Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda ofisi za Mkaguzi Mkuu wa Serikali utapata jibu, la subiri "audit report" yakeSamia leo nimemskiliza hotuba yake kwa umakini mkubwa.
Amesema The Royal Tour’ hakutumia fedha za serikali bali watanzania walichangia kila kitu hadi safari ya kwenda kuishi marekani kwa wiki tatu.
Ombi: mtanzania mwenye orodha ya waliochangia The Royal Tour’ na kiasi walichochangia aiweke hapa tafadhali.
Kuna kila sababu ya kusema maza anawafanya watanzania mazuzu iwapo orodha hiyo haitawekwa hapa.
Wameahidiwa au kupewa/kumilikishwa maeneo ya kuwinda kama ilivyo kwa madiniKama katika hao wachangiaji yalikuwemo mashirika ya umma kama TANAPA basi hizo ni fedha za Serikali!! Lakini kama ilifadhiliwa na wakina ROSTAM AZIZ basi mjue sio bure malipo yake kwa wananchi yatakuwa makubwa sana!! There is no free lunch!
Sidhani kama wana ujasiri wa kuweka wazi orodha ya wachangiaji!!
Maiti yenu si ndiyo hiyo iko Chato mnaiabudu !! Tunataka tuwakomboeMjinga halisi ni wewe usiyejitambua na umebaki kuwaza maiti wakati tukihoji mambo ya msingi yenye kumuokoa babu yako kijijini. View attachment 2204174
Tnauliza kwa kua kuna shaka ni matumizi mabaya ya fedha za umma halafu wanafaidika watu binafsi. Hiyo safari tu ni matumizi ya umma. Tunahitaji uwazi.Ni vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!
Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Bibi macho kodo katupiga mabilioni kwa movie yake ambayo pesa kaokota bure huko kazimkaziTangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.
Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani kilimanjaro,leo asubuhi.
Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.
Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la gharama za utengenezaji wa filamu hiyo.
Kwa kusisitiza kwamba gharama zote kuiwezesha filamu ile sio za serikali bali ni watanzania ambao ni watu binafsi na makampuni binafsi.
Lakini hakuna mahali amepata kuwataja kwa majina wahisani hao.
SHERIA ya utumishi wa UMMA,inasemaje kuhusu mtumishi wa umma kupewa na kupokea zawadi?
Tumeambiwa kwamba filamu ile imegharimu zaidi ya Shilingi bilioni saba za kitanzania.
Hiyo ni tofauti na gharama za ziada kama vile msafara wa rais nchini Marekani pamoja na ujumbe wake.
Kwa siku zote walizokaa kule.
Ikiwemo na gharama za safari za ndani ya nchi ili kufanya uzinduzi huko Arusha,Zanzibar na Dar es salaam.
Kwa utamaduni wa kawaida, na kwa jambo kubwa kama hilo.
Tulitarajia Mheshimiwa Rais kutumia fursa ya uzinduzi huo nchini kwa kuwaweka wazi wawezeshaji hao.
Kisha kuwashukuru kwa jambo hilo kubwa la kihistoria.
Badala yake,wanakuwa siri kutajwa hadharani?
Hizo ni pesa nyingi na hata hao wafadhili ingekuwa fahari kwao kutajwa hadharani ili tukawajua uzalendo wao uliotukuka kwa taifa lao na kuwashukuru kwa moyo mkunjufu.
Kitendo cha rais kurudiarudia,kuweka msisitizo kuwa si gharama za serikali,lakini kuacha kuweka hadharani wahusika.inaongeza maswali zaidi kwa umma kuliko anavyolichukulia.
Kwani Mheshimiwa Rais akiwataja kuna ubaya au madhara gani?
Mbona mara zote wananchi tumekuwa tukiwekwa wazi tena saa ingine live.
pale tunapopata wahisani wakitoa misaada.
Tena kwenye vyombo vyote vya habari?
Mfano michango yote ya kulisaidia taifa kupambana na Covid19.
Tumekuwa tukitangaziwa tena saa ingine kwa majigambo zaidi.
Lakini pia kuna ubaya gani kuwajua Watanzania wenye moyo wa kuchangia filamu yetu kwa gharama kubwa kufikia Bil 7?
Je! Kuwaweka wazi si ndiyo kungewahamasisha Watanzania wengine zaidi kuchangia maendeleo ya nchi yao.
Pale Ikitokea tukawa na mahitaji kwenye masuala mengine ya kitaifa
Ikiwemo majanga ya kibinadamu kama vile ilivyotokea kwenye janga la Uviko
Kuna nini nyuma ya gharama hizi na chanzo chake kufichwa kuwekwa wazi kwa umma?
Samahani kwa wale mtakaokwazika.
commonmwananchi
10101
.
