Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Unajua maana ya corrupt? Au unakurupuka tu?Wewe fungua uzi uliza hilo swali lako usimpangie mleta mada aulize swali ambalo halipo kichwani mwake.
Huyu Bi Tozo Bin Maushungi ni corrupt kama walivyo predecessors wake na ccm wote kwa ujumla.
Hii nchi inahitaji mapinduzi ya kijeshi, njia za kiraia zimeshaprove failure
Mlishadadia zimetumika fedha za Serikali kusikia Hakuna fedha za Serikali zilizotumika saivi mnahamisha magoli eti mnataka kujua Nani kachangia?
Nyie ni wahuni tu