Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Unajua maana ya corrupt? Au unakurupuka tu?Wewe fungua uzi uliza hilo swali lako usimpangie mleta mada aulize swali ambalo halipo kichwani mwake.
Huyu Bi Tozo Bin Maushungi ni corrupt kama walivyo predecessors wake na ccm wote kwa ujumla.
Hii nchi inahitaji mapinduzi ya kijeshi, njia za kiraia zimeshaprove failure
Unateseka ukiwa wapi?Royal tour ni upigaji tu hamna lolote.Kama wana ujasiri watupe cost and benefit analysis,vinginevyo wasiwachoshe Watanzania na usanii wao.
Kodi zetu.
Endelea kuishi kwa nadhariaWatu gani binafsi?
Au yale MAJIZI ya msoga?
Uko humu 24/7 kuvizia tu Rais Samia kafanya nini ili ukosoe. Baada ya kuhisi kakaa 2 weeks kwa fedha ya wahisani watanzania, na si kwa fedha ya Serikali kama MLIVYOKUWA MNABWABWAJA, sasa voicer unataka kujua majina ya wachangaji.
Ulivyo POPOMA ukipewa majina yao utataka kujua majina wa wake zao au waume zao.
Tafuteni shughuli za maana za kuwaingizia hela haya MAUJINGA yamepitwa na wakati baada ya kumfukia mungu wenu pale Chato
Awajue yeye Kama nani? Waliochanga wamelalamika fedha zao kutotumika?
Hilo libibi lenu lituambie limepata wapi hizo hela!Endelea kuishi kwa nadharia
inaingiza pesa hukoKama gharama ni michango ya watanzania mbona filamu imewekwa amazon?
Si tungeiona huku TBC.
Maswali ya KIJINGA peleka Chato kaburini mkaulizane mkiwa mnajichimbia makaburi, wasukuma wahedddiTaja majina ya waliotoa hizo fedha wewe KILAZA,achana na hizo ngojera zako maana hazisaidii kwa namna yoyote ile kujibu swali la mtoa mada
JE NI KINA NANI WALIOCHANGIA FEDHA ZA KUFANIKISHA FILAMU YA ROYAL TOUR?
Very interesting!Wa kule wapi sijui Oman au wapi huko Arab au wa wapi
Samia leo nimemskiliza hotuba yake kwa umakini mkubwa.
Amesema The Royal Tour’ hakutumia fedha za serikali bali watanzania walichangia kila kitu hadi safari ya kwenda kuishi marekani kwa wiki tatu.
Ombi: mtanzania mwenye orodha ya waliochangia The Royal Tour’ na kiasi walichochangia aiweke hapa tafadhali.
Kuna kila sababu ya kusema maza anawafanya watanzania mazuzu iwapo orodha hiyo haitawekwa hapa.