Royal Tour ingekuwa na tija kama Rais Samia angeambatana na Mumewe, watoto wake angalau wawili na kushirikisha wasanii maarufu wa Kitanzania

Hakuna mtu maarufu zaidi Tz hii zaidi ya raidi wake
 
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta.

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.
Umaarufi gani walionao hao wasanii nje ya Afrika? Afrika kuna watalii? Hata Wakienda nje wahudhuriaji ni wabongo walioko nje sasa hao kuna nini hawakijui Kuhusu Tzn?

Bora anavhoshiriki Mkuu wa Nchi it make sense but hao kuwaongezea kwa kunogesha zaidi inawezekana.
 
Kuna kitu kinaitwa maarufu, being popular, na mashuhuri, VIP. Hao jamaa hawajalenga mtu maarufu, wamelenga mtu mashuhuri. Rais wa nchi ndio mtu mashuhuri kuliko watu wote kwenye nchi husika.
Baada ya hawa Royal Tour kutufungulia njia na kutangaza utalii wetu kimataifa kupitia rais wetu, watalii watamiminika Tanzania kama mvua.

Na kwasababu vitu hivi wengine tulikuwa hatuvijui hadi wazungu watufungue macho, then baada ya kufunguka macho, sasa ni jukumu letu na serikali yetu, na taasisi zetu za kukuza Utalii, kuwatumia kina Diamond wetu, na Mbwana Samatta wetu, la watu maarufu wetu kitaifa na kimataifa kutangaza Utalii wetu kitaifa na kimataifa, tuweke hadi tangazo letu CNN, na kudhamini jezi ya Man U or Liverpool kama ulivyofanya Kagame.
Ten tutumie makampuni ya nyumbani.

Ila Mabeberu buana, ni Mabeberu tuu, wakitaka kukushika, wanakushika tuu, wanakufanyia research kutafuta your weakest point, wakiisha pata ndio wanapitia hapo hapo, wanatega mitego yak na wewe lazima utaingia kichwa kichwa!. Bila wazungu hawa, nani alijua Mama Samia ni bonge la a movie Star ?. She is!. Subirini movie itoke mtashuhudia mambo makubwa mazuri.
P
Nasikia wali ipaisha rwanda hawa
 
Lengo ni zuri sana. Ila hiyo project iki-fail chini ya mkuu wa nchi, nani ataiongoza next time? Au ndiyo muendelezo wa "shooting from the hip"? Maana hatujui kama na hii korona wazungu watamiminika kuja kutalii TZ kwa vile wameitwa na Rais wetu?
Nchi ambayo imekuwa haitekelezi kikamilifu maagizo ya WHO ya testing, contact tracing, data collection, social distancing itajulikana vipi kuwa ni salama?
Dunia si inatuona jinsi tunavyojazana kwenye daladala, masokoni, michezo na matamasha ya mpira wa miguu nk., bila ya tahadhari?
The timing of this project has not been properly and fully analysed.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Hivi usalama ni unaktangazaa au kwa yanayotokea...Ukiangali kwa rapid assessment nani yupo salama kati ya sisi na majirani zetu?

Kwa taarifa yako hata wao wanashangaa kwanini Tanzania hakuja vifo vingi kama sehemu zingine duniani...Then kwakua tulifanya in our context, njia yetu yaweza kuwa bora kuliko hao wengine ambao walitumia one fit all method..
 
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta.

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.
Mama anarekodi akiwa kama tour guider na siyo mtalii..So hakuna ubaya hata akiwa pekee yake.hlf heading na maelezo yako naona kama vile havina connection
 
Sasa mume siyo wake pekee yake. Labda ungesema wawepo wote pamoja na wake wenzie keasababu mume huwa anakuwa na zamu za kulala kwa wakeze sasa akisafiri wakati zamu ni ya mke aliyebaki home itakuwaje. Bora wasafiri wote ili hizo zamu ziweze kufanyika huko huko safarini
 
Mambo mengine yanafurahisha sana. Huenda bado tupo nyuma ya muda ama hatujui tunatafuta nini.

Rais ametuambia kuwa yupo katika majukumu ya kurekodi kipindi maalumu ya royal tour chenye lengo la kutangaza vivutio vya utalii wetu kimataifa.

Mimi sijaelewa lengo na dhumuni maana siamini kama Rais ana umaarufu wa kuweza kuwapa tensioni hata watu milioni 40 nje ya Tanzania. Wanangu niwambieni ukweli nchi hii haina Mtu mwingine maarufu zaidi ya Diamond a na Mbwana Samatta.

Pili Rais kama Rais nje ya ofisi umaarufu wake utaletwa na maisha yake na familia hiyo kukosena kwa watu hao ni mambo ya aibu sana.

Bora hata wangemuweka mwanetu SNOOPY DOGY mambo yangekuwa supa.
Afu kwel kwann huyo mama ( raisi) haambatani mmewe ata kwenye ziara za kitaifa mbna uncle magu alikuwa anatembea na mkewe mama Janet ata kwenye makamera tunamona mama Janet kwnn huyu mama lakin?
 
Back
Top Bottom