Bibi maushungi kapiga hela hapo usitegemee kuambiwa ukweli.
Yeye na genge lake la msoga wameupiga mwingi kwenye royal tour.
Eti mapenzi na Taifa 😂😂😂Ni vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!
Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Kuna kitu kimeandikwa/kusemwa TANZANIA FORWARD FOUNDATIONTangu Rais Samia ameingia nchini leo asubuhi.
Ametoa hotuba mara mbili kupitia TBC.
Moja ni pale Kwenye hafla fupi ya mapokezi uwanjani kilimanjaro,leo asubuhi.
Na nyingine ni pale AICC kwenye uzinduzi wa Royal Tour nchini jioni hii.
Mara zote Mheshimiwa Raisi amelipa kipaumbele suala la gharama za utengenezaji wa filamu hiyo.
Kwa kusisitiza kwamba gharama zote kuiwezesha filamu ile sio za serikali bali ni watanzania ambao ni watu binafsi na makampuni binafsi.
Lakini hakuna mahali amepata kuwataja kwa majina wahisani hao.
SHERIA ya utumishi wa UMMA,inasemaje kuhusu mtumishi wa umma kupewa na kupokea zawadi?
Tumeambiwa kwamba filamu ile imegharimu zaidi ya Shilingi bilioni saba za kitanzania.
Hiyo ni tofauti na gharama za ziada kama vile msafara wa rais nchini Marekani pamoja na ujumbe wake.
Kwa siku zote walizokaa kule.
Ikiwemo na gharama za safari za ndani ya nchi ili kufanya uzinduzi huko Arusha,Zanzibar na Dar es salaam.
Kwa utamaduni wa kawaida, na kwa jambo kubwa kama hilo.
Tulitarajia Mheshimiwa Rais kutumia fursa ya uzinduzi huo nchini kwa kuwaweka wazi wawezeshaji hao.
Kisha kuwashukuru kwa jambo hilo kubwa la kihistoria.
Badala yake,wanakuwa siri kutajwa hadharani?
Hizo ni pesa nyingi na hata hao wafadhili ingekuwa fahari kwao kutajwa hadharani ili tukawajua uzalendo wao uliotukuka kwa taifa lao na kuwashukuru kwa moyo mkunjufu.
Kitendo cha rais kurudiarudia,kuweka msisitizo kuwa si gharama za serikali,lakini kuacha kuweka hadharani wahusika.inaongeza maswali zaidi kwa umma kuliko anavyolichukulia.
Kwani Mheshimiwa Rais akiwataja kuna ubaya au madhara gani?
Mbona mara zote wananchi tumekuwa tukiwekwa wazi tena saa ingine live.
pale tunapopata wahisani wakitoa misaada.
Tena kwenye vyombo vyote vya habari?
Mfano michango yote ya kulisaidia taifa kupambana na Covid19.
Tumekuwa tukitangaziwa tena saa ingine kwa majigambo zaidi.
Lakini pia kuna ubaya gani kuwajua Watanzania wenye moyo wa kuchangia filamu yetu kwa gharama kubwa kufikia Bil 7?
Je! Kuwaweka wazi si ndiyo kungewahamasisha Watanzania wengine zaidi kuchangia maendeleo ya nchi yao.
Pale Ikitokea tukawa na mahitaji kwenye masuala mengine ya kitaifa
Ikiwemo majanga ya kibinadamu kama vile ilivyotokea kwenye janga la Uviko
Kuna nini nyuma ya gharama hizi na chanzo chake kufichwa kuwekwa wazi kwa umma?
Samahani kwa wale mtakaokwazika.
commonmwananchi
10101
.
Huyo hajui hata sheria ya utumishi wa umma hairuhusu mtumishi kupokea zawadi na hatimae kuficha identity ya mtoaji.
Rais ni mtumishi namba moja wa Umma nchini.
Uwanja wa Chato unahusaianaje na hoja iliyopo? Hii ni kiasi gani inaonesha watanzania wengi wana elimu ya kuunga,hawana uwezo wa kufikiriNi vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!
Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Akitumia za Serikali mnasema kuwa matumizi mabaya. Amepata wafadhili mnataka majina. Atatoa majina sijui mtataka nini tena? Pengine mtataka majina ya wake zao au waume zao. Be serious jamani.Labda Rostam naye kachangia maana nimemuona akisaini mikataba na Rais akishuhudia.
Na sijui ni kwa namna gani wahusika wakaruhusu Rais agharamiwe Safari kwa fedha za watu binafsi yeye na delegation yake.
Sasa mtu kama huyu akikuomba upendeleo flani utamkatalia??
Tukisema hii ni rushwa tutakua tunakosea??