Royal Tour ndo ishasahaulika?

Royal Tour ndo ishasahaulika?

Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.

Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.

Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.

Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?

1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?

2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?

3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?

Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.

Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?

4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?

Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?

5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.

Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.

6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?

Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Ulikua ni ujinga tu
 
Walisema local stations zote zitapewa bure haki ya kuonesha hiyo filamu.
Kweli hawa viongozi wqnatuchukulia sisi poa sana, yaani niache kuangalia mambo yangu ya maana nishupalie huu upuuzi??
C ni heri nikaangalia ugonvi wa mbwa, khaa sisi sio mafala akseh
 
Tanzania kwa sasa haikumhitaji Rais wa aina za akina Rais Samia. Ni aina ya viongozi clueless, wasiofikiria nje ya box na wasiotumia hata simple logic kwenye mambo kama haya ya utalii wanayotumia nguvu kuuubwa.

Work smarter not harder!

Mantiki rahisi ya kutangaza utalii ni kuwatumia hawa hawa watalii tunaowapata kwa sasa kuwa chanzo cha kuitangaza Tanzania zaidi na zaidi.

Kama mtalii akija na akawa na "good experience" na Tanzania bila shaka huyo atasambaza habari njema kwa wenzake huko atokako.

Kuna sababu za msingi kwa nini visiwa vya ushelisheli vinafanya vizuri kwenye utalii kuliko visiwa vya Zanzibar.

Kuna sababu za msingi kwa nini pwani ya Bali Indonesia inajulikana zaidi kuliko pwani ya Tanga au Mtwara.

Mi nafikiri ni tofauti ya "experience" ya utalii wanayoipata pale wanapotembelea Zanzibar, wakilinganisha na pale wanapotembelea Ushelisheli.

Simple: Tusijidanganye kwamba Tanzania haijulikani vya kutosha. Tanzania inajulikana sana -- inajulikana sana kwa umaskini unaosababishwa na ujinga ujinga wa kutotumia vizuri pesa za umma kujenga mazingira bora ya kuleta "good" experience kwa mtalii.

Mtalii haji tu kushangaa milima, mabonde na wanyama, anakuja pia kula bata kwenye jamii anakotalii.
 
Nilochokishika ni kile nilicho kisikia kwenye matangazo kua mama kasaini mikataba 7.....Sasa Kama ndio faida ya hiyo filamu jibu litakuja baadae Kama tukiona jaapo uduchu wa faida ya mikataba hiyo.
 
Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.

Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.

Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.

Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?

1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?

2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?

3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?

Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.

Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?

4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?

Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?

5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.

Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.

6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?

Sisi ni watu wa ajabu kweli.
Nilishasema kunajambo la siri sana lina endelea ktk serikali.. kuna watakao lia nakuna watakao cheka. Just keep cool
 
Mbio za sakafuni....Mh.Samia ndiyo kilichoongezeka tofauti na documentaries zingine kuhusu vivutio vyetu visivyo na tija.Nchi hii kila kitu ni kivutio kuanzia watu,maisha,siasa,wanyama,misitu nk.
Mtalii havutiwi na marais wa michongo wanaopatikana kimagumashi kama hapa kwetu.Kumweka Rais kuwa main focus wa Royal Tour ni kosa kubwa.Haiwezi kudumu,its a floppy!
 
Bongo matukio ni mengi mno, kwa sasa Kunze ni maarufu kuliko Samia…. kinachosemwa tu ni kwamba Piraa amepeleka moto.
 
Filamu tayari ipo YouTube na tumeshaitazama bure, japo tuliambiwa itauzwa Amazon madola mengi.

