Royal Tour ndo ishasahaulika?

Royal Tour ndo ishasahaulika?

Endelea na ujuha tu, kwani coca-cola wanapofanya "promotion" za kila siku watu walikuwa hawanywi coca-cola?

Kama una ma tour-guide kumi punguza basi utalii uwe na ma tour guide watano. Si umetosheka? Pambaf kabisa.


Sasa wewe sema utawaongeza vipi ma tour-guide 10 wawe 20 bila kufanyia sekta hiyo "promotion"?
Hii kitu ingefanyika na wakenya
Taifa lote lingesimama kuisupport
Wakenya dunia nzima wangeisemea

Ila kwa bongo ni malalamiko fc

Ova
 
Kwani walikosea nini, si kweli Tanzania ipo Afrika.
Afrika ina mataifa 54 kila moja na vivutio vyake na wote wanataka watalii kwenye nchi zao. Ukisema Africa bila kutaja nchi inamaanisha huyo unayetaka aje afanye kazi ya ziada kujua ni nchi gani Africa kuna mlima KLM... Ona mfano Kenya ni watu ambao wanasema Mt. KLM upo kwao na waanza mda mrefu sana kutangaza hivyo. So kuwa specific kunaondoa hiyo shaka ya wapi na nini kipo Tanzania.
 
Royal tour imegaharimu Billion 7 na tena siyo za serikali, ni wafanya biashara walioiona hiyo fursa wakawekeza na umewaona wakiwa USA na mama wakitumia fursa zilizoibuka. Au una mcacho lakini hayaoni? Una msikio lakini hayasikii?

Waliowekeza kwenye Royal Tour wameshasaini mikataba ya Matrillioni. Wewe ngoja tu upayuke humu kijinga.

Hujaona juzi tu, Rostam katangaza uwekezaji wa Trillion1 na zaidi na wabia wa nje? Unafikiri fursa hizo zimetokea wapi? Hewani?

Majuha wengi sana Tanzania hii.

Ulitoa wewe hizo pesa za Royal Tour? Au aliyetoa baba'ko? Badala ya kuitumia fursa wewe unabweka na kupayuka humu kijinga kabisa. Nenda eyapoti ukatazame fursa za kuwa Tour Guide utengeneza japo vijisenti kama huyawezi ya wenye akili za ziada waliowekeza kwenye Roya Tour.
Ukisha ona fursa ifate sasa wew ifate alfu uniambie imekusaidia nini iyo fursa nikusaidie kitu kidogo tu ukiona biashara ya serkl imeingiliwa na taasisi binafs wew kapuk utoboi lbda ukauze maji inje ya ukumbi
 
Royal tour inafanya uzinduzi kila siku na mpiga debe ni Mwijaku 😂😂😂

Filamu ilitakiwa iwekewe nguvu kutangazwa nje ya nchi na sio Arusha au zenj kwa wageni waalikwa bongo movie.

Mradi wa watu kula hela tu ule.
Watanzania wenyewe hawaifahamu Tz vizuri, ngoja filamu iwatambulishe vivutio vyetu!,
 
Back
Top Bottom