The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Uwepo wako wewe una faida gani hata Kwa Mkeo?Hii royo toa haina faida yeyote kwa watz.tulidanganywa italeta wawekezaji lakini hadi sasa hakuna mwekezaji wa maana zaidi ya wawekezaji uchwara wanaojichotea tu madini yetu.Makaa ya mawe yameanza kuchotwa tu kwa pesa ndogo kabisa.Makinikia yetu yameanza kugawiwa kwa vigogo kama zawadi.Ninyi viongozi mafisadi ipo siku yenu mtamalizia maisha yenu gerezani
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyekwambia Royal tour imetengenesewa maskini kama nyie ni nani?