Royal Tour ingekuwa na tija kama Rais Samia angeambatana na Mumewe, watoto wake angalau wawili na kushirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania

Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.
Kwani lengo la hiyo tour ni kutangaza familia?
 
Ivi angefanya tour ya maeneo yenye uhitaji naona ingefaa zaidi
Mf kwenye shule ambazo hamna majengo zahanati/hosp ambazo hamna vifaa vya tiba
 
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.
Uko serious au unatania? Kabisa kabisa unahoji nguvu ya ushawishi ya Rais Samia katika forum ya watu makini wa Kimataifa kwa kulinganisha na hao jamaa wawili?

Kwanza tu, tambua ameingia ktk rekodi ya Kimataifa kuwa mmoja wa Marais wanawake tena kutoka Afrika, bara ambalo patriarchy system imejichimbia hasa na hakuna gender equality.

Samia kuwa Rais tu; kumeitangaza nchi yetu zaidi na tumejiongezea heshima kubwa zaidi. Sasa Rais wa aina hii kuingia kazini kutangaza vivutio, fursa za Uwekezaji na biashara huoni itaongeza value zaidi ktk utajiri wetu wa maliasili na tutaweza kuvutia mitaji ya Kimataifa.#Royal Tour itatupaisha. Tumuunge mkono Rais.
 
Mna wasanii jamaaani naona wakata viuno tu.lakini ndio hivyo mtu chake.
 
Hv unadhan Huyo Diamond na Samata wanaushawish mkubwa ulaya , hoja yako ingekua na nguvu May be ungesema wangemueka celebrity Kama Beyonce au Jay z hat wakina Serena Williams
Huyo Jamaa ukute ni Msanii Fulani Maarufu roho inamuuma haitwi.
 
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.
Mambo ya kijinga na ya ajabu Sana, ikitokea hiyo tour haijaleta impact iliyokusudiwa Raisi atapata kashfa mbaya
 
Kwa misingi ya Dini yule mzee mume wa Raisi hawi huru kuwa chini ya mwanamke ndio maana Mimi Mara ya mwisho kuongozana na mama nadhani ni kipindi cha msiba wa mwendazake
 
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta.

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.

Rubbish. Wasanii watanzania ndio mambo wanayopenda. Kula bata kwa hela za halafu hakuna wanachoongeza.
Mama anatosha
 
Hakuna jema litakalofanywa nyinyi "Watanzania" msikosoe. Nyinyi ni wapingaji juu ya kila jambo.

Angeichukua familia yake mngesema anatumia kodi zenu kula bata na familia yake.

Nyinyi watu hamna jema kwa kweli.
 
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta.

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.
Nimeshajua unakoelekea ngoja ninyamaze.
 
Ata Rwanda waliamza wenyewe na tallest guy. Kwa watz wanavyo piga kelele za kukosoa uongozi ivi ww ungesikia serikalnimemlipa Messi atangaze utalii wa Tz ..lzm ww ungekuwa miongon mwa wa Tz wangepinga

Kuhusu wasanii wa ndani, ivi haukumbuki Kigwa alitumia wasanii wa bongo movie kutangaza ile #Taznania unforgetable lkn in return nini kikitokea ?
Sio Kigwa tu, hata yule aliyemchukua miss Tz wa miaka hiyo na kuishia kumfanya mke wake, kulikuwa na impact gani?
 
Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta.
Kuna kitu kinaitwa maarufu, being popular, na mashuhuri, VIP. Hao jamaa hawajalenga mtu maarufu, wamelenga mtu mashuhuri. Rais wa nchi ndio mtu mashuhuri kuliko watu wote kwenye nchi husika.
Baada ya hawa Royal Tour kutufungulia njia na kutangaza utalii wetu kimataifa kupitia rais wetu, watalii watamiminika Tanzania kama mvua.

Na kwasababu vitu hivi wengine tulikuwa hatuvijui hadi wazungu watufungue macho, then baada ya kufunguka macho, sasa ni jukumu letu na serikali yetu, na taasisi zetu za kukuza Utalii, kuwatumia kina Diamond wetu, na Mbwana Samatta wetu, la watu maarufu wetu kitaifa na kimataifa kutangaza Utalii wetu kitaifa na kimataifa, tuweke hadi tangazo letu CNN, na kudhamini jezi ya Man U or Liverpool kama ulivyofanya Kagame.
Ten tutumie makampuni ya nyumbani.

Ila Mabeberu buana, ni Mabeberu tuu, wakitaka kukushika, wanakushika tuu, wanakufanyia research kutafuta your weakest point, wakiisha pata ndio wanapitia hapo hapo, wanatega mitego yak na wewe lazima utaingia kichwa kichwa!. Bila wazungu hawa, nani alijua Mama Samia ni bonge la a movie Star ?. She is!. Subirini movie itoke mtashuhudia mambo makubwa mazuri.
P
 
Loyo tua ni upigaji tu, muacheni ale mema ya nchi🤣
Na huu ndiyo ukweli mchungu. Watalii hawatakuja nchini mwetu kwa sababu ya hiyo Royal Tour yake ya kutaka kujikosha kwa Mataifa makubwa baada ya kutekwa nyara na kuendeshwa kama gari bovu na MATAGA wa Mtangulizi wake!

Miundombinu mizuri na ya kisasa, sera nzuri za nchi kwenye hiyo sekta ya utalii, matangazo yenye ushawishi ya vivutio vyetu, ubunifu, nk. Ndiyo silaha pekee ya kupiga hatua kwenye utalii!

Na siyo Royal Tour!! Sijui bla bla gani!! Hii yote ni danganya toto ya kutaka wananchi kusahau maumivu ya tozo, mjadala wa katiba mpya na ubambikiaji wa polisi kwenye kesi ya Mbowe.
 
Back
Top Bottom