This reminds me of my childhood [emoji476][emoji2231]
 
Marekani ni kubwa sana. Na ukweli ni kwamba, kiujumla, hakuna Wamarekani waliokuwa na muda na hiyo Royal Tour…
Sema wewe kiazi, mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi! Nikisema mimi nitaambiwa nina chuki na CCM! Kama ni mbuga za wanyama au Zanzibar kuna documentaries nyingi kabisa zipo. Mpaka neno ''safari'' wakati kwetu linaaminisha kusafiri, watalii walishalipa maana ya kuja kutalii mbuga za wanyama. Hakuna kipya ila rais alipelekeshwa na wapambe tu. Bora hata wangetangaza zile sehemu ambazo dunia haizijui kabisa kuhusu Tanzania. Anyways, nakumbuka Kikwete mara baada ya kuchaguliwa alikimbia kutaka kuialika Real Madrid eti ije Tanzania. Tulipiga kelele sana hapa jamvini. Rais Samia kusema kweli ni mweupe pe kwenye mipango na hana clue yoyote ni nini tatizo letu kama nchi achilia mbali namna ya kutatua matatizo yetu.
 
Wote pale wamestuck. Mwanzoni nilimpa Samia benefit of doubt kwamba kwa vile alifanya kazi na Magufuli atakuwa alijifunza mbili tatu fulani hivi za msingi kutoka kwake (na pengine kujifunza kwa yale yanayoitwa "mabaya" ya Magufuli) ili awe the best president wa Tanzania kuwahi kutokea.

Na vile alivyoanza kukusanya zile tozo na kuja na idea ya kuboresha barabara za mitaa, na vituo vya afya vya mtaani kwa kutegemea uwezo wa ndani, na huku reports zikitolewa kila mwezi kuhusu nini kimefanyika nilianza kuhamasika nae.

I thought hiyo ndiyo blueprint ya nchi inayotaka kujijenga.

Boy, I was wrong!

Kumbe ni Kikwete through and through , actually the worst version of Kikwete.

Ni wakala mwaminifu wa ubeberu nchini Tanzania asiye hata na maono binafsi hata moja kuhusu nchi yake.

Tumepigwa!
 
Kama upepo ulivyo, habari za Royal Tour zishaanza kupita.

Watanzania tushahamia kwenye habari za Lengai Sabaya.

Toka mwanzo, mimi nilikuwa na shaka sana juu ya hiyo filamu.

Kama lengo lake lilikuwa ni kuitangaza Tanzania, mbona wahusika wake hawajafanya yale yanayopaswa kufanywa ili kuitangaza filamu hiyo pamoja na Tanzania?

1. Kwa nini Hangaya na waigizaji wenzake hawajaenda na kwenye nchi zingine? Kwa nini wameenda Marekani tu?

2. Na huko Marekani walikoenda, ni nani hasa mwenye habari na hiyo filamu?

3. Matangazo ya hiyo filamu yako wapi? Sasa hivi kuna playoffs za ligi mbili kubwa, NBA na NHL, mbona matangazo ya hiyo filamu hayapo kwenye chaneli za TNT, TBS, ABC, wala ESPN?

Michezo hii ya playoffs huangaliwa na watu wengi sana. Hapo ndo ilikuwa pazuri pa kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.

Lakini hamna kitu. Sasa Mmarekani atajuaje kuhusu hiyo filamu?

4. Hiyo filamu ina kipi kipya ambacho hakijulikani kuhusu Tanzania hadi kumshawishi Mmarekani aje?

Documentaries zote kuhusu vivutio vya Tanzania ambazo zimewahi kuonyeshwa na PBS, National Geographic, A&E, YouTube, n.k., zina tofauti gani na Royal Tour?

5. Hii Royal Tour sidhani kama italeta chochote kipya na zaidi. Watu wamepata tu fursa ya kupiga hela.

Na kama ilivyo jadi yetu Watanzania, tushaanza kuisahau na ndani ya muda mfupi tutaisahau kabisa na hakuna hata mmoja wetu atayekuja kuuliza mafanikio yake huko mbeleni.

6. Ni nani atayekuja kumhoji Samia juu ya mafanikio ya hiyo filamu ifikapo 2024, kwa mfano?

Sisi ni watu wa ajabu kweli.
mbona huulizi ndege za magufuli zilizonunuliwa bila kufuata sheria ya manunuzi ya umma ya tanzania? unajua 10% ya ndege moja ni shilingi ngapi wewe?
 
Back
Top Bottom