Royal Tour! kulikoni wagharimiaji hawatajwi hadharani? Tunaishia kuambiwa ni Watu Binafsi

Kwa hiyo Peter Greenberg tumemuita tukamchangia mkwanja akala akanya akalala akatengeneza sinema akamsumbua na rais halafu akatupelekesha Marekani(kwa gharama za walipa kodi) kwenda kumzindulia sinema yake na Amazon anaiuza na mapato anachukua yeye pia kwa promise ya kututangaza. What a shameless act
 
Wewe uliskia wapi kwanza harambee ya royal tour harafu ndo uombe majina tulio changia
 
Nenda ofisi za Mkaguzi Mkuu wa Serikali utapata jibu, la subiri "audit report" yake
 
Wameahidiwa au kupewa/kumilikishwa maeneo ya kuwinda kama ilivyo kwa madini
 
Maswali ya KIJINGA peleka Chato kaburini mkaulizane mkiwa mnajichimbia makaburi, wasukuma wahedddi
Mjinga halisi ni wewe uliyejaza ujinga kichwani.
 
Maswali ya KIJINGA peleka Chato kaburini mkaulizane mkiwa mnajichimbia makaburi, wasukuma wahedddi
Mjinga halisi ni wewe usiyejitambua na umebaki kuwaza maiti wakati tukihoji mambo ya msingi yenye kumuokoa babu yako kijijini.
 
Ni vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!

Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Tnauliza kwa kua kuna shaka ni matumizi mabaya ya fedha za umma halafu wanafaidika watu binafsi. Hiyo safari tu ni matumizi ya umma. Tunahitaji uwazi.
Chato ni matumizi ya umma kama kinavyojengwa viwanjwa vingine vya ndege..full stop. Hujaona akirithi mtoto wa magufuli kiwanja hicho.
 
Labda Rostam naye kachangia maana nimemuona akisaini mikataba na Rais akishuhudia.

Na sijui ni kwa namna gani wahusika wakaruhusu Rais agharamiwe Safari kwa fedha za watu binafsi yeye na delegation yake.

Sasa mtu kama huyu akikuomba upendeleo flani utamkatalia??

Tukisema hii ni rushwa tutakua tunakosea??
 
Bibi macho kodo katupiga mabilioni kwa movie yake ambayo pesa kaokota bure huko kazimkazi
 
Bibi maushungi kapiga hela hapo usitegemee kuambiwa ukweli.

Yeye na genge lake la msoga wameupiga mwingi kwenye royal tour.

Mwalimu Nyerere alikuwa anaonya Serikali kufadhiriwa na wafanyabiashara kuwa na hatari kubwa kwa utawala bora. Hao wafanyabiashara wakikwepa kulipa kodi wanayostahiri utawaadhibu vipi nao unakunywa nao kahawa? Tabia ya namna hiyo ya kufadhiriwa na wafanyabiashara ndio alama kubwa ya nchi zinazoendelea zinazoendekeza rushwa katika utendaji wake!!! Mwalimu akiziita nchi zenye tabia hiyo kuwa NCHI ZINAZONUKA RUSHWA!!!!

Leo hii kama mambo yanavyoendeshwa, huyo ROSTAM AZIZI akikutwa na hatia mahakamani atakosa kukimbilia kwa Samia nae kulazimika kuingilia muhimili wa mahakama ili kumuokoa kutokana na tu na ufadhiri wa documentary? That is a classic case of corruption.
 
Ni vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!

Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Eti mapenzi na Taifa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah....Ni tusi kubwa sana hili....ni sawa na vile mkeo anaenda kutalii mbuga za wanyama Kisha anakwambia gharama zimetoka nje ya bajeti ya nyumbani 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuna kitu kimeandikwa/kusemwa TANZANIA FORWARD FOUNDATION

Nadhani ndiyo wafsdhili
 
Huyo hajui hata sheria ya utumishi wa umma hairuhusu mtumishi kupokea zawadi na hatimae kuficha identity ya mtoaji.

Rais ni mtumishi namba moja wa Umma nchini.

Nafikiri kuwa hiyo ni pesa chafu na wameitakatisha kwa mtindo huu ndio maana hawawataji waliozitoa
 
Ni vizuri ukajikita kuuliza ni kampuni gani ilijenga uwanja wa ndege Chato maana kule ndo pesa za walipa kodi zilitumika!

Unauliza hela za watu binafsi walizotoa kwa mapenzi yao kwa Taifa Lao ili iweje?
Uwanja wa Chato unahusaianaje na hoja iliyopo? Hii ni kiasi gani inaonesha watanzania wengi wana elimu ya kuunga,hawana uwezo wa kufikiri
 
Reactions: nao
Akitumia za Serikali mnasema kuwa matumizi mabaya. Amepata wafadhili mnataka majina. Atatoa majina sijui mtataka nini tena? Pengine mtataka majina ya wake zao au waume zao. Be serious jamani.

Yule mshenzi alikuwa anasema anatumia fedha za ndani kumbe anakopa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…