Royal Tour! kulikoni wagharimiaji hawatajwi hadharani? Tunaishia kuambiwa ni Watu Binafsi

Sioni shida hata kama ilitoka TANAPA so long as kuna value for money (return on investment)..., ninachoona kinaendelea huenda promo ya hii kitu ya kum-promote mtawala huenda inachukua gharama zaidi hata ya matayarisho ya hii kitu...

From USA mpaka Arusha mpaka sijui wapi na hapo kuna delegation ya kufa mtu, ifike wakati haya matumizi ya hizi tozo / mikopo / kodi / kutembeza bakuli..., iwe wazi
 
Kinachofanyika ni kum-promote maza
 
Wafanyabiashara wakubwa ndio wanaotoa direction ya hii nchi kwa sasa.
Suala sio nani ni nani!

Hata America kwenyewe ni kosa rais au serikali kupokea msaada bila kuuweka wazi.
 
Hatuongelei umuhimu wa Royal Tour na faida zake huko mbeleni.
Tunachotaka ni uwazi wa serikali kwenye matumizi yake.
Pia ieleweke kwamba endapo kutakuwa na kashfa yoyote kuihusu serikali kwenye suala la utengenezaji wa makala hii.

Inaleta madhara zaidi kuliko faida.
Wazungu huwa hawataki kashfa.
Sisi wananchi ndio tunaokamuliwa kila uchao kwa kodi mbalimbali na hatimae serikali kuweza kujiendesha.

Hoja ni matumizi au ufadhili kuwekwa wazi.
Unapomficha mfadhili wa 7bilion.
Ni hatari kwa usalama wa Taifa letu.
Hatujui nia na malengo yake.
Uzuri ni kwamba SSH aliiomba hiyo pesa hadharani katika mkutano wa wafanyabiashara. Nadhani uwaulize wao wanaweza kuwa na taarifa za kina zaidi kuliko kuziomba katika public domain kama hii ya Jamii Forum.

Kudhani kuwa kuna upigaji katika kuziomba pesa na kuzitumia ni masuala ya kawaida sana kwa Tanzania yetu hii. Watu walipiga pesa benki kuu mwaka 1984 na wakaliunguza lile jengo pembeni ya Kilimanjaro Hotel, enzi za Nyerere na ujamaa wake hawawezi kushindwa kupiga pesa awamu ya sita.

Watu walipiga pesa mabilioni ya shilingi enzi za JPM na ukali wake wote, Wakenya wakatengeneza utajiri mkubwa, hawawezi kushindwa kupiga pesa awamu ya SSH.

Cha muhimu hiyo Royal Tour inakwenda kuufungua uchumi mkubwa wa nchi hii, kaa tayari fursa zinakuja tena ni pana kuliko za awamu zilizotangulia.
 
Acha mawazo mgando wewe!

Samia aliomba pesa za kugharamia Royal Tour katika kikao gani na wafanyabiashara?

Kilifanyika wapi na lini?

Je kama ilikuwa harambee ilikuaje ikawa siri?

Je serikali inaona ubaya gani kuweka hadharani majina yao?

Hii ni pesa ya walipa kodi ambayo imetumika vibaya.

Tunafurahia filamu au makala ambayo hata sisi wananchi lazima tuinunue ili kuiona?

Wewe hujui unachokitetea kaa kimya.
 
Achana na wivu usio na msaada maishani mwako. Mkutano wa mwisho na wafanyabiashara ulifanyika ikulu.

Nenda TBC au ITV wanazo videos za mkutano huo katika archives zao. Achana na hizi nongwa za kitoto hazikusaidii.

Wewe ndio hujui unaongea nini zaidi ya kupayuka ukiongozwa na chuki na roho mbaya.
 
Back
Top Bottom