Royal Tour ndo ishasahaulika?

Hakuna attention yoyote, imeshafeli
Wao ndiyo wameifanya hivyo
Kuna watu wazito watahudhuria
Hakuna changNyiken,
Subirin mtaona kwenye local channels
Mzee

Ova
 
Hii kitu ingefanyika na wakenya
Taifa lote lingesimama kuisupport
Wakenya dunia nzima wangeisemea

Ila kwa bongo ni malalamiko fc

Ova
 
Kwani walikosea nini, si kweli Tanzania ipo Afrika.
Afrika ina mataifa 54 kila moja na vivutio vyake na wote wanataka watalii kwenye nchi zao. Ukisema Africa bila kutaja nchi inamaanisha huyo unayetaka aje afanye kazi ya ziada kujua ni nchi gani Africa kuna mlima KLM... Ona mfano Kenya ni watu ambao wanasema Mt. KLM upo kwao na waanza mda mrefu sana kutangaza hivyo. So kuwa specific kunaondoa hiyo shaka ya wapi na nini kipo Tanzania.
 
Ukisha ona fursa ifate sasa wew ifate alfu uniambie imekusaidia nini iyo fursa nikusaidie kitu kidogo tu ukiona biashara ya serkl imeingiliwa na taasisi binafs wew kapuk utoboi lbda ukauze maji inje ya ukumbi
 
Royal tour inafanya uzinduzi kila siku na mpiga debe ni Mwijaku 😂😂😂

Filamu ilitakiwa iwekewe nguvu kutangazwa nje ya nchi na sio Arusha au zenj kwa wageni waalikwa bongo movie.

Mradi wa watu kula hela tu ule.
Watanzania wenyewe hawaifahamu Tz vizuri, ngoja filamu iwatambulishe vivutio vyetu!,
 
Nanihii hajala bhana maana nasikia Ina  meno yaliyo pause kwani nyati akiwa ivo analika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…