradi mikubwa ya kimkakati inaajiri
vijana wengi zaidi wa Kitanzania.
UKURASA WA 8

(xi) Kukuza sekta za huduma hususan utalii ili kutumia fursa
zilizopo kikamilifu na kuongeza mchango wake katika uchumi
wa Taifa. ( UKURASA WA 14)
 
Haipingwi bali ni muhimu hiyo tour ikisha kamilika mahesabu yake ya shushwe ijulikane itagharimu billioni ngapi? Hii baadaye itasaidia kuiona value for money ya huu mradi.
sasa simsubiri ikamilike?
 
Viongozi wa hii nchi hawana vipaumbele kabisa , nchi Ina matatizo chungu mbovu rais anazungukazunguka for nothing
Huo ndoo ukweli mkuu,kwa hali hii maendeleo tutaendelea kuyasoma kwenye vitabu na kuyaonaa kwenye TV kwa nchi za wenzetu .Haiwezekani nchi inakosa vipaumbele na malengo mahususu yakutufikisha tunako pataka.

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Kwa nchi yenye ukosefu wa ajira mkubwa, umasikini, na changamoto za tozo mbali.mbali zinazoumiza wananchi, Rais kufanya "Royal tour" ni dhihaka
 
Back
Top Bottom